Methali mpya

Methali mpya

Utajiri na mapenzi, zawadi ya noti bandia.
Dhiki na mapenzi, zawadi ya album ya picha kwa kipofu.
 
  • Usingizi wa popo, iga ufe
  • Ukitaka kujua mbio za kinyonga, mtishie moto
  • Umepewa lifti, wataka kupiga honi
  • Kila kitu wajifanya kujua kama chaja ya kobe
  • Chem chem haitekwi na ndoo
 
109: Ubora wa SIMU chaji sio salio wala hadhi yake 110: Kila chaja ina simu yake; si kila chaja inachaji simu yeyote 111: Udogo wa umbo si hoja; hoja ni namna ya kulitumia hilo umbo
 
Ni methali nzuri sana, maana unaweza kutumia shillingi 250 kutoka posta mpaka ubungo kwa mudas wa dakika 15, kama ungeamua kuchukua tax ungeweza kutumia sh.15000, kwa muda huo huo, sasa ndugu hujaona uzuri wa daladala?
 
Wadau Hebu Niambieni Hivi hawa SII SII Em Mbona wanaogopa Hivyo Mgombea Binafsi?
 
Back
Top Bottom