Mfahamu Stephen Hawking, Mwanasayansi Aliyeitwa Mrithi Sahihi wa Albert Einstein

Mfahamu Stephen Hawking, Mwanasayansi Aliyeitwa Mrithi Sahihi wa Albert Einstein

Einstein aliwahi kuulizwa ,how does it feel to be the best scientist. Akajibu, I don't know, ask Mr Tesla. Nadhani alikuwa anamkubali Tesla sana. Einstein alifelimtihani wa kuingia chuo kikuu akaja akaajiriwa maktaba ya chuo kikuu ndio alisoma kwa juhudi take akaja kuingja university na kufanya makubwa. Tesla aliongea lugha name, aliweza kusoma kitabu Mara moja kikaa chote kichwani. Tesla alitaka kutengeneza Umeme wa bure dunia nzima mabepari wakamtosa kumnyima research funds Tesla ukimsoma biography hana wa kulingana naye.alifikiria vitu kwa upeo mkubwa mno. Mashine yoyote aliyogundua na ziko nyingi tu alizitengeneza kichwani na kuziboresha humo humo kichwa mwake. na alipoiunda inakuwa perfect. TESLA HAS NO EQUAL labda uwe na mahaba na mwanasayansi mwingine
Nakubaliana na wewe Tesla

Alikuwa kichwa alikufa na mawazo yake na katika umaskini mkubwa sana
 
Sasa huyu mnasema mwanasayansi wakati alikuwa mgonjwa wa akili. Yote mlioeleza hapo sijaona alichofanya cha maana zaidi mmeishia kusema alivumbua matundu meusi ya kufikirika...ha ha ha hata mimi hilo naweza kutabiri mawe mekundu yanayimeza joto angani. Foolish
 
Ongeza na langrarian multiplayer
Unakua mbishi sana...Kungundua force sio harder...Ni simple,sema ugunduzi wake wa hiki kitu simple ndio msingi...sio complex,ni msingi..

Unashindwa kuelewa..

Newton kagundua basic Calculus,ila waliojenga Partial Integrals,DF Equations,Vector Calculus,Tensor Analysis,Laplace Transforms,Graph Theory and little bit of Combinatorics,etc ni waaaay tougher..Acha upumbavu kabisa!
 
Mkuu

Newton kagundua vitu very basic ila muhimu...Newton hakua prodigy,hakua genius....alikua average ila alikua na juhudi kubwa sana ya kupiga msuli...Hiyo inajulikana!

Mkuu,magenius ni wale walikua wanafunga macho wanaona picha nzima ya dunia na mathematical equations na kila kitu ndio wanaandika na wakija ku-pruvu ni kweli..The likes of Tesla,Einstein na wale Wahindi,na Wajerumani..

Mzee,acha kabisaaa!



Mkuu mimi namkubali sana Tesla sema hapo uliposema Newton alikuwa mtu wa misuli sana hivi unajua msuli aliokuwa anapiga Tesla ni Grade A+
 
Einstein aliwahi kuulizwa ,how does it feel to be the best scientist. Akajibu, I don't know, ask Mr Tesla. Nadhani alikuwa anamkubali Tesla sana. Einstein alifelimtihani wa kuingia chuo kikuu akaja akaajiriwa maktaba ya chuo kikuu ndio alisoma kwa juhudi take akaja kuingja university na kufanya makubwa. Tesla aliongea lugha name, aliweza kusoma kitabu Mara moja kikaa chote kichwani. Tesla alitaka kutengeneza Umeme wa bure dunia nzima mabepari wakamtosa kumnyima research funds Tesla ukimsoma biography hana wa kulingana naye.alifikiria vitu kwa upeo mkubwa mno. Mashine yoyote aliyogundua na ziko nyingi tu alizitengeneza kichwani na kuziboresha humo humo kichwa mwake. na alipoiunda inakuwa perfect. TESLA HAS NO EQUAL labda uwe na mahaba na mwanasayansi mwingine
Hiyo idea ya relativity mnaichukulia poa kwa kuwa hamuijui ila ni idea inayotumiwa na hao ma genius wa siku hizi kuvimbua makitu huko angani. Ni idea super sana, nasikia ukiijua vizur newton utamuona muongo tu, ata theory ya gravity inadaiwa ni uwongo, mchezo wote ni relativity.
 
huna hata aibu unacopy wikipedia ya kiswahili then unapaste humu jf.umeperuzi tu hujamsoma hawking vizuri rudi darasan kijana.au njoo wana ethisim tukujenge katika mazingira ya kuwa ethists huku utakutana na kiumbe anaitwa richard dawkins phys na chem pasipokusahau math ni balaa(mpingaji wa mungu karne ya 21).
Mkuu ndo utupe hayo madini sasa...
 
Back
Top Bottom