Mfahamu Stephen Hawking, Mwanasayansi Aliyeitwa Mrithi Sahihi wa Albert Einstein

Mfahamu Stephen Hawking, Mwanasayansi Aliyeitwa Mrithi Sahihi wa Albert Einstein

Si kweli..Newton alikua average!

Einstein alikua popularized na American jewish media machinery...dont get me wrong,he was good,ila media ya Kimarekani ilimpromoti mno...Niels Bor mwenyewe anamkimbiza..Kuna Mjerumani kama Goethe,way ahead of human times!Sema hawakua promoted na media!

Einstein alikua celebrity scientist,ni kama Kim Kardashian of science!

Hahaha kim Kardashian not fair mkuu
 
Mkuu

Newton kagundua vitu very basic ila muhimu...Newton hakua prodigy,hakua genius....alikua average ila alikua na juhudi kubwa sana ya kupiga msuli...Hiyo inajulikana!

Mkuu,magenius ni wale walikua wanafunga macho wanaona picha nzima ya dunia na mathematical equations na kila kitu ndio wanaandika na wakija ku-pruvu ni kweli..The likes of Tesla,Einstein na wale Wahindi,na Wajerumani..

Mzee,acha kabisaaa!
Mkuu acha Kumu underestimate Sir Isaac Newton , jamaa alikuwa kichwa kwanza unamsoma standard one hadi Chuo kikuu

Pili , Moja ya Kazi zake ni Integration kwenye hesabu nenda kasome alivyosumbua kichwa kuvumbua hizi hesabu zinazotamba Advance hadi chuo kikuu
 
Mkuu
Classical physics ndio basic physics maana yake,kwa kifupi sio ngumu..
Mkali wa classical physics sio mkali kiakili kiivyo...
Basic physics haingii kwenye quantam hata kidogo...
Wababe wa quantam ni vichwa zaidi ya Newton mara kadhaa....Usibishe
Unaposema classical physics ndio physics ngumu kuliko hizo Modern physics

Waliosoma physics advance wanajua , mkuu no one like Sir Isaac Newton kwenye Physics yaani , Utamsoma kwenye mechanics ,utamsoma kwenye Heat na hadi kwenye Waves

Hivyo , usiongee usichokijua
 
Mnabishana lakin kuna watu watatu kila mmoja na sifa yake kuna MTU ambae kichwa chake kama recorder akifundishwa ana haja ya kusoma Kuna mwingine yeye anajisomea mwenyewe bila hata kufundishwa na anaelewa zaid ya mwalim Kuna na wengine wanasoma sana ndo wanapasua kuna na wale wanaochukua mda kuelewa lakini kikikaa nikama gundi sasa inabid kuwatofautisha ili ubish na mahaba yapungue Ila mi nampenda GAMA
 
Unaposema classical physics ndio physics ngumu kuliko hizo Modern physics

Waliosoma physics advance wanajua , mkuu no one like Sir Isaac Newton kwenye Physics yaani , Utamsoma kwenye mechanics ,utamsoma kwenye Heat na hadi kwenye Waves

Hivyo , usiongee usichokijua

Mkuu

Naona hatutaelewana kabisa....Wewe unachukulia Quantam ya A-Level...

U must be drinking some Kool-Aid strong sana...

Ile ni intriduction to Quantam Physics wewe mtoto....

Unaongelea A-Level?Wacha ninyamaze kabisa!
 
Mkuu
Classical physics ndio basic physics maana yake,kwa kifupi sio ngumu..
Mkali wa classical physics sio mkali kiakili kiivyo...
Basic physics haingii kwenye quantam hata kidogo...
Wababe wa quantam ni vichwa zaidi ya Newton mara kadhaa....Usibishe
Huwezi kusema Newton hakuwa Genius eti kwa kuwa hakudeal na Quantum Mechanics
Je karne ya 17 ili ihitaji Quantum mechanics?
 
Mkuu acha Kumu underestimate Sir Isaac Newton , jamaa alikuwa kichwa kwanza unamsoma standard one hadi Chuo kikuu

Pili , Moja ya Kazi zake ni Integration kwenye hesabu nenda kasome alivyosumbua kichwa kuvumbua hizi hesabu zinazotamba Advance hadi chuo kikuu

Physics ya Newton ndio basic na ndio rahisi,watoto wote lazima tuanzie huko...

Na kuhusu Calculus,ndio hesabu za mwanzo wa Complex Maths,mkuu hiyo ni basic na msingi wa CM..Sasa kwenda mbele kuna watu wamefanya mambo ya ajabu kabisa kwenye complex mathematics calculus inasubiri mno..

Shida yako una mabaki ya A-Level ndio maana unachukulia huo ujinga....A-Level Physics na Maths ni very very basic..

Sometimes unavyoongea uwe unaacha ujinga wa A-Level unaongelea mambo complex zaidi ya hizo basics
 
ndio,ilihitaji...unabisha?

Akili zilikua ndogo hawakuweza..

As a genius hasa,Newton hakua prodigy,alikua mtu wa juhudi na msuli...ila alifanya vitu vya msingi wa sayansi..
Unasema?????[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] achana na vitu vingi alivyofanya Newton unaijua topic ya Force tuu imelate revolution kiasi gani kwenye science????
 
Dunia hii kuna wanascience wakubwa walioleta Revolutions kubwa lakini NEWTON NA EINSTEIN hawaa ndo Baba zaoo...!!
 
Unasema?????
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
achana na vitu vingi alivyofanya Newton unaijua topic ya Force tuu imelate revolution kiasi gani kwenye science????

Unakua mbishi sana...Kungundua force sio harder...Ni simple,sema ugunduzi wake wa hiki kitu simple ndio msingi...sio complex,ni msingi..

Unashindwa kuelewa..

Newton kagundua basic Calculus,ila waliojenga Partial Integrals,DF Equations,Vector Calculus,Tensor Analysis,Laplace Transforms,Graph Theory and little bit of Combinatorics,etc ni waaaay tougher..Acha upumbavu kabisa!
 
Basi,tuishie hapo tu!
Applications za Quantum Mechanics zinahitaji Physics kama ya sasa ambayo field ya electronics imefika mbali
Karne ya 17 ulitaka waitumie Quantum kwenye vitu gani?
Labda uje na points za jinsi gani karne ya 17 ingefaidikaje na ugunduzi wa Quantum?
 
Mimi nadhani kila mtu alikua bora kwenye field yake.na sio busara sana kuwalinganisha hawa watu. Einstein -quantum mechanics
Newton -basic physics & maths
Tesla - magnestism and electricity + Mr Farad
So everyone had his room to play
 
Back
Top Bottom