Mfahamu Stephen Hawking, Mwanasayansi Aliyeitwa Mrithi Sahihi wa Albert Einstein

Ni average compared na wenzake walioamfatia sio sisi wewe!

Unachemka sana kudhani ni sisi au mimi!

Geez
Mkuu;
Mimi napishana na wewe kidogo hapa, uwezi kugundua vitu very advanced bila kua kuanzia kwenye basic principle. Hizo basic principle za Sir Isaac Newton zisingekwepo hao walioleta advanced ingebidi waanzie chini..na yamkini wangegundua basic principle na wakafa au nyakati.ikawaacha.

Pili mtu alianzia basic na akapata achievment inatupa picha kua angeendelea na ugunduzi angeweza kutoa hizo advanced bahati mbaya hakua jiwe wakati na umri zilisogea. Watu wametumia akili ugunduzi wake kusogea mbele. Kwangu mimi aliyeweka foundation ni mzuri kuliko anaendeleza.
Lets appriciate Sir Isaac Newton's work.
 
Basic sio ngumu kama Advanced

Ngumu ni ipi mzee baba?

Complex ni ipii?

Usije niambia ni Basic!
 
Kwahizi comments za mabishano hamtufanyii fair sisi tuliosoma masomo ya Arts

Sent using Jamii Forums mobile app
Steve h ni WA kawaida tu kama wengine.
Hata aliyo yaandika ni mawazo yake tu.
Kwa sababu hata " The universe without God -no possibility.
Kwa maana ya kuwa itwa Mungu hatuwezi kum-define hata .01%.
Tukiweza kumdifini Mungu,Uungu wake unapotea.
Ndio maana yalianzia wapi na yataishia wapi tuna tumia nadharia zetu.
Tukisha fahamu milki Mungu inaishia wapi hapo Mungu anatoweka tunabaki sisi.
Bongo zetu aliyezitengeneza aliziwekea kiwango.(limit).
Ndiyo maana hakuna anaye fanya utafiti jinsi ya kutokufa.
If zero can become the universe(The big bang).then WHY DO YOU question the origin of God?
The Chinese are using God created uranium to make a sun.
They should have created The uranium first gosh.
 
Mkuu

Newton kagundua vitu very basic ila muhimu...Newton hakua prodigy,hakua genius....alikua average ila alikua na juhudi kubwa sana ya kupiga msuli...Hiyo inajulikana!

Mkuu,magenius ni wale walikua wanafunga macho wanaona picha nzima ya dunia na mathematical equations na kila kitu ndio wanaandika na wakija ku-pruvu ni kweli..The likes of Tesla,Einstein na wale Wahindi,na Wajerumani..

Mzee,acha kabisaaa!
Si sawa kuanza kuwafananisha na kuwashindanisha hawa jamaa. Kila mtu aligundua kitu chake na kwa muda wake. Hapa tunachofanya ni kutafuta umaarufu wa ubishi.
 
Jina lake kamili ni Stephen William Hawking,alizaliwa Oxford uingereza, 8 Januari 1942 na amefariki 14 Machi 2018. Alikuwa mtaalamu wa fizikia na hisabati kutoka Uingereza, mmoja kati ya wataalamu wa fizikia wa kinadharia ulimwenguni.

Jamaa alikuwa haamini kwenye Mungu na enzi anasoma Mwaka 1950 shule ya serikali ya Hertfordshire. Akiwa na umri wa miaka 17, alipitia mtihani wa kujifunza huko Oxford. alichukua masomo ya Chemistry na physics ambayo kwetu madesa hayapandi na kila alichokua anafundishwa kilikua rahisi sana so hata hakusoma wakati wa kujiandaa na mtihani sababu kila alichofundishwa kilikua rahisi sana.
Shuleni alizosoma walimuita #Einstein…nadhani mnamjua huyu jamaa Einstein ndio mwanasayansi ambaye alitabiri mambo ya zaidi ya miaka 100 na yanatokea kweli.

Tafsiri narudia tena TAFSIRI tu ya vitabu vyake ndo viliwezesha Russia kwenda Mwezini.
Ndiye mwenye ile theory ambayo inasema ukienda kwa kasi ya Mwanga unaweza kusimamisha muda.
Ukienda kwa kasi zaidi ya mwanga unaweza kurudisha muda nyuma na ukajiona ukija.

Pole najua hujaelewa hapo..usijali,ni akili kubwa sana.

Ngoja nikulegezee..
Yaani hapa anamaanisha ukimchukua watoto wawili wa miezi 5 alafu mmoja wao ukamuweka kwenye chombo kinachoweza kukimbia kwa kasi zaidi ya mwanga,akienda kwa siku 5 akirudi duniani atakuwa na ileile miezi 5 na siku 5 lakini yule aliyemuacha duniani atakuwa na miaka 85.Umeelewa??

Pole ila najua kwambali kasomo kamekuingia nitakaelezea siku nyingine kama unataka katafute kitu kinaitwa ‘TIME TRAVELLER’ Utawasoma zaidi hawa watu.

Sasa huyo Einstein wa maajabu yote hayo ndo jamaa alikuwa anafananishwa naye.
Aliandika vitabu mashuhuri kuhusu sayansi vinavyolenga watu ambao si wanasayansi.
Ukivisoma lazima uwe na imani sana otherways unaweza kuanza kutoamini dini yako

PITA HAPA PIA: PAKUA FILAMU THEORY OF EVERYTHING FILAMU INAYOHUSU MAISHA YA STEPHEN HAWKING

Hawking alikuwa profesa wa hisabati katika Chuo Kikuu cha Cambridge nafasi ambayo [HASHTAG]#IsaacNewton[/HASHTAG] aliwahi kuwa nayo.
Alistaafu tarehe 1 Oktoba 2009.
Newton nadhani tunamfahamu tulimsoma sekondari zile Law zake.

Dingi na mama yake walikuwa na akili sana pia,walikutana wakati wa kukaribia vita vya pili vya dunia.
wakati anasoma ndipo ugonjwa wake ulianza kujionyesha.
Alikuwa na shida katika kujinyoosha na kisha hata tu kutembea.
Hata hivyo, alimaliza PhD yake akaandika kuhusu mashimo meusi katika shahada yake.
Mashimo meusi(Blackholes) ni mashimo flani wanayasema wataalamu kuwa yapo angani.
Kwamba Mwanga unamezwa,yaani ni sehemu pekee giza linaushinda mwanga.tatizo hakuna picha iliyowahi kupigwa sababu ni nadharia ya kufikirika.

Alikuwa na ugonjwa wa chembe za neva unaohusiana na ulemavu wa akili unaosababisha mtu kuwa na shida ya kusoma na kuandika (Dyslexia kwa Kiingereza), na kwa sababu hiyo hawezi kutembea au kuzungumza vizuri. Ugonjwa huo ulizidi hata kuwa karibu kabisa na kupooza. Alitumia gurudumu kusonga, na kompyuta ya Intel ili kuzungumza.

Bado hatujajua Mungu ameamua kuonyesha ukuu wake au ni hali ya kawaida tu. Lakini jamaa ndo hivyo bana.

Huyo ndo Mtu Mzima Stephen Hawking, kwa uchache kwa zaidi unaweza kusoma kupitia Mitandao mbalimbali
Msikilize professor wa Oxford anayem'challenge'. Unaweza ku'search' YouTube 'Stephen Hawking's argument destroyed by John Lennox'. Very interesting!
 
Si kweli..Newton alikua average!

Einstein alikua popularized na American jewish media machinery...dont get me wrong,he was good,ila media ya Kimarekani ilimpromoti mno...Niels Bor mwenyewe anamkimbiza..Kuna Mjerumani kama Goethe,way ahead of human times!Sema hawakua promoted na media!

Einstein alikua celebrity scientist,ni kama Kim Kardashian of science!
Natamani ungewajadili kwa hoja..
Amemzidi nini Einstein?
 
Wanasayansi niambieni ni formula gani ulipelekea moto kutoka mbinguni kuteketeza maji kipindi kile Cha nabii Elia.

Inawezekanaje moto ukateketeza maji.
 
Huwezi kumtoa Eisten Kwenye top Five afu ukamuweka Faraday...itakuwa umeme umekupagawisha mzee.... Hata chekechea hawezii fanya huo ujingaa
Faraday hakuwa na formal education kama einstein ,huyu mwamba alikuwa anafanya Kazi ya KuBIND vitabu ,na hapo ndo alapata wasaa wa kujisomea ,
Huu umeme unaowasha Paa umegunduliwa na mtu mwenye elimu ya HAPA na PALE ogopa Sana
 
Steve h ni WA kawaida tu kama wengine.
Hata aliyo yaandika ni mawazo yake tu.
Kwa sababu hata " The universe without God -no possibility.
Kwa maana ya kuwa itwa Mungu hatuwezi kum-define hata .01%.
Tukiweza kumdifini Mungu,Uungu wake unapotea.
Ndio maana yalianzia wapi na yataishia wapi tuna tumia nadharia zetu.
Tukisha fahamu milki Mungu inaishia wapi hapo Mungu anatoweka tunabaki sisi.
Bongo zetu aliyezitengeneza aliziwekea kiwango.(limit).
Ndiyo maana hakuna anaye fanya utafiti jinsi ya kutokufa.
If zero can become the universe(The big bang).then WHY DO YOU question the origin of God?
The Chinese are using God created uranium to make a sun.
They should have created The uranium first gosh.
Kitu ambacho kinaniumiza kichwa ati sperm cell ambayo hata huwezi kuiona ndo inakuja kutengeneza mtu mzima ambaye unaweza kumuona daaah.
 
Mungu yupi unamzungumzia wewe? thousands of civilization zimepita hii dunia na kila moja ilikuwa inaamini mungu ambaye ni tofauti kutoka civilization nyingine, hata sisi kabla ya mkoloni tulikuwa tuna imani zetu na mungu wetu kabla ya huyu aliyetufundisha mkoloni,hata leo concept/idea ya mungu ni tofauti sana na inategemea unapoishi/ulipozaliwa, inaonekana kila mtu/jamii ni kivyake vyake wanachoamini, bila mkoloni wengine wangekuwa wanaamini mungu Kingalu na kuimba kila siku wakisubiri atarudi kuwaokoa na ndiye anawapa mavuno mengi na ushindi kwenye vita vyao na inawezekana wangekuwa wanachinja watu wao kila mwaka kutoa shukrani kwa mungu Kingaru, amini unachoamini lakini kwangu idea ya mungu is just BS na haina maana yeyote zaidi ya binadamu kuitumia kujibu maswali magumu yanayomkabili na kujipa moyo akiwa na matatizo
 
Science imejibu hilo swali miaka mingi iliyopita na mechanism yake yote,na sperm cell inaonekana vizuri tuu (microscope), mbona hushangai nanochip ambazo huwezi kuziona with your naked eye na ndio zina power our modern internet, computers, satellites etc ambazo tunatumia kwenda sayari nyingine, kuwasiliana na mtu thousands of miles across in real time, kuona galaxies etc
 
Wao wanasayansi wana observe tu mambo yanavyoenda ndio wanatusimulia sisi sio kwamba wao ndio wanafanya no no.

Ukiambiwa sijui mechanism of breathing maana yake wao wamwangalia namna mambo walivyoyakuta kisha ndio wanatuaimulia na sisi.

Naappreciate sana uwezo wao wa kuangia hayo mambo kwani sisi hatukuweza,lakini hilo halinifanyi nisiendelee kushangaa maajabu ya mambo yanavyokwenda katika ulimwengu.

Sawa wametoa majibu juu ya mambo ya spwrm cell zinavyokua,lakini majibu hayo hayajanikatisha kushangaa kwangu,bali ndio yamezidi kunifanya nishangae zaidi.
 
Jina lake kamili ni Stephen William Hawking,alizaliwa Oxford uingereza, 8 Januari 1942 na amefariki 14 Machi 2018. Alikuwa mtaalamu wa fizikia na hisabati kutoka Uingereza, mmoja kati ya wataalamu wa fizikia wa kinadharia ulimwenguni.

Jamaa alikuwa haamini kwenye Mungu na enzi anasoma Mwaka 1950 shule ya serikali ya Hertfordshire. Akiwa na umri wa miaka 17, alipitia mtihani wa kujifunza huko Oxford. alichukua masomo ya Chemistry na physics ambayo kwetu madesa hayapandi na kila alichokua anafundishwa kilikua rahisi sana so hata hakusoma wakati wa kujiandaa na mtihani sababu kila alichofundishwa kilikua rahisi sana.
Shuleni alizosoma walimuita #Einstein…nadhani mnamjua huyu jamaa Einstein ndio mwanasayansi ambaye alitabiri mambo ya zaidi ya miaka 100 na yanatokea kweli.

Tafsiri narudia tena TAFSIRI tu ya vitabu vyake ndo viliwezesha Russia kwenda Mwezini.
Ndiye mwenye ile theory ambayo inasema ukienda kwa kasi ya Mwanga unaweza kusimamisha muda.
Ukienda kwa kasi zaidi ya mwanga unaweza kurudisha muda nyuma na ukajiona ukija.

Pole najua hujaelewa hapo..usijali,ni akili kubwa sana.

Ngoja nikulegezee..
Yaani hapa anamaanisha ukimchukua watoto wawili wa miezi 5 alafu mmoja wao ukamuweka kwenye chombo kinachoweza kukimbia kwa kasi zaidi ya mwanga,akienda kwa siku 5 akirudi duniani atakuwa na ileile miezi 5 na siku 5 lakini yule aliyemuacha duniani atakuwa na miaka 85.Umeelewa??

Pole ila najua kwambali kasomo kamekuingia nitakaelezea siku nyingine kama unataka katafute kitu kinaitwa ‘TIME TRAVELLER’ Utawasoma zaidi hawa watu.

Sasa huyo Einstein wa maajabu yote hayo ndo jamaa alikuwa anafananishwa naye.
Aliandika vitabu mashuhuri kuhusu sayansi vinavyolenga watu ambao si wanasayansi.
Ukivisoma lazima uwe na imani sana otherways unaweza kuanza kutoamini dini yako

PITA HAPA PIA: PAKUA FILAMU THEORY OF EVERYTHING FILAMU INAYOHUSU MAISHA YA STEPHEN HAWKING

Hawking alikuwa profesa wa hisabati katika Chuo Kikuu cha Cambridge nafasi ambayo [HASHTAG]#IsaacNewton[/HASHTAG] aliwahi kuwa nayo.
Alistaafu tarehe 1 Oktoba 2009.
Newton nadhani tunamfahamu tulimsoma sekondari zile Law zake.

Dingi na mama yake walikuwa na akili sana pia,walikutana wakati wa kukaribia vita vya pili vya dunia.
wakati anasoma ndipo ugonjwa wake ulianza kujionyesha.
Alikuwa na shida katika kujinyoosha na kisha hata tu kutembea.
Hata hivyo, alimaliza PhD yake akaandika kuhusu mashimo meusi katika shahada yake.
Mashimo meusi(Blackholes) ni mashimo flani wanayasema wataalamu kuwa yapo angani.
Kwamba Mwanga unamezwa,yaani ni sehemu pekee giza linaushinda mwanga.tatizo hakuna picha iliyowahi kupigwa sababu ni nadharia ya kufikirika.

Alikuwa na ugonjwa wa chembe za neva unaohusiana na ulemavu wa akili unaosababisha mtu kuwa na shida ya kusoma na kuandika (Dyslexia kwa Kiingereza), na kwa sababu hiyo hawezi kutembea au kuzungumza vizuri. Ugonjwa huo ulizidi hata kuwa karibu kabisa na kupooza. Alitumia gurudumu kusonga, na kompyuta ya Intel ili kuzungumza.

Bado hatujajua Mungu ameamua kuonyesha ukuu wake au ni hali ya kawaida tu. Lakini jamaa ndo hivyo bana.

Huyo ndo Mtu Mzima Stephen Hawking, kwa uchache kwa zaidi unaweza kusoma kupitia Mitandao mbalimbali
Nimesoma zaidi ya mara nane hiyo kesi ya ya spidi ya mwanga nikatoka bila bila. Nikasema labda ni njaa, nikaenda kujilia ugali na bamia nikarudi tena kusoma kama mara nne hivi bado nimetoka kapa.Nimeamua kuacha maana nimegundua I'm not a targeted audience 😅🙌🙌
 
Fikiria kitu kama tairi la gari au baiskeli likizunguka , kuna wakati likiwa katika speed kubwa sana linaweza kuonekana limesimama na halizunguki tena, na wakati mwingine unaweza kuona kama linazunguka opposite direction, sasa imagine tairi linazunguka speed ya mwanga unafikiri utaona nini? nakuhakikishia utaona lile tairi limesimama na halizunguki tena, ukitaka kuelewa vizuri inabidi usome spacetime and Einstein relativity theory
 
Mungu yupi unamzungumzia wewe? thousands of civilization zimepita hii dunia na kila moja ilikuwa inaamini mungu ambaye ni tofauti kutoka civilization nyingine, hata sisi kabla ya mkoloni tulikuwa tuna imani zetu na mungu wetu kabla ya huyu aliyetufundisha mkoloni,hata leo concept/idea ya mungu ni tofauti sana na inategemea unapoishi/ulipozaliwa, inaonekana kila mtu/jamii ni kivyake vyake wanachoamini, bila mkoloni wengine wangekuwa wanaamini mungu Kingalu na kuimba kila siku wakisubiri atarudi kuwaokoa na ndiye anawapa mavuno mengi na ushindi kwenye vita vyao na inawezekana wangekuwa wanachinja watu wao kila mwaka kutoa shukrani kwa mungu Kingaru, amini unachoamini lakini kwangu idea ya mungu is just BS na haina maana yeyote zaidi ya binadamu kuitumia kujibu maswali magumu yanayomkabili na kujipa moyo akiwa na matatizo
Mungu ninayemzungumzia ni Yule anamiliki programu zinazofanya "universe" iendelee
 
Back
Top Bottom