Mfahamu Stephen Hawking, Mwanasayansi Aliyeitwa Mrithi Sahihi wa Albert Einstein

Mfahamu Stephen Hawking, Mwanasayansi Aliyeitwa Mrithi Sahihi wa Albert Einstein

Mkuu

Naona hatutaelewana kabisa....Wewe unachukulia Quantam ya A-Level...

U must be drinking some Kool-Aid strong sana...

Ile ni intriduction to Quantam Physics wewe mtoto....

Unaongelea A-Level?Wacha ninyamaze kabisa!
Mkuu unaonekana kuna kitu unataka sema , sema tuu mkuu
 
Hao wote mnaowasema bado sana....kuna jamaa yaan vyote yeye ni best of the best, master of masters...
Alikuwa daktari mkuu,
Alikuwa hakimu mkuu,
Alikuwa mwalimu kuliko,
Alikuwa genius mkuu,
Hakuna mtu atazaliwa awe na hata 1% ya kufanana nae....JESUS. Ni hatari
Nilivyosoma hiyo ya qualification ya kwanza na ya pili nilianza kuhisi mwishoni utamaliziaje.[emoji23] [emoji23] [emoji23] sorry
 
Yuko jamaa mmoja anaitwa Elijah huyu alisimamisha jua, acha kabisa wengine wakasome
 
Mkuu

Newton kagundua vitu very basic ila muhimu...Newton hakua prodigy,hakua genius....alikua average ila alikua na juhudi kubwa sana ya kupiga msuli...Hiyo inajulikana!

Mkuu,magenius ni wale walikua wanafunga macho wanaona picha nzima ya dunia na mathematical equations na kila kitu ndio wanaandika na wakija ku-pruvu ni kweli..The likes of Tesla,Einstein na wale Wahindi,na Wajerumani..

Mzee,acha kabisaaa!

Kaka,

Hawa wote uliowataja wametumia njia na kanuni za Newton,

Sijui ni kitu gani dunia hii unaweza kukifanya bila kutumia kanuni za Newton halafu mkuu unasema jamaa alikuwa average ??
 
Mkuu

Newton kagundua vitu very basic ila muhimu...Newton hakua prodigy,hakua genius....alikua average ila alikua na juhudi kubwa sana ya kupiga msuli...Hiyo inajulikana!

Mkuu,magenius ni wale walikua wanafunga macho wanaona picha nzima ya dunia na mathematical equations na kila kitu ndio wanaandika na wakija ku-pruvu ni kweli..The likes of Tesla,Einstein na wale Wahindi,na Wajerumani..

Mzee,acha kabisaaa!
Hiv hapa tz tumegundua nin na elimu yetu
 
Einstein aliwahi kuulizwa ,how does it feel to be the best scientist. Akajibu, I don't know, ask Mr Tesla. Nadhani alikuwa anamkubali Tesla sana. Einstein alifelimtihani wa kuingia chuo kikuu akaja akaajiriwa maktaba ya chuo kikuu ndio alisoma kwa juhudi take akaja kuingja university na kufanya makubwa. Tesla aliongea lugha name, aliweza kusoma kitabu Mara moja kikaa chote kichwani. Tesla alitaka kutengeneza Umeme wa bure dunia nzima mabepari wakamtosa kumnyima research funds Tesla ukimsoma biography hana wa kulingana naye.alifikiria vitu kwa upeo mkubwa mno. Mashine yoyote aliyogundua na ziko nyingi tu alizitengeneza kichwani na kuziboresha humo humo kichwa mwake. na alipoiunda inakuwa perfect. TESLA HAS NO EQUAL labda uwe na mahaba na mwanasayansi mwingine
 
Madhara ya kusoma mavitu magumu ya ajabu Mungu aliyoyafanya siri, Matokeo yake ndio hayo. Unaugua ugonjwa wa ajabu dunian
Kha! Madam, Mungu hakufanya siri. Mungu aliiumba hii dunia uchi kabisa kila mtu aweze kufanya yake!
 
Mkuu
Classical physics ndio basic physics maana yake,kwa kifupi sio ngumu..
Mkali wa classical physics sio mkali kiakili kiivyo...
Basic physics haingii kwenye quantam hata kidogo...
Wababe wa quantam ni vichwa zaidi ya Newton mara kadhaa....Usibishe

Kila physician ana mchango wake kutokana na discoveries zake. Hawking ni wakawaida sana sema tunampa credit coz ndo tunamuona kuntu kwa hiki kizazi basi. Huwezi kumlinganisha na Newton, father of morden calculus and classical mechanics.
Sawa Newton kafanya mambo mengi lakn still ni basis of physics Tu. Maana huwezi lingalisha classical mechanics na quantum mechanics. Quantum mechanics kitu kingine na ndio hatari wakuu na hili halina mjadala.
Hapa kwenye Quantum mechanics ndio kuna physician deadly naemkubali, Father of Quantum mechanics anaitwa Max Plank.
Plank ndio fundi mkuu na Plank hakuwahi kumchukulia Einstein genius, alimuona wa wawaida tu na ndo ilivo kiuhalisia, kwa tuliosoma advanced physics Hamna ataebisha kwa hili. Einstein alipata umaarufu baada ya Plank kuikubali theory yake "RELATIVITY"
Baada ya hapo ndo Einstein kupata promo na kuwa Genius of 20th century kumbe wala.
 
Back
Top Bottom