Uchaguzi 2020 Mgombea wa Urais wa Tanzania, Tundu Lissu afungiwa na NEC kufanya Kampeni siku 7

Tulionya aucontrol mdomo wake hata angalieni mnavyolialia.

Bado October 28 aisee kazi mnayo Chadema,msijidanganye Watanzania wataingia barabarani wakishaipigia kura CCM wao wanapenda kuendelea na majukumu mengine kazi ya kulinda kura ni ya Polisi.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
 
Hamna mtu anataka msaada wa mzungu wa chakula, ila tunawaunga mkono wazungu wanaokemea na kutaka haki itendeke. Kama taasisi zote za kimamlaka zimejiunga na ibilisi kunyima haki, ni bora wazungu watusaidie maana sisi hatuna silaha za kupambana na vyombo vya dola. Hicho kiburi cha Magufuli dhidi ya wazungu hata Nyerere alileta tukaishia kuvaa viraka. Tulipoamua kutii masharti ya wazungu tulikuwa tumeshakata pumzi. Itakuwa Magufuli aliyeshindwa kutoa ajira na kupandisha mishahara?
Basi endeleeni kuwatii lakini wasiwatumie kuleta fujo.
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemfungia kufanya kampeni Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu kwa siku saba kwa madai ya kukiuka maadili ya uchaguzi....
Mbona hayo malalamiko wameweka ya NRA pekee? Wao CCM wamelalamika nini, mbona hawaja andika malalamiko yao?? Hawa walikurupushwa. Ila najua TAL lazima aendelee.
 
You know what is next move will be atajifanya anataka kuingia kitaa kwa lazima.

CDM wasipomzuia NEC ipige chini wagombea wake wote, chama (kama taasisi) ndio kinabeba ‘vicarious liability’ sio mgombea na rules za uchaguzi wamekubali wenyewe kama chama.

Halafu tuone kama wagombea CDM wote wapo tayari kupoteza ugali kisa fujo za Lissu.
 
Mfu
Na asipojirekebisha anafutwa kabisa kwenye uchaguzi,Lissu asijiropokee hovyo akahisi labda serikali haipo au inamuogopa wala asijifanganye.
Morgan Tshivangirai alikuwa kama Lissu lakini mwisho wa siku alipigwa spana na kaiacha Zimbabwe hiyo inasonga chini ya Zanupf.
Mfuteni bwana. Msitishe watu hapa,vinafanywa vitwa vya maajapu Sana ,na naona mnabeti na amani ya nchi hii,we unafikili kikinuka upo salama na familia yako,Hali Kama hii lazima kupingwa na Kila mmoja anae litakia mema taifa hili,acheni kabisa wewe na tume yako
 
You know what is next move will be atajifanya anataka kuingia kitaa kwa lazima.

CDM wasipomzuia NEC ipige chini wagombea wake wote, chama (kama taasisi) ndio kinabeba liability sio mgombea na rules za uchaguzi wamekubali wenyewe. Tuone kama wagombea CDM wote wapo tayari kupoteza ugali kisa fujo za Lissu.
Ww huwa ni kilaza kweli kama jina lako
 
Labda anataka awe milionea . Zimbabwe wakati wa Mugabe ukitaka kununua mkate uwe na gunia la pesa. Ukinunua tiketi ya ndege uende na lori la noti .

Labda ndio anaona ndio maendeleo hayo
(Sep 17, 2019)
Mwamba/Jiwe la chokaa (Limestone) huwa na muonekano wa mwamba/jiwe gumu/imara, lakini maji ya mvua hulimung'unyua kiulaini. Ndivyo yalivyotokea mapango ya Amboni Tanga, Mkemwenza Zanzibar au mito ambayo kuna sehemu hupita chini/aridhini kama Kiwira Tukuyu.
 
Haya vibaraka wake walisema Lisu anajua sheria kumbe hamna kitu ndio hii ya kujiona unajua kila kitu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom