Mfalme atoa amri vijana waoe wake kuanzia wawili


Status
Not open for further replies.
cute b

cute b

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2014
Messages
13,653
Points
2,000
cute b

cute b

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2014
13,653 2,000
Binafsi nimetembea na wanawake wengi sana. Mungu anisamehe. Lakini Wale nikiowakuta Bikra niliwaacha bila kuwaharibu kama nilikuwa siwapendi. Lakini baadae nilipata niliyemuona anavigezo vingi vya kuwa mke wangu. Kikiwepo kigezo cha bikra. Huyo nimeibikiri. Mpaka sasa tupo pamoja huu mwaka wa tano.

Anamalizia Degree yake ya udaktari hapa Muhimbili. Tuanze maisha ya ndoa Rasmi. Taratibu zote zimekamilika kichobaki ni ndoa tuu.

Katma is bitch kweli lakini laana ya mwenye dhambi ni kama dua la kuku lisilo mpata mwewe. Yaani nikukute huna bikra then utegemee nkuamini na kukupenda. Looh! Utakuwa uongo wa mchana
Kama haujawahi kutoa mwanamke bikra ukamuacha sawa.
Ila wenzako wamezitoa hivyo wanaoa yeyote mwenye na asiye na bikira kwa sababu hata hao siyo mabikra.
Asante kwa kushiriki
 
Jokajeusi

Jokajeusi

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2018
Messages
3,386
Points
2,000
Jokajeusi

Jokajeusi

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2018
3,386 2,000
Kama haujawahi kutoa mwanamke bikra ukamuacha sawa.
Ila wenzako wamezitoa hivyo wanaoa yeyote mwenye na asiye na bikira kwa sababu hata hao siyo mabikra.
Asante kwa kushiriki

Binafsi kama mwanamke anabikra au ananipenda sana alafu mimi simpendi namkimbia coz naogopa laana za watu kama hawa. Lakini mtu hana bikra na najua hanipendi wala sijali sana. Nafanya nitakavyo coz najua Laana zao si kali sana.
 
Otterhound

Otterhound

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2016
Messages
523
Points
500
Otterhound

Otterhound

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2016
523 500
Watanzania ni watu wa ajabu sana, ninyi na future mbali mbali, ebu jifunzeni kwa akina bilgate, bakhresa n.k. Yani nyinyi all the time munawaza haya mambo ndio mana umasikini hauishi.
 
EINSTEIN112

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Messages
4,310
Points
2,000
EINSTEIN112

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2018
4,310 2,000
Utafungwa jamaa waliopo wapo primary twenzetu south mkuu
Binafsi siwezi enda huko. Siwezi wasaliti wanawake wa taifa langu ukizingatia kuwa hata wenye bikra wapo.

Nitawapenda Dada zangu na kuwatendea heshima ya kuwafanya wawe wake zangu. Lakini ukweli lazima niwape kuwa kama huna bikra subiri wanaopenda vitu used.
 
Chiwa

Chiwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2008
Messages
2,363
Points
2,000
Chiwa

Chiwa

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2008
2,363 2,000
Wadada wa ki Malawi kweli sana wanapenda wanaume wa TZ,,, Yuko radhi avuke boda kukufata TZ hata akosane na familia yake sawa tu kwake... Nimeshuhudia hii...
hebu baeleze baelewe wachutame kwa uaminifu!
 
Pompey

Pompey

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2013
Messages
300
Points
250
Pompey

Pompey

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2013
300 250
Eswatini nchi nzuri sana ile, imetulia, umasikini sio sana, uhalifu kidogo, and wasichana ni wengi na ni wazuri,, ndiyo maana mfalme kaamua kuwasaidia, ni wengi kwa kweli.., af hakuna ubaguzi wa kijinga kama wa South Africa,. Karibuni wenye uwezo wenu, ingawa mfalme hajaomba msaada kutoka kwa raia wa kigeni,,
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,296,486
Members 498,655
Posts 31,249,902
Top