Methali mpya

Methali mpya

hizi mthali zina ridhaa ya BAKITA?

Mi nafikiri isiwe methali tu hapa kuna, Misemo, misimu na mafumbo pia.

"Kushindwa kwa CCM ni kushinda kwa Tanzania"

"Mafisadi wakiisha, CCM haina maisha"
 
mi naamini wahenga walimaliza kesi. Haya mengine ni misemo tu, au unasemaje

Itakuwa hivi:
Wahenga walisema "The only problem with Africans is implementation and maintenance"

lete mingine ili uibuke muhenga 'nguli'!lol
 
Itakuwa hivi:
Wahenga walisema "The only problem with Africans is implementation and maintenance"

lete mingine ili uibuke muhenga 'nguli'!lol

siku problem ikiisha na uhenga kwishnei
 
Back
Top Bottom