Mfalme atoa amri vijana waoe wake kuanzia wawili


Status
Not open for further replies.
Cole Williams

Cole Williams

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2016
Messages
28,695
Points
2,000
Cole Williams

Cole Williams

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2016
28,695 2,000
Sawa nakupa namba, hiyo nauli iliyokuwa inakuwasha kwenda kwenye hiyo nchi uitume huko , niile ikishaisha ndiyo nitakuwa na uhakika kwamba hauwezi kwenda tena.
Aisee nami naomba unitumie hii namba nitume nauli huko sawa
 
kali linux

kali linux

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2017
Messages
476
Points
1,000
kali linux

kali linux

JF-Expert Member
Joined May 21, 2017
476 1,000
Daah ndiyo nilikuwa naenda kufungua PM ila . Kwani wachaga tumewakosea nini ??
Tatizo madem wa kichaga wanaspend mda mwingi wakiwa xcul au vyuoni so hawapati mda wa kufundwa. Ndo maana hata madem wengi waliosoma sana wanasemekana hawajui kitu 6×6.

Nahisi hata yule dem aliekuwa na gwajima kwenye ile video alikua mchaga coz kanona, na ni mzur lkn alikua katulia tuli kama vle anafundishwa maths kumbe anagong**
 
ielewemitaa

ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Messages
393
Points
500
ielewemitaa

ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2014
393 500
Mfalme wa King eSwatini amewataka vijana wote nchini humo waliofikisha umri wa kuoa, kuoa haraka huku akisisitiza kuwa wanatakiwa kuoa wake walau kuanzia wawili na kwa wale watakaoshindwa kufanya hivyo watafungwa jela ifikapo june 2019.

Mfalme huyo ambaye anawake 15 na watoto 25 na inaelezwa baba yake alikuwa na wake zaidi ya 70 na watoto 150, amesema nchi ya eSwatini inakabiliwa na tatizo kubwa la wanawake kukosa waume kutokana na nchi hiyo kuwa na wanawake wengi kuzidi wanaume.

Nchi hiyo ambayo inaaminika kuwa na ‘mabikira’ wengi swala la ndoa za wake wengi limekuwa likionekana nikitu cha kusifiwa licha ya kuwa familia nyingi zikishi kwenye maisha ya kawaidaView attachment 1097148

View attachment 1097151

View attachment 1097152
Nipe utaratibu tunafikaje huko ?
 
cute b

cute b

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2014
Messages
13,653
Points
2,000
cute b

cute b

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2014
13,653 2,000
Tatizo madem wa kichaga wanaspend mda mwingi wakiwa xcul au vyuoni so hawapati mda wa kufundwa. Ndo maana hata madem wengi waliosoma sana wanasemekana hawajui kitu 6×6.

Nahisi hata yule dem aliekuwa na gwajima kwenye ile video alikua mchaga coz kanona, na ni mzur lkn alikua katulia tuli kama vle anafundishwa maths kumbe anagong**
Kwahiyo nimekosa vigezo siyo?
 
kali linux

kali linux

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2017
Messages
476
Points
1,000
kali linux

kali linux

JF-Expert Member
Joined May 21, 2017
476 1,000
Kwahiyo nimekosa vigezo siyo?
Unajua kuna msemo unasema "There is no rule without exception" Sasa wewe unaonekana ni exception kwa hio situation nlioielezea hapo ndo maana nataka kuleta proposal, lkn sijui kwa nn umefunga PM.
 
Yedder

Yedder

Member
Joined
May 5, 2019
Messages
56
Points
125
Yedder

Yedder

Member
Joined May 5, 2019
56 125
Swaziland ina watoto wakali sana nilienda maeneo ya lobamba kiruuuu nilichange hela zote yoooo ngiyatustandze eswati
 
EINSTEIN112

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Messages
4,310
Points
2,000
EINSTEIN112

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2018
4,310 2,000
nikioa wawili atanisaidia kuwatunza au anataka tu watu waolewe ndani ya nyumba maisha yao yote waishi kama mwezi wa ramadhani..njaa full dose
acha woga mtoto wa kiume, twenzetu mengine utajua hukohuko:cool::cool::cool:
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,296,485
Members 498,655
Posts 31,249,869
Top