Mfahamu Stephen Hawking, Mwanasayansi Aliyeitwa Mrithi Sahihi wa Albert Einstein

Mfahamu Stephen Hawking, Mwanasayansi Aliyeitwa Mrithi Sahihi wa Albert Einstein

Mkuu acha Kumu underestimate Sir Isaac Newton , jamaa alikuwa kichwa kwanza unamsoma standard one hadi Chuo kikuu

Pili , Moja ya Kazi zake ni Integration kwenye hesabu nenda kasome alivyosumbua kichwa kuvumbua hizi hesabu zinazotamba Advance hadi chuo kikuu
Kumbeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mnachobishania hapa wengi ni nani mkali kati ya Basic na Advanced. Kwangu Basic ndio mkali ni sawa na mziki aliyeimba Malaika na aliyerudia remix yake useme mkali wa remix. Netwon na Einstein ni kama Messi na CR7
 
Wanaokuja kupiga Advanced sio wakali sana. Hata netwon angeishi mpaka leo hizo advanced angezipiga mwenyewe. Sema hatuishi milele
 
huna hata aibu unacopy wikipedia ya kiswahili then unapaste humu jf.umeperuzi tu hujamsoma hawking vizuri rudi darasan kijana.au njoo wana ethisim tukujenge katika mazingira ya kuwa ethists huku utakutana na kiumbe anaitwa richard dawkins phys na chem pasipokusahau math ni balaa(mpingaji wa mungu karne ya 21).
 
Haya mabishano ya mvuvi na mkulima sijui nani anashinda




Mimi namkubali sana huyu mzee

Mpemba[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mkuu hatuna hata mmoja wao aliyetoka Afrika, au Japan, au China? Au wako ila hawakuwa documented?

Wangu ni hawa:

1.Nikola Tesla (1856-1943 AD)
2. Marie Curie(1867-1934 AD)
3.Michael Faraday(1791-1867 AD)
4. Galileo(1564-1642 AD)
5.Johann Carl Friedrich Gauss
6. Niels Henrik David Bohr
7. Nicolaus Copernicus
8. Johannes Kepler
9. Ernest Rutherford
10. Max Karl Ernst Ludwig Planck
11. Werner Karl Heisenberg

Labda baada ya hapo aje:

12.Albert Einstein
13.Sir Isaac Newton
14.Etc

Unajua,mabishano ya nani ni mkali zaidi ya mwingine ni ushabiki kama ulivyo mpira..hatutaweza fika mwisho...ni upenzi wa mtu tu na ushabiki..sidhani kama kuna mwisho wa maana watu mnaweza fikia either way!
 
Mfano watoto Wa wapi ? Mkuu

Tatizo hutaki kuwataja hao guru wako

Mimi ngoja nikusaidie

1.Leonard Da Vinci
2.Galileo Galileo
3.Sir Isaac Newton
4.Nicholas Tesla
5.Albert Einstein
6.Marie Currie na Mmewe (Radioactive )


Na wengine kibao wenye mchango wao
Umemsahau F. Gauss
 
Wangu ni hawa:

1.Nikola Tesla (1856-1943 AD)
2. Marie Curie(1867-1934 AD)
3.Michael Faraday(1791-1867 AD)
4. Galileo(1564-1642 AD)
5.Johann Carl Friedrich Gauss
6. Niels Henrik David Bohr
7. Nicolaus Copernicus
8. Johannes Kepler
9. Ernest Rutherford
10. Max Karl Ernst Ludwig Planck
11. Werner Karl Heisenberg

Labda baada ya hapo aje:

12.Albert Einstein
13.Sir Isaac Newton
14.Etc

Unajua,mabishano ya nani ni mkali zaidi ya mwingine ni ushabiki kama ulivyo mpira..hatutaweza fika mwisho...ni upenzi wa mtu tu na ushabiki..sidhani kama kuna mwisho wa maana watu mnaweza fikia either way!
You're contradicting yourself.

You mentioned the reason for discrediting Newton is for his work ethics while forgetting that Faraday laboriously experimented with his coils but couldn't come up with a mathematical formula to explain his findings until Maxwell came along.
 
Si kweli..Newton alikua average!

Einstein alikua popularized na American jewish media machinery...dont get me wrong,he was good,ila media ya Kimarekani ilimpromoti mno...Niels Bor mwenyewe anamkimbiza..Kuna Mjerumani kama Goethe,way ahead of human times!Sema hawakua promoted na media!

Einstein alikua celebrity scientist,ni kama Kim Kardashian of science!
Ila sentensi ya mwisho umeharibu. Kim Kardashan is about makalio tu bana!
 
Newton aliweza kushawishi kwa kutumia theories za uwongo lakini zilizoweza kufanyiwa majaribio wakati Einstein angeweza kuja na theory tofauti kwa kila theory ya newton na kutoa majibu yaleyale[emoji13][emoji13][emoji13]
 
Ila yule jamaa aliyesoma mawazo ya Einstein akaja na bomu la nyuklia ni noma aisee, jina lake ni nani tena vile.
 
Kwa sasa kuna kijana Elon Musk nae ni Genius dogo yupo vizuri sana.

Ana project yake ya Mars Colonization, yani anajitahidi kuangalia uwezekano wa binadamu kuhamia sayari ya mars kutokana na dunia kuwa imechafuka sana
 
Back
Top Bottom