Tesla alikuwa mchoyo wa ujuzi ndiyo maana hakufanyikisha gunduzi zake nyingi badala yake wamekuja kufanyikisha watu wengine. Salute kwa Thomas EdsonTesla hakuwa binadam wa kawaida
Tesla alikuwa mchoyo wa ujuzi ndiyo maana hakufanyikisha gunduzi zake nyingi badala yake wamekuja kufanyikisha watu wengine. Salute kwa Thomas EdsonTesla hakuwa binadam wa kawaida
Nadhani ulimaanisha langrarian multiplier-By Prof Osoro....haha haaa.Ongeza na langrarian multiplayer
Sasa hiyo kitu ni mchezo,na zile za econometrics hazifai yaani formulae ndefu hadi countetbook haitishiNadhani ulimaanisha langrarian multiplier-By Prof Osoro....haha haaa.
Sasa hiyo kitu ni mchezo,na zile za econometrics hazifai yaani formulae ndefu hadi countetbook haitishiNadhani ulimaanisha langrarian multiplier-By Prof Osoro....haha haaa.
Lakini kwa vimwana nako yuko vizuri.Kwa sasa kuna kijana Elon Musk nae ni Genius dogo yupo vizuri sana.
Ana project yake ya Mars Colonization, yani anajitahidi kuangalia uwezekano wa binadamu kuhamia sayari ya mars kutokana na dunia kuwa imechafuka sana
nitakuelezea kulingana na upembuzi wangu IM NOT GENIUS,INTELLIGENT OR NORMAL PEOPLE.....then tuanze kuchambua mada husika ,JE NI KWA NJIA IPI UNAWEZA SIMAMISHA MUDA UKIWA UNAENDA KWA KASI YA MWANGA?Kila siku narudia uzi huu lkn sipat kitu hapo kwenye huo mfano. Nahtaj ufafanuzi wa kusimamisha muda
Huyo tesla wamadai alikuwa anaficha Ideas zakee... Na nyingi aligundua kabla ya watu wengi kugundua...!! Sasa huoo ni ufalaaa... Maana hata mimi ninazo ideas sema nimezitunza..
hivi vitu havihitaji hasiraKasi ya mwanga kusimamisha muda nimetoka kapa kwa kweli
Mjinga na mpumbavu tu ndio atamlonganisha Einstein na vitu vya kijingaHuyo tesla ni ishu za elctrical Eng kwa sanaa..!! Leo revolution kubwa za uzalishaji nguvu za umeme kutumia Nuclear...silaha za nuclear..modern physcs its all abt Eistein...!! ACHAAA UJINGAA kijanaa... EISTEIN ni more general n wide huyo tesla umeme tu... Kalale mbelee hukoo... Eti teslaaaa...shwain kabisaa....
Wabongo bwaana, eti Newton alikuwa average, mtu findings zake mnazisotea PHD, Degree n.k leo mnasema n average?Mkuu
Newton kagundua vitu very basic ila muhimu...Newton hakua prodigy,hakua genius....alikua average ila alikua na juhudi kubwa sana ya kupiga msuli...Hiyo inajulikana!
Mkuu,magenius ni wale walikua wanafunga macho wanaona picha nzima ya dunia na mathematical equations na kila kitu ndio wanaandika na wakija ku-pruvu ni kweli..The likes of Tesla,Einstein na wale Wahindi,na Wajerumani..
Mzee,acha kabisaaa!
Wabongo
Wabongo bwaana, eti Newton alikuwa average, mtu findings zake mnazisotea PHD, Degree n.k leo mnasema n average?
Me nimeelewa jambo kwa uchach hapo iko hivi MF chukua watu wa will mmoja awe na uwezo wa kufikirià kwa haraka sana na kuchambua jambo kwa kasi ya ajabu na mwngn hawezi kufiria wape jambo wafikirie DKK 15 huyu wa kwanza yy atapata utaalamu wa miaka zaidi ya 10,000 ijayo na wapili atakuwa amepata utaalamu wa dakika zile 15 hapo utakuwa umenipata kiasiKasi ya mwanga kusimamisha muda nimetoka kapa kwa kweli
Nicolas Tesla ndiye baba laoJina lake kamili ni Stephen William Hawking,alizaliwa Oxford uingereza, 8 Januari 1942 na amefariki 14 Machi 2018. Alikuwa mtaalamu wa fizikia na hisabati kutoka Uingereza, mmoja kati ya wataalamu wa fizikia wa kinadharia ulimwenguni.
Jamaa alikuwa haamini kwenye Mungu na enzi anasoma Mwaka 1950 shule ya serikali ya Hertfordshire. Akiwa na umri wa miaka 17, alipitia mtihani wa kujifunza huko Oxford. alichukua masomo ya Chemistry na physics ambayo kwetu madesa hayapandi na kila alichokua anafundishwa kilikua rahisi sana so hata hakusoma wakati wa kujiandaa na mtihani sababu kila alichofundishwa kilikua rahisi sana.
Shuleni alizosoma walimuita #Einstein…nadhani mnamjua huyu jamaa Einstein ndio mwanasayansi ambaye alitabiri mambo ya zaidi ya miaka 100 na yanatokea kweli.
Tafsiri narudia tena TAFSIRI tu ya vitabu vyake ndo viliwezesha Russia kwenda Mwezini.
Ndiye mwenye ile theory ambayo inasema ukienda kwa kasi ya Mwanga unaweza kusimamisha muda.
Ukienda kwa kasi zaidi ya mwanga unaweza kurudisha muda nyuma na ukajiona ukija.
Pole najua hujaelewa hapo..usijali,ni akili kubwa sana.
Ngoja nikulegezee..
Yaani hapa anamaanisha ukimchukua watoto wawili wa miezi 5 alafu mmoja wao ukamuweka kwenye chombo kinachoweza kukimbia kwa kasi zaidi ya mwanga,akienda kwa siku 5 akirudi duniani atakuwa na ileile miezi 5 na siku 5 lakini yule aliyemuacha duniani atakuwa na miaka 85.Umeelewa??
Pole ila najua kwambali kasomo kamekuingia nitakaelezea siku nyingine kama unataka katafute kitu kinaitwa ‘TIME TRAVELLER’ Utawasoma zaidi hawa watu.
Sasa huyo Einstein wa maajabu yote hayo ndo jamaa alikuwa anafananishwa naye.
Aliandika vitabu mashuhuri kuhusu sayansi vinavyolenga watu ambao si wanasayansi.
Ukivisoma lazima uwe na imani sana otherways unaweza kuanza kutoamini dini yako
PITA HAPA PIA: PAKUA FILAMU THEORY OF EVERYTHING FILAMU INAYOHUSU MAISHA YA STEPHEN HAWKING
Hawking alikuwa profesa wa hisabati katika Chuo Kikuu cha Cambridge nafasi ambayo [HASHTAG]#IsaacNewton[/HASHTAG] aliwahi kuwa nayo.
Alistaafu tarehe 1 Oktoba 2009.
Newton nadhani tunamfahamu tulimsoma sekondari zile Law zake.
Dingi na mama yake walikuwa na akili sana pia,walikutana wakati wa kukaribia vita vya pili vya dunia.
wakati anasoma ndipo ugonjwa wake ulianza kujionyesha.
Alikuwa na shida katika kujinyoosha na kisha hata tu kutembea.
Hata hivyo, alimaliza PhD yake akaandika kuhusu mashimo meusi katika shahada yake.
Mashimo meusi(Blackholes) ni mashimo flani wanayasema wataalamu kuwa yapo angani.
Kwamba Mwanga unamezwa,yaani ni sehemu pekee giza linaushinda mwanga.tatizo hakuna picha iliyowahi kupigwa sababu ni nadharia ya kufikirika.
Alikuwa na ugonjwa wa chembe za neva unaohusiana na ulemavu wa akili unaosababisha mtu kuwa na shida ya kusoma na kuandika (Dyslexia kwa Kiingereza), na kwa sababu hiyo hawezi kutembea au kuzungumza vizuri. Ugonjwa huo ulizidi hata kuwa karibu kabisa na kupooza. Alitumia gurudumu kusonga, na kompyuta ya Intel ili kuzungumza.
Bado hatujajua Mungu ameamua kuonyesha ukuu wake au ni hali ya kawaida tu. Lakini jamaa ndo hivyo bana.
Huyo ndo Mtu Mzima Stephen Hawking, kwa uchache kwa zaidi unaweza kusoma kupitia Mitandao mbalimbali
Uwezi kuacha kumwongelea Nicholas TeslaDunia hii kuna wanascience wakubwa walioleta Revolutions kubwa lakini NEWTON NA EINSTEIN hawaa ndo Baba zaoo...!!
Nyingi ya theories za Tesla zilipotea na nyingine hazikueleweka kwa wakati ule. Hata hivyo alikufa kijana sanaVivyo hivyo kwa Tesla, hakuwa promoted lakini tafiti na theories zake zinaushangaza ulimwengu.
Nani kakwambia Tesla alikufa kijanaNyingi ya theories za Tesla zilipotea na nyingine hazikueleweka kwa wakati ule. Hata hivyo alikufa kijana sana
Sent using Jamii Forums mobile app