Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,092
- 43,265
Well.. tukubali yaishe? je tumezugwa tukazugika...? je tuwazirie nchi kwa sababu wanataka hivyo?
Hapa kuna two pictures, moja ni big picture na nyingine ni small picture,
1. Small picture Meremeta ni mali ya jeshi la wananchi, lakini wananchi haturuhusiwi na sheria kuiulizia ingawa ni jeshi letu wananchi kama jina linavyojisema.
2. Ni nani waliohusika na kuianzisha, this is the big picture ambayo wote hapa tunai-overstep, kwa sababu ni kwenye hiki kipengere ndio utapata the whole truth na nothing but the truth ya mafisadi walioko behind hii deal na deal yenyewe kwa ujumla,
Kwa sababu mmoja wa wahusika wa hii deal nimewahi kumuona huko Majuu akikutana na wazungu flani kwa siri katika Hoteli moja karibu na Airport kuhusiana na hii deal,
3. Haya maneno ya Pinda ni moja ya matokeo ya kwenda kwa mkapa kwenye NEC majuzi, sio siri hilo tunajua tena wazi, sasa pinda aliyosema amesema, lakini haina maana kuwa ndio mwisho wetu wananchi kufuatilia kwa undani na makini, wao wenyewe serikali ndio wanatupa sababu ya kuwafuatilia kwa karibu halafu tukitoa dataz wanakaripiana huko ma-corridor ya Ikulu, dawa ni ile ile kuendelea kuwapigia kengele,
Halafu kuna wengine hapa forum mnajua vizuri sana kuhusu hii deal kwa sababu baba zenu wamehusika sasa kuweni wazalendo na wakweli mseme, sio kutuhadaa hapa ana maneno ya kumsingizia pinda, ni baba zeni ndio wamemshinikiza pinda kusema huu ujinga, sasa jitokezeni hapa mseme ukweli wakiwa viongoziw engine wasiowahusu mnakuwa na maneno mengi, sasa hapa baba zenu ndio hasa wanaohusika na hii Meremeta jitokezeni sasa!
It is about time sasa tukaanza kuita the spade for what it is yaani the spade! Mushi unasikia hii!
Ahsante Wakuu! na Hii ni Sauti Ya Umeme Wazee wa radio Station ya FMES
.....
2. Ni nani waliohusika na kuianzisha, this is the big picture ambayo wote hapa tunai-overstep, kwa sababu ni kwenye hiki kipengere ndio utapata the whole truth na nothing but the truth ya mafisadi walioko behind hii deal na deal yenyewe kwa ujumla.........
ASANTE SANA KWA KUIRUDISHA SLOGAN YETU....sasa tunaanza rasmi kazi...
Tusimlaumu sana Pinda, waliomuajiri wanajua hawezi kuwasaliti na amekula kiapo cha kowasaliti.... tumeliwa!
CCM sio chama cha magaidi mimi sio gaidi na mwanachama wa CCM, lakini magaidi wachache ndani ya CCM tunawajua na tuko njiani kuwafanyia kazi ingawa sio rahisi, tizama hii topic utaona vizuri wanajua vizuri kuhusu Meremeta lakini wanajaribu kutudanganya hapa,
siku zenu zinakaribia kufika mwisho, kumshinikiza pinda aseme uongo haina maana mnatudanganya wote sisi wananchi kuna tulioamka na tunaujua ukweli!
......FMES
maneno mazito sana hayo heshima mbele Mkuu..........watu wanafanya UFISADI in disguise ya usalama...............halafu wengine wanaendeleza KULINDANA!!!
waambie chama kishanuka, karibu kitaanza kutoa mafunza wakiendelea hivi hivi.
viongozi wanakuja na uongo mpya kila kukicha. uongo mwenyewe hauna hata kichwa wala miguu. ni aibu kubwa mno
mkuu cha ajabu hata kudanganya kwenyewe hawajui kabisa.....yaani mtu anaongea unaona kweli kabisa hapa naingizwa choo cha kike hivi hivi....CCM wanatupeleka wapi???????????
Binafsi siwezi kumalaumu pinda, kwa sababu ninaiangalia kwa makini sana our system ya siasa na utawala, who is pinda? Hapa Jf hakuna aliyehusika na kumchagua pinda, alichaguliwa na rais, wengi hapa tulisema tumpe muda tuone, sasa muda umefika na ukweli uko wazii kwamba ni wale wale yaani mazumbukuku na limbukeni wa power,
Anawaogopa waliompa power masikini wa Mungu hajui kuwa akisimamia wananchi anaweza kuwatupa waliompa power na hata kuwafunga, haelewi kuwa yeye sasa ndiye mwenye power, wakatuambia kuwa huyu amefanya kazi na Mwalimu, akaenda mpaka makanisani kupewa Rosary na Mama Maria, ndio maana tulisema hata hawa Nyerere waliobaki nao wameanza kuwa mafisadi,
Sasa huyu naye ni wale wale, hakuna matumaini kabisaa hata hiyo ripoti ya Richimonduli itakuwa yale yale watch atasema kuwa ni ishu ya bunge sio ya wananchi, sasa katika vacuum ya who to trust wananchi tunafanya nini? Tunarudi kuwalilia kina Mwakyembe na mama Kilango kuwa tunawaomba wajitahidi hivyo hivyo kuwapigia kengele mafisadi, na sisi tuko nyuma tunawafichua, ngoja niingie kutafuta dataz ya kinachojiri huko bungeni sasa,
Wananchi tumeliwa kwenye hili la Meremeta!