Mfahamu Stephen Hawking, Mwanasayansi Aliyeitwa Mrithi Sahihi wa Albert Einstein

Nimesoma zaidi ya mara nane hiyo kesi ya ya spidi ya mwanga nikatoka bila bila. Nikasema labda ni njaa, nikaenda kujilia ugali na bamia nikarudi tena kusoma kama mara nne hivi bado nimetoka kapa.Nimeamua kuacha maana nimegundua I'm not a targeted audience

 
kama umeelewa tusaidiane ndugu
Mkuu, haya mambo si ya kila mtu.pole lakini mwamba kaelezea vizuri sana.

Kwa kifupi ni hivi:
Jinsi kasi inavyoongezeka ndio muda unapungua,

mfano ukipewa kazi ya kutembea umbali fulani, lets say kilomita moja, na unauwezo wa kutembea kwa mwendo kasi wa 1m/s, then utatumia sekunde 1000 ambazo ni sawa na takriban dakika 17.

Sasa kwa umbali huo huo kama ukiongeza kasi ukawa unatembea kwa mwendo kasi wa 2m/s, then muda utakao tumia ni takribani dakika 8:30.

Therefore kumbe kwa maana hiyo kasi ikiongezeka muda unapungua.

sasa hapo ndipo mwamba akaja na nadharia yake ya kwamba kama ukienda sawa na kasi ya mwanga basi waweza simamisha muda na kama ukienda zaidi na kasi ya mwanga waweza kurudisha muda nyuma.

Hope umeelewa mkuu.

Respect....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, haya mambo si ya kila mtu.pole lakini mwamba kaelezea vizuri sana.

Kwa kifupi ni hivi:
Jinsi kasi inavyoongezeka ndio muda unapungua,

mfano ukipewa kazi ya kutembea umbali fulani, lets say kilomita moja, na unauwezo wa kutembea kwa mwendo kasi wa 1m/s, then utatumia sekunde 1000 ambazo ni sawa na takriban dakika 17.

Sasa kwa umbali huo huo kama ukiongeza kasi ukawa unatembea kwa mwendo kasi wa 2m/s, then muda utakao tumia ni takribani dakika 8:30.

Therefore kumbe kwa maana hiyo kasi ikiongezeka muda unapungua.

sasa hapo ndipo mwamba akaja na nadharia yake ya kwamba kama ukienda sawa na kasi ya mwanga basi waweza simamisha muda na kama ukienda zaidi na kasi ya mwanga waweza kurudisha muda nyuma.

Hope umeelewa mkuu.

Respect....

Sent using Jamii Forums mobile app
Ww ndo umekuja kunivuruga kabisa mweee😅😅😅
 
Wana science wanatufanya wavivu wa kufikiri, Si kweli kwamba kasi ikiogezeka ndio muda unapungua bali unafanya mambo mengi kwa muda mchache na kamwe huwezi kusimamisha muda au kurudisha nyuma, yaani mnataka mniambie kwamba nikienda speed zaidi ya Mwanga naweza kurudi nyuma nizaliwe upya?...😂😂
 

Wote tunafahamu fika kwamba mwendokasi (speed) na muda viko "inversely proportional to each other" kwa maana ya kwamba kama ukiwa na mwendokasi mkubwa basi unatumia muda kidogo ikiwa umbali utabaki uleule, na umbali ukibaki uleule halafu ukatumia muda mkubwa maana yake mwendokasi utakuwa mdogo. Hapa naeleza kwanza uhusiano kati ya spidi na muda. Kumbuka kwamba 'muda' ndiyo kitu kinachoathiri maisha yetu moja kwa moja, kadiri unavyokuwepo katika utulivu (Zero speed) basi kiwango cha muda kinachokuathiri ni kikubwa. Muda ndiyo unatufanya tukue, tuzeeke na kadhalika, sasa tukirejea uhusiano kati ya spidi na muda tunaona kwamba tukiwa na kiwango kikubwa cha mwendokasi basi tutatumia muda kidogo.​



Sasa, mwanga ni kitu pekee kinachosafiri kwa kasi zaidi kuliko kitu kingine chochote tunachokijua, kumbuka katika sekunde 1 mwanga una uwezo wa kusafiri umbali wa kuzunguka dunia mara 7 kama hautakutana na kizuizi chochote. Kwa sasa hakuna chombo cha moto chenye uwezo wa kusafiri kwa spidi ya mwanga na kama kipo basi kimegunduliwa sasahivi nilivyokuwa naandika hapa!​



Haya nirudi kwenye kitu nilichotaka kusema, kwahiyo kama utaweza kwenda kwa kasi zaidi kuifikia spidi ya mwanga (Kilomita laki 3 kwa sekunde) basi kiasi cha muda utakachokitumia au kitakachokuathiri kitakuwa kidogo sana, nimeshaelezea hapo juu uhusiano kati ya spidi na muda, ko utakapokuwa katika mwendo na hususani ukifikia kasi ya mwanga basi muda utakaokuathiri utakuwa kidogo hivyo hata masuala ya kibaiolojia hususani ya ukuaji mwilini mwako yatakuwa katika "Reduced rate" ko hata kuzeeka utachelewa! Na ikitokea sasa ukaizidi kasi ya mwanga basi kulingana na Albert Einstein anatuambia tunaweza kusimamisha muda!​

Kwa maneno mengine ukiweza kusafiri kwa zaidi ya spidi ya mwanga (kilomita laki 3 kwa sekunde) basi athari ya muda itakayokuwa inakuathiri itakuwa ni sifuri yaani muda hautakuathiri tena, hapo ni sawa na kuusimamisha muda, hivyo utaweza kwenda kwenye nyota za mbali na kurudi ukiwa vilevile kama ulivyoondoka, lakini wale uliowaacha utakuta wamezeeka kama sio kuwa walishatangulia 'Ahera madukani' kwasababu wao hawakuwa kwenye mwendokasi (Zero Speed) na hata kama walikuwa wako kwenye mwendokasi (A certain speed) basi ni spidi ndogo ambayo kimsingi inakuwa na athari kubwa ya muda ndiyo maana hata kuzeeka utakuta wamezeeka haraka tu kama sio kufa kabisa!​

Naomba kuwasilisha!
 
Mkuu acha Kumu underestimate Sir Isaac Newton , jamaa alikuwa kichwa kwanza unamsoma standard one hadi Chuo kikuu

Pili , Moja ya Kazi zake ni Integration kwenye hesabu nenda kasome alivyosumbua kichwa kuvumbua hizi hesabu zinazotamba Advance hadi chuo kikuu
Mwambie huyo mkuu, sio integration tu, mpaka INFINITE SERIES, kumbuka pia kabla ya mwaka 1666 dunia ilikuwa inajua Mwanga ni kitu kimoja ambacho hakina vitu vingine ndani yake lakini huyu mwamba aliweza kutumia prizimu ya kioo aliyoiunda mwenyewe na kufanikiwa kuuvunja mwanga kwenye rangi saba ndiyo dunia ikang'amua kwamba kumbe hata upinde wa mvua sio tu kwamba ni agano kati ya Mungu na Nuhu kwamba hataiangamiza tena dunia kwa maji bali pia ni kuonesha kwamba mwanga unaweza kuuvunja kwenda kwenye vipande 7 ambazo ndiyo zile rangi 7 (ROYGBIV).
 
Wana science wanatufanya wavivu wa kufikiri, Si kweli kwamba kasi ikiogezeka ndio muda unapungua bali unafanya mambo mengi kwa muda mchache na kamwe huwezi kusimamisha muda au kurudisha nyuma, yaani mnataka mniambie kwamba nikienda speed zaidi ya Mwanga naweza kurudi nyuma nizaliwe upya?...😂😂
Kuzaliwa upya hautaweza lakini utaweza kujiona ulivyokuwa unazaliwa 😂😂
 
Yanii wew ndo hujuii kituu... Waliogundua Basic knowledge kama hizo ambazo zinakuwa applied in alot of issues ndo noma..!! Tatzo unabase sana kweny Hesabu ilaa Newton kapita kotee... Hesabu...physics...
Na mara nyingi MODIFIER ndiyo anaonekana noma zaidi ya INVENTOR sijui kwanini? Unakuta mtu aliyewapa msingi wa kitu au vitu ndiyo wanamuona rofa na mamodifaya sasa ndiyo wanapewa vichwa sijui kwanini? Mimi nafikiri aliyetoa msingi ndiye anastahili heshima maana ndiyo alikuonesha njia hata ikafikia hatua ukamkosoa!
 
Madhara ya kusoma mavitu magumu ya ajabu Mungu aliyoyafanya siri, Matokeo yake ndio hayo. Unaugua ugonjwa wa ajabu dunian

infact Hawa watu they changed the world..
Kama sio Hawa wateule kujitoa maisha yao kwa ajili ya hayo mavitu ya ajabu Leo hii wewe usingekuwa unabofyabofya hata hiyo smartphone na kukomenti ujinga humu jf
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom