Nachukia sana vijana wenzangu wa ovyo

periodic table

Senior Member
Apr 2, 2019
193
483
Just imagine kijana kajaliwa pesa, kazi nzuri, elimu nzuri na maisha mazuri lakini bado mtu haoi mwanamke na kuanzisha familia bora.

Vijana wenzangu taifa linaitaji familia iliyo bora kwani ndio msingi wa malezi na kizazi imara chenye misingi thabiti.

Nasisitiza tuoeni vijana na wale wenye uwezo wa kuoa wanawake wengi waoe.

NB: Uke wenza sio mwanaune kuwa na wake wengi. Bali ni kila mwanamke apate mume Bora.

Tuoe jamani, tuoe jamani, tuwastili dada zetu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
naunga mkono hoja
 
Kwani wewe si wa hovyo unayetaka kuwapangia wenzako? Kaoe mwenyewe wakiamua wataoa
 
Back
Top Bottom