Naendelea kusisitiza vijana toem

mapema

JF-Expert Member
Jul 21, 2014
411
1,139
Heri na fanaka kwa wote , Allah awajalieni herina wepesi wenyr changamoto.

maisha kwa ujumla wake hayajawahi kuwa kwenye mstari mnyoofu wakati wote, kuna kupanda na kushuka kwingi lakini dhana na mantiki ya maisha inaendelea.

kila kitu kitu tunachofanya tunafanya ili kupata matokeo yanayoleta furaha, tunalima ili tupate mazao, tunanunua nguo nzuri ili kujisitiri na kupendeza, tuna sali ili kupata ukaribu na Mungu, tunasikiliza muziki ili kupata changamko la nasfi .
kika tunachofanya lengo ni kulata kilicho chema na kizuri.
hivyo na kwenye kuoa na kuolewa, pamoja na matarajio makuu ya kupata watoto kwenye ndoa lakini msukumo wa kwanza kwa wengi wetu tunaingia kwenye ndoa ili kupata wepesi wa ku sex.

kumbe bwana sivyo ilivyo, kunawakati nilidhani ni kwangu pekee kume wengi wetu tulio katika mahusiano rasmi moja kwa moja kwa moja na yasio rasmi moja kwa moja hakuna kitu kigumu kupata kama sex haswa kwa wanaume.

hii nilidhibitisha kwa usahihi kabisa kati ya wanaume kumi nane kati yao wanapata usumbufu mkubwa kutoka kwa wenzi wao wa kike wanapo wahitaji kwa tendo.

mwanaume kwa maumbile nq kawaida yake huitaji sana ngono kuliko mwanamke, na kawaida ya mwanaume haitaji muda mrefu wa maandalizi au muda mrefu wa kufanya tendo kiasi cha kumchosha mwanamke na kushindwa kumtimizia mwanamme haja yake.

sasa basi ukute wewe mwanaume upo umri wa ujana mbichi 25 mpaka 40 ni kipindi mwanaume anahitaji ngono kuliko maelezo, ubahatike kuoa mwanamke ambae ni mzito na mvivu wa sex, ubabatike kuoa mwanamke asie na hamu ana ambae hasisimki na namna yoyote ya sex, uwe umeoa kwa ndoa hizi za kikristo ambazo ni mke mmoja daima , uwe hauna uchumi mkubwa!

asilimia kubwa ya maisha yako yatakua hayana furaha na utajihisi mwenye bahati mbaya wakati wote.

una hamu mke kaupi, siku akikupa hakati kiu, punyeto inaathari nyingi nyuzi kibao zinaelezea hapa jukwaani, kununua wanaojiuza mikosi kama nyuzi za hapa jukwaani zinavyo dhibitisha, ukiwa mwenye mke hakuna mwanamke atakae kukubali , anae kukubali anakuchukua hela mpaka unaomba poo, maana hana cha kuloteza kwako , wao wenyewe wanasema mme wa mtu ni wa kumlia hela tu hawawezi kupata dhambi bure, wengi wa wanawake hawapendi kuwa ile inayoitwa mchepuko, walao ukiwa na hela, lakini sisi ambao kula leo ni kwa nasibu, tumeoa wake wasio tutosheleza, nyeto na kubanda ni mbaya kuliko maelezo basi maisha kwako yatakuwa ni maisha yaliokosa furaha na yaliokutana na matokeo mabaya .

nahitimisha vijana tuoe lakini kwenye kuoa usitarajie kukutana na furaha ya hio kuoa.
 
naomba title ya mada iwe vijana tuoe lakini tusiweke matarajio mazuri sana kwenye kuoa.
 
Sawa
 
Umeoa kwa sababu ya papuchi halafu wife hakupi hio papuchi na ushaweka Mkongo dushelele limesimama kama askari wa malkia wa Uingereza🤣🤣.

Sasa kama hakati kiu ya nini kuwa nae?.
 
Hivi kwanza hua mnaa ili iweje kwanza...🤔
Yaani, nini kazi ya ndoa kwani...🙄
 
Back
Top Bottom