Mfahamu Stephen Hawking, Mwanasayansi Aliyeitwa Mrithi Sahihi wa Albert Einstein

Mfahamu Stephen Hawking, Mwanasayansi Aliyeitwa Mrithi Sahihi wa Albert Einstein

Unakua mbishi sana...Kungundua force sio harder...Ni simple,sema ugunduzi wake wa hiki kitu simple ndio msingi...sio complex,ni msingi..

Unashindwa kuelewa..

Newton kagundua basic Calculus,ila waliojenga Partial Integrals,DF Equations,Vector Calculus,Tensor Analysis,Laplace Transforms,etc ni waaaay tougher..Acha upumbavu kabisa!
Yanii wew ndo hujuii kituu... Waliogundua Basic knowledge kama hizo ambazo zinakuwa applied in alot of issues ndo noma..!! Tatzo unabase sana kweny Hesabu ilaa Newton kapita kotee... Hesabu...physics...
 
Dunia hii kuna wanascience wakubwa walioleta Revolutions kubwa lakini NEWTON NA EINSTEIN hawaa ndo Baba zaoo...!!

Sasa hao wote ni wanawake wachumba kabisa kwa Tesla....huyo ni mmoja....kuna dazeni yaani zaidi ya 12 ahead ya hao....sema hujawasoma.
 
Yanii wew ndo hujuii kituu... Waliogundua Basic knowledge kama hizo ambazo zinakuwa applied in alot of issues ndo noma..!! Tatzo unabase sana kweny Hesabu ilaa Newton kapita kotee... Hesabu...physics...

Sasa wewe nadhani akili umeweka mfukoni..

Basic ni ngumu kuliko Advanced?

Basic ni msingi,umuhimu naujua,sio kwamba aliyegundua Basic ndio ana akili zaidi ya aliegundua Advanced ..

Na pia kadanganye mtoto mdogo kua Advanced Inventions ni simple zaidi ya Basic Inventions....
 
Huyo tesla ni ishu za elctrical Eng kwa sanaa..!! Leo revolution kubwa za uzalishaji nguvu za umeme kutumia Nuclear...silaha za nuclear..modern physcs its all abt Eistein...!! ACHAAA UJINGAA kijanaa... EISTEIN ni more general n wide huyo tesla umeme tu... Kalale mbelee hukoo... Eti teslaaaa...shwain kabisaa....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Au ushawahi sikia mtu akiwa genius watu wanamuita Teslaaa..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]we compare genius people with Eisten au Newton... Wew na tesla wakooo kalale mbele..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Pitia hiii link sio unabishiaa ushabiki na mahabaa...
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png

https://www.quora.com/Genius-and-Geniuses-Who-was-smarter-Albert-Einstein-or-Nikola-Tesla

Hahahaaa

Quora ni maoni ya watu individual kama tunavyofanya hapa...nipe list labda kutoka American Scientific Society,au kitu chochote maalumu,sio maoni random kutoka Quora.

Hivi unajua what is "Quora" kweli?
 
Soma kilichoandikwaa tatzo sio web site kijna.. Wachaa kupiga tarumbetaa hapaa etii teslaa...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yanii itakuwa umesomea sana umeme sijui bhasi kumjua huyo unatuletra shida hapa.. Tena siku nyingne usije ukajaribu kumcompare Eisten na upuuzi huooo yani unaweza pigwaa hata makofii...[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Si kweli..Newton alikua average!

Einstein alikua popularized na American jewish media machinery...dont get me wrong,he was good,ila media ya Kimarekani ilimpromoti mno...Niels Bor mwenyewe anamkimbiza..Kuna Mjerumani kama Goethe,way ahead of human times!Sema hawakua promoted na media!

Einstein alikua celebrity scientist,ni kama Kim Kardashian of science!
Vivyo hivyo kwa Tesla, hakuwa promoted lakini tafiti na theories zake zinaushangaza ulimwengu.
 
Mkuu

Naona hatutaelewana kabisa....Wewe unachukulia Quantam ya A-Level...

U must be drinking some Kool-Aid strong sana...

Ile ni intriduction to Quantam Physics wewe mtoto....

Unaongelea A-Level?Wacha ninyamaze kabisa!
Kuna vitu huvielewi u nafikiri kila kitu kilianza kwa kuelewa , hivi unataka kusema hao watu wako ambao hata huwataji ,

Hivi unamuondoaje Albert Einstein na Newton katika mchango Wa sayansi katika Dunia ya Leo ?

Wewe jamaa inaonekana , ukiona vitu vinawaka au kutembea unafikiri tu , kwa aliyetengeneza maabara /manufacturing na sio miamba walioweka misingi ya kutekeleza hayo
 
Huyo tesla wamadai alikuwa anaficha Ideas zakee... Na nyingi aligundua kabla ya watu wengi kugundua...!! Sasa huoo ni ufalaaa... Maana hata mimi ninazo ideas sema nimezitunza..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Mkuu acha Kumu underestimate Sir Isaac Newton , jamaa alikuwa kichwa kwanza unamsoma standard one hadi Chuo kikuu

Pili , Moja ya Kazi zake ni Integration kwenye hesabu nenda kasome alivyosumbua kichwa kuvumbua hizi hesabu zinazotamba Advance hadi chuo kikuu
Kumbe yeye ndo kagundua hesabu za integration ?? kumbavu zake.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna vitu huvielewi u nafikiri kila kitu kilianza kwa kuelewa , hivi unataka kusema hao watu wako ambao hata huwataji ,

Hivi unamuondoaje Albert Einstein na Newton katika mchango Wa sayansi katika Dunia ya Leo ?

Wewe jamaa inaonekana , ukiona vitu vinawaka au kutembea unafikiri tu , kwa aliyetengeneza maabara /manufacturing na sio miamba walioweka misingi ya kutekeleza hayo
Huyuu jamaa Anachukuliaa vitu poa sanaa... Yanii hapoo yeye hizo idea za Eisten hata kuzisoma zinamshindaa...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] afuu anakaa anaropoka hapaa... Mbonaa rahisi tuu..[emoji49]
 
Physics ya Newton ndio basic na ndio rahisi,watoto wote lazima tuanzie huko...

Na kuhusu Calculus,ndio hesabu za mwanzo wa Complex Maths,mkuu hiyo ni basic na msingi wa CM..Sasa kwenda mbele kuna watu wamefanya mambo ya ajabu kabisa kwenye complex mathematics calculus inasubiri mno..

Shida yako una mabaki ya A-Level ndio maana unachukulia huo ujinga....A-Level Physics na Maths ni very very basic..

Sometimes unavyoongea uwe unaacha ujinga wa A-Level unaongelea mambo complex zaidi ya hizo basics
Hivi vile ni basic , au hujui maana ya neno Advanced ?

Na kwa chuo kikuu au hao unaowasifia (wasiojulikana) waliruka tu na kufanya yao bila kuwa na msingi

Ndio ,maana kwenye hesabu darasa la pili , 2-4 haiwezekan ,lakini darasa la tano inawezekana na ukiendelea mbele utakutana na macomplex number ndio mambo yanakuwa

Mfano , formula ya E=MC^2 inabadilika vipi katika utengenezaji Wa Nuclear ,hydrogen na atomic bombs

Wewe hujui kitu
 
Kuna vitu huvielewi u nafikiri kila kitu kilianza kwa kuelewa , hivi unataka kusema hao watu wako ambao hata huwataji ,

Hivi unamuondoaje Albert Einstein na Newton katika mchango Wa sayansi katika Dunia ya Leo ?

Wewe jamaa inaonekana , ukiona vitu vinawaka au kutembea unafikiri tu , kwa aliyetengeneza maabara /manufacturing na sio miamba walioweka misingi ya kutekeleza hayo

Bwana Baro hunielewi..

Sijakataa kua Newton na AE hawapo kwenye mchango wa maendeleo ya dunia.Wapo na ni muhimu.Ila kwenye walao top 5 all time hawapo,kikwangu mimi...

Ni kama tuanze ubishani wa wacheza mpira,hatutafika mwisho..Heri tuachie hapa.
 
Nimependa hiyo sitee imetoa na Maoni why iwee hivyo..!! Tesla namba mojaa...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]jamaa atakuwa kama mimi... Yani akiona kitu mara moja anaweza kitengeneza hivyo hivyo...aiseee
 
Back
Top Bottom