Rugas
JF-Expert Member
- Jan 8, 2009
- 1,048
- 197
Sio kweli kwani watoto wengine hutoka kwa msaada wa kisu kupita tumboni.
Nimecheka sana...Kwani huwa wameingilia wapi? Si wanafanyika humo tumboni?
Sio kweli kwani watoto wengine hutoka kwa msaada wa kisu kupita tumboni.
Raha ya kupuliza vuvuzela uwe haujaishi Mombasa
U made my day...... Lolshoga hatishiwi kuingiliwa kinyume na maumbile
Binti Maringo Avatar yako kama inachanganya mambo kidogo ukiitazama sana au labda nina poor vision.hahahaha this is very interesting....miye nachojua methali za kizamni tuu zile za shuleni.....duuh!...
Binti Maringo Avatar yako kama inachanganya mambo kidogo ukiitazama sana au labda nina poor vision.
Jiwe la ziwani halioni kiu ya mtende
ndugu, ni kuwa jiwe hilo linakaa majini. huo mtende uko jangwani. tende hupatikana sehemu kavu. sasa ni kama kusema mwenye shibe hamjui mwenye njaaKweli Kiswahili kigumu, yaani sijaelewa kitu.