Mfahamu Stephen Hawking, Mwanasayansi Aliyeitwa Mrithi Sahihi wa Albert Einstein

Bwana Baro hunielewi..

Sijakataa kua Newton na AE hawapo kwenye mchango wa maendeleo ya dunia.Wapo na ni muhimu.Ila kwenye walao top 5 all time hawapo,kikwangu mimi...

Ni kama tuanze ubishani wa wacheza mpira,hatutafika mwisho..Heri tuachie hapa.
Etii top 5 hawapo acha ubashite wew...[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hivi vile ni basic , au hujui maana ya neno Advanced ?

Na kwa chuo kikuu au hao unaowasifia (wasiojulikana) waliruka tu na kufanya yao bila kuwa na msingi

Ndio ,maana kwenye hesabu darasa la pili , 2-4 haiwezekan ,lakini darasa la tano inawezekana na ukiendelea mbele utakutana na macomplex number ndio mambo yanakuwa

Mfano , formula ya E=MC^2 inabadilika vipi katika utengenezaji Wa Nuclear ,hydrogen na atomic bombs

Wewe hujui kitu
Bila hiyo formula wasingeweza kujua kua kupitia Nuclear wanaweza zalisha Energy kubwa kama hiyoo...
 
Hivi vile ni basic , au hujui maana ya neno Advanced ?

Na kwa chuo kikuu au hao unaowasifia (wasiojulikana) waliruka tu na kufanya yao bila kuwa na msingi

Ndio ,maana kwenye hesabu darasa la pili , 2-4 haiwezekan ,lakini darasa la tano inawezekana na ukiendelea mbele utakutana na macomplex number ndio mambo yanakuwa

Mfano , formula ya E=MC^2 inabadilika vipi katika utengenezaji Wa Nuclear ,hydrogen na atomic bombs

Wewe hujui kitu

Sasa,wewe naona umeingia kwenye matusi...

Wewe kujua kitu,hakunifanyi mimi nisijue...

Equation ya Einstein ni mojawapo wa Equations nyingi,katika kujenga bomu la nuclear hiyo equations hapo ina limitations nyingi,tukiweka real working conditions,equations inakua altered kwenda kwenye derivatives zake,ila hiyo ni basic..Usijitie hili hulifahamu.

Nimekwambia Advanced ni always tougher than Basic...Ukibisha hili wewe una matatizo..
 
Sasa unabisha?

Kwenye top 5 yangu humkuti Newton wa AE...sasa unanipangia?

Wewe una list yako...ni haki yako,na mimi nina yangu..yanini matusi?
Kwenye list yako itakuwa na wew upoo...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Unakua mbishi sana...Kungundua force sio harder...Ni simple,sema ugunduzi wake wa hiki kitu simple ndio msingi...sio complex,ni msingi..

Unashindwa kuelewa..

Newton kagundua basic Calculus,ila waliojenga Partial Integrals,DF Equations,Vector Calculus,Tensor Analysis,Laplace Transforms,Graph Theory and little bit of Combinatorics,etc ni waaaay tougher..Acha upumbavu kabisa!
Ha ha ha sasa mkuu hizo partial integral na laprace transformation ,bila Newton wangegunduaje ?

Maana wao wameendeleza kutokea huko

Nambie Leo hii Hesabu na Physics zipi till now hazina application za Kazi za Newton
 
Bwana Baro hunielewi..

Sijakataa kua Newton na AE hawapo kwenye mchango wa maendeleo ya dunia.Wapo na ni muhimu.Ila kwenye walao top 5 all time hawapo,kikwangu mimi...

Ni kama tuanze ubishani wa wacheza mpira,hatutafika mwisho..Heri tuachie hapa.
Msiache mkuu, ubishani wenu ndo unatusaidia sisi viazi [emoji23] [emoji23] kuzidi kupata maujanja..

"Vita vya mkizi furaha ya mvuvi"
 
Bwana Baro hunielewi..

Sijakataa kua Newton na AE hawapo kwenye mchango wa maendeleo ya dunia.Wapo na ni muhimu.Ila kwenye walao top 5 all time hawapo,kikwangu mimi...

Ni kama tuanze ubishani wa wacheza mpira,hatutafika mwisho..Heri tuachie hapa.
Ingekuwa vyema sana ungewataja angalau watano ambao unaona wana mchango mkubwa zaidi yao. Nimefuatilia sana huu mjadala, nimeona una point lakini mpaka sasa haujataja hao wana sayansi unaowaona wana mchango kuwazidi Newton na Einstin
 
Au ushawahi sikia mtu akiwa genius watu wanamuita Teslaaa..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]we compare genius people with Eisten au Newton... Wew na tesla wakooo kalale mbele..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Boy don't underestimate Tesla
 
Sasa,wewe naona umeingia kwenye matusi...

Wewe kujua kitu,hakunifanyi mimi nisijue...

Equation ya Einstein ni mojawapo wa Equations nyingi,katika kujenga bomu la nuclear hiyo equations hapo ina limitations nyingi,tukiweka real working conditions,equations inakua altered kwenda kwenye derivatives zake,ila hiyo ni basic..Usijitie hili hulifahamu.

Nimekwambia Advanced ni always tougher than Basic...Ukibisha hili wewe una matatizo..
Ebu tuambie hiyo advance physics /mathematics inasomwa level gani?

Au inafanyiwa application level gani?
Maana tunaweza kuwa tunachengana lugha

Ni sawa na anayesema Engineers na Scientists hawatofautiani
 
Ha ha ha sasa mkuu hizo partial integral na laprace transformation ,bila Newton wangegunduaje ?

Maana wao wameendeleza kutokea huko

Nambie Leo hii Hesabu na Physics zipi till now hazina application za Kazi za Newton

Hahahaaa

Ubishi tu...Newton aligundua basic calculus mzee.....sasa shindana na advanced complexity..good luck!
 
Ingekuwa vyema sana ungewataja angalau watano ambao unaona wana mchango mkubwa zaidi yao. Nimefuatilia sana huu mjadala, nimeona una point lakini mpaka sasa haujataja hao wana sayansi unaowaona wana mchango kuwazidi Newton na Einstin

Taja wako wewe kwanza...
 
Ebu tuambie hiyo advance physics /mathematics inasomwa level gani?

Au inafanyiwa application level gani?
Maana tunaweza kuwa tunachengana lugha

Ni sawa na anayesema Engineers na Scientists hawatofautiani

Ondoa mambo ya A-Level hapa..

Nishaelewa nabishana na watu wenye vikumbukumbu vyao vya A-Level eti ndio ugumu wa Science na Maths..Geez

Mkuu,nice discussing with u sir!
 
Kwenye list yako itakuwa na wew upoo...
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
emoji125.png
emoji125.png
emoji125.png
emoji125.png

Acha dharau mzee...

Nilijua una discuss vipi kama civilized adults,huu utani sasa....
 
Soma kilichoandikwaa tatzo sio web site kijna.. Wachaa kupiga tarumbetaa hapaa etii teslaa...
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
yanii itakuwa umesomea sana umeme sijui bhasi kumjua huyo unatuletra shida hapa.. Tena siku nyingne usije ukajaribu kumcompare Eisten na upuuzi huooo yani unaweza pigwaa hata makofii...
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png

Jifunze kuandika posti kwa kiswahili sahihi na sanifu!

Typo nyingi mno...
 
Back
Top Bottom