Mfahamu Stephen Hawking, Mwanasayansi Aliyeitwa Mrithi Sahihi wa Albert Einstein

Mfahamu Stephen Hawking, Mwanasayansi Aliyeitwa Mrithi Sahihi wa Albert Einstein

Hahahaaa

Ubishi tu...Newton aligundua basic calculus mzee.....sasa shindana na advanced complexity..good luck!
Kwamba unasoma hizo advanced complexity ?? Bila kuanzia mwanzo wake

Hivi utaanza kuzisoma bila kuanza kuwasoma wagunduzi wake Wa awali , yaani unaenda kusoma laprace transformation bila kusoma integration/differentiation

Yaani wewe ni sawa na Kumsaidia aliyetengeneza ndege /kifaru bila kumsifia Leonard Da Vinci aliyechora Technical drawings zake ambapo ikawa Kazi rahisi kwa waliofuata

Yaani ni sawa na kusema , Linear Motion aligundua Newton wakati mwanzilishi ni Galileo ,Newton akaja kyzitumia kwenye application na kuzitungia theory
 
Hahaha,hivi hujui kuna watoto hawasomi basics?Directly kwenye complexities?Hivi unajua hili?
Mfano watoto Wa wapi ? Mkuu

Tatizo hutaki kuwataja hao guru wako

Mimi ngoja nikusaidie

1.Leonard Da Vinci
2.Galileo Galileo
3.Sir Isaac Newton
4.Nicholas Tesla
5.Albert Einstein
6.Marie Currie na Mmewe (Radioactive )


Na wengine kibao wenye mchango wao
 
Hahaha,hivi hujui kuna watoto hawasomi basics?Directly kwenye complexities?Hivi unajua hili?
Nitajie maana hata Kim mtoto aliyeanza kusolve integration akiwa na miaka 11

Alianzia hizo basic ,na ni genius sana

Ebu nitajie hao wako
 
Huyu jamaa alikuwa mmoja ya Wanasayansi katika kamisheni ya Papa ya Sayansi na Teknolojia..(Pontificate Commission of science and Technology)...
 
Hao wote mnaowasema bado sana....kuna jamaa yaan vyote yeye ni best of the best, master of masters...
Alikuwa daktari mkuu,
Alikuwa hakimu mkuu,
Alikuwa mwalimu kuliko,
Alikuwa genius mkuu,
Hakuna mtu atazaliwa awe na hata 1% ya kufanana nae....JESUS. Ni hatari
 
Mfano watoto Wa wapi ? Mkuu

Tatizo hutaki kuwataja hao guru wako

Mimi ngoja nikusaidie

1.Leonard Da Vinci
2.Galileo Galileo
3.Sir Isaac Newton
4.Nicholas Tesla
5.Albert Einstein
6.Marie Currie na Mmewe (Radioactive )


Na wengine kibao wenye mchango wao

Wachache Sana wanao mtaja Da Vinci
 
Unakua mbishi sana...Kungundua force sio harder...Ni simple,sema ugunduzi wake wa hiki kitu simple ndio msingi...sio complex,ni msingi..

Unashindwa kuelewa..

Newton kagundua basic Calculus,ila waliojenga Partial Integrals,DF Equations,Vector Calculus,Tensor Analysis,Laplace Transforms,Graph Theory and little bit of Combinatorics,etc ni waaaay tougher..Acha upumbavu kabisa!
Asante kwa kutambua mchango wangu.
 
Ukiwa akili kubwa unaelewa
Day! Hii unaweza kuwa ngumu mno kuielewa. Labda nami nijaribu kufafanua nilivyoelewa. Spidi ya zaidi ya mwanga ukisafiri nayo siku tano, umbali utakaosafiri ni sawa na kusafiri kwa basi umbali huo kwa miaka kama hamsini.

Ila, ninapata shida kidogo, kwamba, utofauti huu unawezekana ikiwa mtoto aliyesafirishwa kwa spidi zaidi ya mwanga hatarudishwa kwa spidi hiyo. Akirudishwa NATO, basi atakuta yule mtoto anaendelea ma maisha yake ya kawaida baada ya siku kumi.

Kwa spidi ilivyokubwa, unaweza kujiona ukija, hahahah science is interesting, kwa hiyo MTU amejiacha, akawahi kufika.

I'm just brainstorming, let me go to read and try to develop what I've hypothesized.
 
Nitajie maana hata Kim mtoto aliyeanza kusolve integration akiwa na miaka 11

Alianzia hizo basic ,na ni genius sana

Ebu nitajie hao wako

Wangu ni hawa:

1.Nikola Tesla (1856-1943 AD)
2. Marie Curie(1867-1934 AD)
3.Michael Faraday(1791-1867 AD)
4. Galileo(1564-1642 AD)
5.Johann Carl Friedrich Gauss
6. Niels Henrik David Bohr
7. Nicolaus Copernicus
8. Johannes Kepler
9. Ernest Rutherford
10. Max Karl Ernst Ludwig Planck
11. Werner Karl Heisenberg

Labda baada ya hapo aje:

12.Albert Einstein
13.Sir Isaac Newton
14.Etc

Unajua,mabishano ya nani ni mkali zaidi ya mwingine ni ushabiki kama ulivyo mpira..hatutaweza fika mwisho...ni upenzi wa mtu tu na ushabiki..sidhani kama kuna mwisho wa maana watu mnaweza fikia either way!
 
Wangu ni hawa:

1.Nikola Tesla (1856-1943 AD)
2. Marie Curie(1867-1934 AD)
3.Michael Faraday(1791-1867 AD)
4. Galileo(1564-1642 AD)
5.Johann Carl Friedrich Gauss
6. Niels Henrik David Bohr
7. Nicolaus Copernicus
8. Johannes Kepler
9. Ernest Rutherford
10. Max Karl Ernst Ludwig Planck
11. Werner Karl Heisenberg

Labda baada ya hapo aje:

12.Albert Einstein
13.Sir Isaac Newton
14.Etc
Itakuwaa una matatzo ya ....li[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Itakuwaa una matatzo ya ....li
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
emoji125.png
emoji125.png
emoji125.png
emoji125.png

Wewe huna matatizo,una akili sanaaa!

Wewe una akili kubwa sana kutokua na akili!

Good to know!
 
Wewe huna matatizo,una akili sanaaa!

Wewe una akili kubwa sana kutokua na akili!

Good to know!
Huwezi kumtoa Eisten Kwenye top Five afu ukamuweka Faraday...itakuwa umeme umekupagawisha mzee.... Hata chekechea hawezii fanya huo ujingaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ngoja nikulegezee..
Yaani hapa anamaanisha ukimchukua watoto wawili wa miezi 5 alafu mmoja wao ukamuweka kwenye chombo kinachoweza kukimbia kwa kasi zaidi ya mwanga,akienda kwa siku 5 akirudi duniani atakuwa na ileile miezi 5 na siku 5 lakini yule aliyemuacha duniani atakuwa na miaka 85.Umeelewa??
hapa ndugu yangu umeandika pumba
 
We
Hao wote mnaowasema bado sana....kuna jamaa yaan vyote yeye ni best of the best, master of masters...
Alikuwa daktari mkuu,
Alikuwa hakimu mkuu,
Alikuwa mwalimu kuliko,
Alikuwa genius mkuu,
Hakuna mtu atazaliwa awe na hata 1% ya kufanana nae....JESUS. Ni hatari
We usenge umeanza lini? Mbona unataka kutuhalibia mada? Kwani jukwaa la dini hulijui? Tunakula desa unaleta ushoga
 
Mimi nadhani kila mtu alikua bora kwenye field yake.na sio busara sana kuwalinganisha hawa watu. Einstein -quantum mechanics
Newton -basic physics & maths
Tesla - magnestism and electricity + Mr Farad
So everyone had his room to play
we ndo upo sahihi!!* kila theory ina application yake na kuna muda haziingiliani! kila m1 apewe heshima yake bila huathiri heshima ya mwenzake!!
 
Day! Hii unaweza kuwa ngumu mno kuielewa. Labda nami nijaribu kufafanua nilivyoelewa. Spidi ya zaidi ya mwanga ukisafiri nayo siku tano, umbali utakaosafiri ni sawa na kusafiri kwa basi umbali huo kwa miaka kama hamsini.

Ila, ninapata shida kidogo, kwamba, utofauti huu unawezekana ikiwa mtoto aliyesafirishwa kwa spidi zaidi ya mwanga hatarudishwa kwa spidi hiyo. Akirudishwa NATO, basi atakuta yule mtoto anaendelea ma maisha yake ya kawaida baada ya siku kumi.

Kwa spidi ilivyokubwa, unaweza kujiona ukija, hahahah science is interesting, kwa hiyo MTU amejiacha, akawahi kufika.

I'm just brainstorming, let me go to read and try to develop what I've hypothesized.
hiv mwanga wa jua unatumia muda gani kufika duniani? nadhan ukisafiri nayo kwa muda wa siku1 tuu kwa gari ndo miaka 50
 
Back
Top Bottom