Wewe huchangii chochote ideawise, upo upo tuu kishabiki miaka nenda rudi humu ndani, instead of changing for better, unarudi kinyumenyume tu eerday!.
Nionyeshe nilipomsifia, otherwise wewe ni mvivu wa kusoma na kichwa mbayuwayu!
Watu kama wewe mmekuja kuijaza dunia bila sababu. Yani ni useless kwa kiasi kikubwa sana. Kila siku umekariri tu maneno kama vile “bavicha”, “makamanda”, hapo basi unajiona very smart maskini ya Mungu.
Ndo mitanzania kama wewe iliyofikisha Taifa tulipo. Sijui huna kazi au kitu gani?
Hata Kama umestaafu si una wajukuu uwasaidie hizo pesa unazochezea kununua data na kuja umwaga diarrea humu?