Mfalme atoa amri vijana waoe wake kuanzia wawili


Status
Not open for further replies.
EINSTEIN112

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Messages
4,310
Points
2,000
EINSTEIN112

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2018
4,310 2,000
Mfalme wa King eSwatini amewataka vijana wote nchini humo waliofikisha umri wa kuoa, kuoa haraka huku akisisitiza kuwa wanatakiwa kuoa wake walau kuanzia wawili na kwa wale watakaoshindwa kufanya hivyo watafungwa jela ifikapo june 2019.

Mfalme huyo ambaye anawake 15 na watoto 25 na inaelezwa baba yake alikuwa na wake zaidi ya 70 na watoto 150, amesema nchi ya eSwatini inakabiliwa na tatizo kubwa la wanawake kukosa waume kutokana na nchi hiyo kuwa na wanawake wengi kuzidi wanaume.

Nchi hiyo ambayo inaaminika kuwa na ‘mabikira’ wengi swala la ndoa za wake wengi limekuwa likionekana nikitu cha kusifiwa licha ya kuwa familia nyingi zikishi kwenye maisha ya kawaida
fb_img_1557820201996-jpeg.1097148


zulu-news-tv-blog-jpg.1097151


59b54aeb5bfad800187986-jpg.1097152
 
N

ngonyango

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2017
Messages
1,642
Points
2,000
N

ngonyango

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2017
1,642 2,000
Good enough. As long as they are beautiful, I can marry up to four. Can anyone help me how to get there please ?
kuna wakala wa hiyo kazi ni profesa wa chuo kikuu cha Swaziland lakini ni Mtanzania unaweza mcheki akakupa package ni kiasi gani...waweza mcheki
 
Chiwa

Chiwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2008
Messages
2,363
Points
2,000
Chiwa

Chiwa

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2008
2,363 2,000
Tatizo la kuwa na wake wengi , utajikuta kati ya watoto 25 watano tuu ndiyo wakwako na wengine umesaidiwa.
bora iwe hivyo ninyi mnaringa sana mkiwa na ndoa za peke yenu. sijui huku inaanza lini
 
cmoney

cmoney

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Messages
2,260
Points
2,000
cmoney

cmoney

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2011
2,260 2,000
Tatizo la kuwa na wake wengi , utajikuta kati ya watoto 25 watano tuu ndiyo wakwako na wengine umesaidiwa.
kitanda hakizai haramu..sasa utasaidiwaje wakati wanaume wachache...tulia kama dwa inakuingia
 
L

lordchimkwese

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2015
Messages
345
Points
500
L

lordchimkwese

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2015
345 500
Huko ngoma kwa sana sema dah hizo totoz noma ziwa mwiba
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,296,486
Members 498,655
Posts 31,249,933
Top