Meremeta & TANGOLD Revealed!

Meremeta & TANGOLD Revealed!

Je yawezekana kuandaa muswada binafsi wa mabadiliko katika sheria hizo? Hofu yangu ni kusua sua na hawaoni ile urgency ya jambo hili.
 
Je yawezekana kuandaa muswada binafsi wa mabadiliko katika sheria hizo? Hofu yangu ni kusua sua na hawaoni ile urgency ya jambo hili.

Hilo ndio lapaswa kufanywa kwa haraka. Tuangalie sheria za nchi nyingine zasemaje na tuweke katika mazingira yetu. Tuifanye kazi hii kwa haraka
 
Hilo ndio lapaswa kufanywa kwa haraka. Tuangalie sheria za nchi nyingine zasemaje na tuweke katika mazingira yetu. Tuifanye kazi hii kwa haraka


sawa.. kuna sheria moja ambayo watu wengi hawajawahi kuiangalia lakini ni sheria ya hatari zaidi Tanzania siku ambapo itafanyiwa kazi. Inazidi ubaya wa sheria ya Usalama wa Taifa, au ya magazeti n.k ... hiyo sheria japo ni ya muhimu lakini ni sheria ambayo nayo itahitaji kuangaliwa upya kwani siku moja itatumiwa kama ilivyotumiwa Kenya.
 
sawa.. kuna sheria moja ambayo watu wengi hawajawahi kuiangalia lakini ni sheria ya hatari zaidi Tanzania siku ambapo itafanyiwa kazi. Inazidi ubaya wa sheria ya Usalama wa Taifa, au ya magazeti n.k ... hiyo sheria japo ni ya muhimu lakini ni sheria ambayo nayo itahitaji kuangaliwa upya kwani siku moja itatumiwa kama ilivyotumiwa Kenya.

ipi? Iliachwa na Jaji Nyalali katika taarifa ya Tume ya Nyalali
 
sawa.. kuna sheria moja ambayo watu wengi hawajawahi kuiangalia lakini ni sheria ya hatari zaidi Tanzania siku ambapo itafanyiwa kazi. Inazidi ubaya wa sheria ya Usalama wa Taifa, au ya magazeti n.k ... hiyo sheria japo ni ya muhimu lakini ni sheria ambayo nayo itahitaji kuangaliwa upya kwani siku moja itatumiwa kama ilivyotumiwa Kenya.

Mzee Mwanakijiji,

Hivi nitapata wapi hizi documents za Sheria ili niweze kuzipitia pia. Mnaweza kuzibandika ha JF, au haiwezekani?
 
ipi? Iliachwa na Jaji Nyalali katika taarifa ya Tume ya Nyalali

bahati mbaya sijaiona ripoti ya Nyallali, lakini kwa muda wote nimesikia criticism za sheria za Tanzania hiyo moja sijasikia ikitajwa mahali popote. Ni sheria ambayo bado Tanzania haijajaribiwa sana (ingawa nadhani ndiyo iliyotumika Pemba na Mwembechai)...
 
......Nyongeza ambayo inaweza kuonekana kama haina maana ni pale katika moja ya ofisi zao za Kijitonyama wanavyokufa kama kuku kwa kugongwa na magari yapitayo kwa kasi na wanaogongwa ni wadogo na familia zao maana wakubwa hupita kwa magari.

Hivi karibuni zaidi ya watu watatu wamekufa kwa kugongwa na gari akiwamo mlinzi mmoja wa Mzee Rashidi Mfaume Kawawa, ambaye masikini wa Mungu ameacha mke na mtoto mdogo na hana akiba yoyote ya kumlea huyo mtoto. Hakuna wa kuwatetea na kuwekewa japo matuta katika eneo hilo, lakini pia inawezekana wanagongwa kwa kuwa wanatembea wakiwa na mawazo mengi kwa kuwa na hali ngumu ya maisha. Unategemea nini kwa watendaji kama hao?

Serikali isiangalie tu wale wakubwa wanaokaa juu ya stuli ndefu na kujichana katika hoteli kubwa za kitalii huku wakisafiri nje kila uchao, iwatizame na vijana wadogo na wasichana wa usalama wanaonyanyasika.

Pia inawezekana wanaona siri nzito za nchi kuuzwa kidogo kidogo na wanashindwa la kufanya...
 
Hilo ndio lapaswa kufanywa kwa haraka. Tuangalie sheria za nchi nyingine zasemaje na tuweke katika mazingira yetu. Tuifanye kazi hii kwa haraka


Mkuu,

Ingekua vizuri kama tungechambua zile sheria zene makosa na kuzipeleka bungeni ili kuboreshwa.Kwa bahati mbaya hata wabunge wengine hawataki kabisa kutupia macho hili swala la sheria.Ni wale wachache amabao ni makini tu ndio utawakuta wako busy na sheria
 
Meremeta: Was PM misled?

THE ART OF DECEPTION Prime Minister Pinda is at loggerheads with Slaa over the true nature of payments made by the government to the dubious Meremeta company.

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

PRIME Minister Mizengo Pinda may have been deliberately misled by his top aides to try to silence Members of Parliament in the National Assembly from questioning dubious payments made by the Bank of Tanzania (BoT) to the Meremeta company.

Insiders say the PM was falsely assured by some senior government aides that operations of the now defunct Meremeta company and the subsequent TANGOLD and Deep Green Finance companies were linked to national security and defence issues.

Pinda controversially used the 'classified military information' shield in Parliament recently to block questions from opposition MPs on the nature of dubious payments from BoT worth hundreds of billions of shillings to Meremeta, TANGOLD and Deep Green Finance Ltd.

The current Permanent Secretary in the Prime Minister's Office (PMO), Vincent Mrisho, is one of the shareholders of the TANGOLD company along with other prominent politicians and senior government officials.

It is understood that Mrisho became one of the directors of TANGOLD in 2005 while serving as the PS of the Ministry of Defence and National Service.

The Deputy Leader of the Official Opposition in the National Assembly, Dr Wilbrod Slaa, told THISDAY that he believes the PM was deliberately misled by his top aides over the Meremeta issue.

The Karatu MP along with the Bariadi East lawmaker, John Cheyo (UDP), and the Kigoma North legislator, Zitto Kabwe, have strongly rebuffed Pinda's remarks in the National Assembly suggesting that Meremeta was a classified military project.
The prime minister was deceived ... Meremeta was run by foreigners, how can he now claim it was a secret military project?" Slaa said yesterday in an interview.

He warned that neither MPs nor Tanzanians at large would accept any attempts by government officials to hide the real truth on the dubious payments to the company.

Slaa insisted that Meremeta was run by a ''bunch of foreigners'' who received billions of shillings from government coffers under questionable circumstances.

According to government officials, the Meremeta company was set up specifically to engage in gold mining activities at the Buhemba mine in Mara Region and purchase gold from artisanal miners.

Just before the company went bankrupt, the then Minister for Defence and National Service, Prof. Philemon Sarungi, announced in his 2005/06 budget speech in the National Assembly that the Buhemba Gold Mine was doing brisk business.

According to Sarungi, the mine had by June 2005 produced 7,185.88 kilogrammes of gold worth around $77.725m (approx. 90bn/-).

Meremeta was registered in the UK in April 1997 and officially began extracting gold from the Buhemba mine in February 2003.

The company was formed on a 50-50 joint venture basis by the Tanzanian government and Triennex (PTY) Limited - a private firm headquartered in South Africa.

Just two years after Meremeta began producing gold, it was liquidated and the government announced that another company (TANGOLD) had taken over the assets of Meremeta, including the Buhemba mine.

As part of Meremeta's liquidation, the BoT paid a whopping $118m (approx. 150bn/-) to Nedcor Trade Services Limited of South Africa to offset a loan given to Meremeta.

The BoT raised the funds to pay off the loan to Meremeta through a 155bn/- Treasury bond, effectively raising serious audit queries in the process.

It has also been established that the BoT paid another $13.34m (approx. 17bn/-) to TANGOLD through an account at the National Bank of Commerce Limited's Corporate Branch in Dar es Salaam.

A little-known company, Deep Green Finance Ltd, eventually came into the picture and started receiving billions of shillings from BoT and TANGOLD before it also quickly and quietly filed for bankruptcy.

At the time of its registration in Mauritius in April 2005 as an offshore company, other shareholders of TANGOLD were former BoT governor Daudi Ballali (now deceased); the then Minister for East African Cooperation, Andrew Chenge; the Permanent Secretary in the Ministry of Finance, Gray Mgonja; the then PS in the Ministry of Energy and Minerals, Patrick Rutabanzibwa; and Mrisho.

While the Ministry of Energy and Minerals has claimed in Parliament that TANGOLD is 100% owned by the government, the company's articles of association have provisions that allow the listed shareholders to transfer all or part of their shares to their family members.

Furthermore, TANGOLD is also not officially listed at the Treasury Registry among companies partly or wholly-owned by the government, and has thus not been subjected to statutory auditing by the Controller and Auditor General (CAG).

Parliamentary sources say queries on Meremeta and TANGOLD will not easily disappear in the National Assembly, with the incumbent Minister for Energy and Minerals, William Ngeleja, expected to field some more difficult questions from lawmakers on the thorny subject when he tables his ministry's 2008/09 budget proposals.
 
Mtu anaposema kuwa PM alikuwa mislead anaweza kuwa na maan hizi zifuatazo.

1.Anakuwa anasema kidiploamsia kuwa PM kadanganya, ila kutokana na viheshima vyetu anauma na kupuliza hence the "misled" part.Hapa "misled" inakuwa euphimism ya "kachemsha"

2.PM ni bogus na hajui ku verify information anazopewa.
 
This is what I have been fighting; we are either very stupid and naive or we are shockingly too coward to say what we think to the extent that we find pleasure in deviating our blame to an invisible group of people whom we are incapable of holding them responsible and accountable. Kama Pinda alichemsha ni uzembe na uzubaifu wake yeye na tuseme hivyo. Ni aibu sana mwandishi mzima anatupotezea muda hapa kutueleze eti Pinda alidanganywa?!
 
Wakati mwingine waandishi wa Tanzania hawana uthubutu wa kusema wazi, badala yake wanataka wasomaji tusome between the lines na tuje na conclusions zetu ambazo sometimes zinaweza kuwa hazina ukweli.

Mwandishi alitakiwa kuwa wazi kwamba Pinda aliamua kulidanganya Bunge kwa makusudi huku akiwa na details zote ufisadi uliofanyika. Sina hakika kama Pinda ni kiazi kiasi kwamba aende Bungeni kutoa majibu ya hoja ambazo hana uhakika nazo ama bila ku-verify majibu/taarifa alizopewa na wasaidizi wake.

Indication kwamba alijua kila kitu kuhusu Meremeta ni pale alipobanwa zaidi na akatamka wazi kwamba yuko tayari kusulubiwa lakini hawezi kutoa details za Meremeta. Sasa huyo mtu unaweza kusema kwamba alikuwa misled na wasaidizi wake?
 
Nakataa kukubali kuwa Mh. Pinda, Waziri Mkuu alidanganywa na nataka kuamini kuwa yeye (Pinda) ndo alilidangaya Bunge na Watazania kwa ujumla kwa kujaribu kupindisha mambo.

Mh. Pinda ni Mtanzania, Msomi na amekuwa Waziri tangu awamu ya tatu na ya Rais Mkapa, anajua anachofanya (kupindisha suala la Meremeta) kwa makusudi. Sabau zangu ni zifuatazo:-

Suala la Meremeta limewahi kutolewa maelezo na Gavana wa BoT Meremeta si kampuni ya Serikali na Mkaguzi Mkuu wa Serikali CAG amewahi kukaririwa kuwa hajawahi kupitia ripoti ya Mahesabu ya Kampuni hiyo maana haimo katika Makumpuni ya Serikali.

Pili, Mh. Pinda anadai kuwa Sulala la Meremeta linahusiana na JWTz kwa hiyo ni suala la Usalama wa Taifa wakati kuna ushahidi kuwa Miongoni mwa Wakurugenzi wa KAmpuni ya Meremeta ni Wageni (Si Watanzania). Sasa Je, Usalama wa TAifa wa Nchii hii uko mikononi mwa Wageni? Sasa Usalama huo uko wapi?

Nashiwishika kusema kuwa Meremeta ni Kampuni hewa ya Kifisadi ya CCM iliyotumika kufanikisha kupatikana kwa pesa za kuirudisha Madarakani; Meremeta ni EPA nyingine!

Ni Vema Mh. Pinda akumbuke kauli ya Mpambanaji Mh. Mwakyembe kuwa Watazania si Mabwege Tena! na aache kuzipaka matope Taasisi Muhimu za Nchi yetu kwa kuzihusiha na Ufisadi wa Wawatawala.

Akumbuke kuwa hata hilo suala la EPA mwanzoni lilifichwa-fichwa kwa kujaribu aliyekuwa Waziri wa Fedha wakati ule Zakia Meghji kulihusianisha na Usalama wa Nchi kumbe ni wizi wa mchana na hatima yake ndo hiyo inayoiingiza nchi kwenye sintofahamu hadi sasa!

"WATANZANIA SI MABWEGE TENA", Mh. H. Mwakyembe, Mb Kyela
 
bado watanzania tuna tatizo la hawa viongozi wetu ambao wapopata madaraka wanakubali kuwatumikia wale waliowateua ili kulinda watakwa yao.
Hapa sasa wanaanza kutumia waandishi na wao wanatumika ili hali wakijua kuwa wanatumika kuwasafisha hawa viongozi uchwra.
Jamani nchi ina watanzania wengi wenye uwezo wa kuongoza nchi akichemka mmoja basi apishe mwingine,Pinda hatufai hata kwa suna,hana maana huyo hata kidogo,alijisemea hadija kopa"mtu mzima hovyo"
 
Mama Zakia alikosa kazi kwa kukubali kudanganywa!
 
pinda Alidanganywa Au Wananchi Ndio Waliodanganywa!!!

Kama Pinda Alidanganywa Bunge Bado Lipo, Wabunge Bado Ni Wale Wale, Na Kazi Yake Bado Ni Ile Ile; Aende Bungeni Pale Pale Aliposemea Mwanzo Akaseme Jamani Hee..mimi Pm Pinda Nilidanganywa. Samahani Kubwa Ziwafikie Wabunge Na Wananchi..kama Hakudanganywa Na Ilikuwa Nia Yake Kutudanganya Sisi Wananchi Basi Aendelee Kukaa Kimya.
 
Huyu Pinda yeye naye si ndo alikuwa mnusaji (TISS) kwa muda mwingi? Vipi leo apitwe na habari nyeti kama hii? Je, yeye kama Waziri Mkuu, hausishwi moja kwa moja na masuala ya ulinzi na usalama wa nchi? Huu ni uzembe usiotukuka. Alipokataa kujibu swali alinukuliwa akisema ukitaka msulubishe lakini hatalizungumzia suala hili kwani linahusu ulinzi na usalama wa nchi. Well, bado nampenda lakini lazima asulubishwe (to be hold responsible) kwa kauli yake ili safari ijayo ajue kufikiria na kuchunguza kabla ya kutoa tamko!
 
Back
Top Bottom