chuki
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,715
- 533
Habari mbaya sana Mtaani kila Kona Rais anasemwa vibaya na mambo yanaenda Kombo, Bei ya Vyakula kama Mahindi na Mchele vimepanda maradufu Ndani ya Awamu ya Samia.
Mafuta ya Kula Bei imeongezeka karibia nusu, Diesel imepanda na kusababisha Nauli kuongezeka Vijijini, Nguo na vitu vya kawaida vimepanda maradufu, Umeme umepanda licha ya kukatika katika hovyo kila baada ya dakika 10 kisingizio cha 'ukarabati kabambe'.
Kwa ufupi Mama Nchi imemshinda, anapwaya, anachezewa na wasaidizi wake wa chini, amezungukwa na Wahuni wapiga dili watu wa Genge la Kikwete na Kinana.
Mwaka 2025 arudi Zanzibar akalee familia huku bara kura hapati labda ajipange upya.
Makundi mengi hayamsemi vizuri, Wanawake wanamponda, Vijana hawamkubali, Wazee wanashangaa, Machinga wamebutwaa, Wakulima hoi, Makundi ya kipato cha chini Hali ya fedha ngumu na Bei zinapanda kila siku watoa Huduma wengi wanajipangia Bei utadhani Hakuna Mamalaka ya Nchi. Hawa wote wanaona Mama ndie shida na hili gari bovu ni la kwake maana amekuwa laini mno kama ulojo.
Saidia kumwambia hapa Hali ya Maisha Mtaani kwako ikoje labda ataelewa.