Mkuu Kachanchabuseta,
1.Si busara kutukana..esp when you are emotional as you sounded.
2. Ni vyema ungejua shida iko wapi na si ku-conclude watu fulani ni wabaya bila uhakika
MAT walikuwa wanasubiri uongozi wa Serikali(kuitwa mahakamani), lakini baadhi yao hao madaktari wanataka ku-fast track maamuzi, sasa uliowaita wameonewa (Madaktari 160), hawakupendezwa na kauli za kusubiri kuitwa kuhojiwa mmoja mmoja..na ndiyo haya unayoyaona.
Suala la Dr. Ulimboka sijajua "alitoswaje" ..lakini Dr. Ulimboka anafanya kazi katika NGO, na si hospitalini na si kiongozi wa MAT, ila alikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya madaktari, you have to differentiate the two.
hawa madkari wananofanya mazoezi kwa vitendo,karibu mara zote hawa ndiyo walikuwa chanzo cha mgomo,leo kutoka hadharani kuomba radhi je ni sawa/
mat imesambaratika
Bora hata wewe umeona kuwa humu ndani JF kuna madaktari bado wanachochea uvunjifu wa amani kwa nyie Madaktari.hongera swakala kwa uongozi mzuri, ulikuwa rais mzuri sana Bugando kumbe bado uko vizuri kaka. Maana MAT wameliweka jambo hili kuwa la mtu mmoja mmoja jishughulikieni wenyewe na mkisamehewa hakuna cha mgomo wa MAT wala jumuia ya madactari kuuunga mkono. mimi nimeboreka sana kwa jambo hili kwanza limetudharirisha hata wale ambao bado tunasoma.
Wangekuwa ni kundi jingine la kada flani kama WALIMU,ndio wamefanya upuuzi huu, matusi ya kila aina yangetolewa ikiwa ni pamoja na wimbo wetu kuwa 'hao ni waoga na waliofeli' Sijajua kundi hili linalotoa huduma ya karakana ya binadamu mtasemaje! Ku...n..ya anye Kuku mie bata nikifyatua naambiwa nimejamba! He! he! he! he!
Mkuu Malalika, sija-comment chochote mkuu, au ulikuwa unamaanisha nini katika quote yako?
Inatia shaka sana wanataaluma wa Kitanzania! Inapokua graduate wa fani inayoheshimika kama ya udaktari wa binadamu anapofanya mambo bila kupima kwanza matokeo ya matendo yake. Daktari anagoma kufanya kazi yake ya WITO bila kupima athari kwa wagonjwa, jamii na kwake yeye binafsi. Anaacha kufanya kazi bila kufikiria kama kuna watu watakufa, bila kufikiria kuwa atanyimwa mshahara na rushwa pia.
Leo anasingizia MAT imewatosa tena anasema kwa unafiki kuwa atawahudumia wananchi kwa moyo mweupe. Ni unafiki ambao hata Shetani atakataa kumtuma useme. Nitakubali akisema NJAA IMEMBANA.Tuliwabembeleza kwa utu wakakataa katakata kutusikiliza. Tuliwalaumu pande zote Serikali na jumuia ya madaktari waache kupigania juu ya Afya za watanzania. Wakaamua kupambana bila kupima matokeo ya vita yao, leo wanawageuka wenzao chama chao na kutueleza upuuzi huu. Hata serikali ikiwaamini madaktari wasioaminika nayo itakuwa ni ya kipuuzi tu. UTAMWAMINIJE MTU ASIYEAMINIKA KUMKABIDHI TENA ROHO ZA WATANZANIA? Nawaombeni wote msifanyie majaribio roho zetu
Imesambaratika how?! just bse of few shaky intern doctors?!!
Wametaja chama chchote cha siasa?
Imesambaratika how?! just bse of few shaky intern doctors?!!
unajifanya kipofu? Unajifanya kiziwi?
ndio wametaja MAT