Ravalomanana
JF-Expert Member
- Sep 8, 2018
- 1,384
- 1,310
Ingia Google acha kujidanganya ndio wanaongoza africaSwaziland hakuna rate kubwa ya ukimwi labda Botswana, huko mabinti wengi bikra mpaka waolewe ndio wanatoa
Ingia Google acha kujidanganya ndio wanaongoza africaSwaziland hakuna rate kubwa ya ukimwi labda Botswana, huko mabinti wengi bikra mpaka waolewe ndio wanatoa
Botswana mkuuIngia Google acha kujidanganya ndio wanaongoza africa
Tuwasiliane.Hauendi popote. Pambaneni na janga lenu.
Unafaidi nini, nothing is so special awe virgin or not unless you are willing to handle the on bed strugglelakini unafaidi sana kama ni mabikira kama hao
Tatizo la kuwa na wake wengi , utajikuta kati ya watoto 25 watano tuu ndiyo wakwako na wengine umesaidiwa.
Wanaume mnanichangia daaahhhnisameheni.
Wadada wa ki Malawi kweli sana wanapenda wanaume wa TZ,,, Yuko radhi avuke boda kukufata TZ hata akosane na familia yake sawa tu kwake... Nimeshuhudia hii...awapi mim ningekuwa sijaoa ningeoa Mmalawi kwanza wanaadabu kuolewa na mtanzania kwao wanaona wameinuliwa pili wao wanaongea kiingereza kama lugha yao hivyo gharama za watoto kuwasomesha shule za kishua zitapungua na kingine ni hard worker wanapiga mzigo kisawasawa ndani na nje ya chumba achaaaaa kabisa! pia wanauzoefu wa kufuga kuku.
Mnaringa saaana.Acha tuende siye.Hamna tatizo nitawakabili mimi mwenyewe?
Mnavyotamani kwenda huko kufuata papuchi hapa kwenu hazipo? Au ndiyo mnaenda kutuaibisha huko tuu?
hizi ndizo nchi za kuishi
Maelezooo mengi ila to cut a long story short..Unadhani ni nyie wanawake wa bongo mmetumika kama Chupa ya CocaCola ambayo ikiisha soda inaenda kujazwa soda ingine kiwandani wakati chupa ni ile ile.
Wenzenu ni wanawake Mabikra. Wamejitunza miaka nenda Rudi. Huo muda wa kuwaza michepuko hana.
Hivi unadhan wanawake wa Uswatini hawatongozwi na wanaume. Wanatongozwa sana tena wanadanganywa lakini wanabana miguu mpaka ndoa.
Hizo mishe za watoto wa kubambikiziwa nyingi ni matokeo ya uchafu wa mwanamke. Unaoa jianamke halina bikra then unaamini vipi watoto ni wakwako.
Raha ya wake wengi ni kutoa bikra mwenyewe sio unageuza nyumba danguro kwa kuoa mijianamke isiyo na bikra iliyoshindwa na vishawishi vya wanaume.
Mfalme wa King eSwatini amewataka vijana wote nchini humo waliofikisha umri wa kuoa, kuoa haraka huku akisisitiza kuwa wanatakiwa kuoa wake walau kuanzia wawili na kwa wale watakaoshindwa kufanya hivyo watafungwa jela ifikapo june 2019.
Mfalme huyo ambaye anawake 15 na watoto 25 na inaelezwa baba yake alikuwa na wake zaidi ya 70 na watoto 150, amesema nchi ya eSwatini inakabiliwa na tatizo kubwa la wanawake kukosa waume kutokana na nchi hiyo kuwa na wanawake wengi kuzidi wanaume.
Nchi hiyo ambayo inaaminika kuwa na ‘mabikira’ wengi swala la ndoa za wake wengi limekuwa likionekana nikitu cha kusifiwa licha ya kuwa familia nyingi zikishi kwenye maisha ya kawaidaView attachment 1097148
View attachment 1097151
View attachment 1097152
Bongo utasubiri saana na hutapata bikira twenzetu Kwa Mswati mkuuHivi hii Tanzania itakuja lini dah. Nahitaji ije huku
Maelezooo mengi ila to cut a long story short..
Hao wanawake hamtawapata zaidi ya Ku fantasize pambaneni na vyenu.
Nyumbani pamenogaa.
Here we go!!Binafsi siwezi enda huko. Siwezi wasaliti wanawake wa taifa langu ukizingatia kuwa hata wenye bikra wapo.
Nitawapenda Dada zangu na kuwatendea heshima ya kuwafanya wawe wake zangu. Lakini ukweli lazima niwape kuwa kama huna bikra subiri wanaopenda vitu used.
teh tebSawa nakupa namba, hiyo nauli iliyokuwa inakuwasha kwenda kwenye hiyo nchi uitume huko , niile ikishaisha ndiyo nitakuwa na uhakika kwamba hauwezi kwenda tena.
Here we go!!
Wewe hapo umeoa?
Kama bado je ulishawahi kuwa kwenye mahusiano? If yes naamini ni zaidi ya mwanamke mmoja.
Wengine walikuwa mabikira ila ulipita na haukuwaoa, and upo hapa kusema kwamba wanawake ambao hawana bikra wakupite kushoto.
Ujue nini wataolewa ila kumbuka KARMA is a bad bit.ch.
nimecheka kwa sauti basi tuu.tunaomtumia nauli cute b tujuane