Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,430
- Thread starter
- #161
Bora shida ya daladala kuliko masimango ya lifti
shamba la bibi....hakuna mjukuu anazuiwa kuvuna....
Mmmh mara hii??? Haya bana
wivu kwasababu mlikuwa wote wknd?
Kwani wewe hujui kama huyu ni Binamu Yangu. Hahahaha
Nyie wana...binam nyama ya ham etiiiiiiii