NAIBU SPIKA, ANNA MAKINDA ANASEMA, SHERIA YA HAKI, MAADILI NA MADARAKA YA BUNGE inasema; "SI ruhusa kuongelea mambo ya ulinzi na usalama isipokua kama Rais atakua ameridhia.."
Maana yake ni kwamba baada ya Pinda kusema Meremeta ni suala la USALAMA basi ndio kusema LIMEZIKWA!!!! Wakati nafahamu kuwa tayari uchunguzi wa kuweza kuwafikisha mahakamani wahusika wote wa Meremeta ulikua katika hatua za mwisho, sasa KULIKONI PINDA!!???

....sijui niseme "nchi imemezwa na mafisadi ama mafisadi wameiteka nchi".... nisaidieni waungwana ipi ni sahii kati ya hayo mawili!!.
huyu PM ni yule yule tuliejua yuko makini.... tukamshangilia kwa nguvu zote.... nafikiri huko tuendako mbele kuna kazi kubwa zaidi ya hapa tulipo....
awamu hii ya 4 na baraza lake litakuwa litabadilishwa mara 4 hadi tumalize ungwe yetu ya awamu ya 4.
.... Hapa Tanzania, Kuna haja kubwa ya migomo makazini kuanza kutumika kama mashinikizo kwa serikali yetu... Bunge na kanuni zake naona hazitoshi na hazitoshelezi!!