Meremeta & TANGOLD Revealed!

Meremeta & TANGOLD Revealed!

New blood and thinking in the house is much needed. Enzi za wazee zinafikia kikomo...imagine the house with five of Zitto's courage! we will move!
Zitto...keep the good work! God bless
 
Michango mingi humu inatoa picha moja kubwa kwamba, pamoja na mapungufu ya watendaji, sheria, taratibu na usimamizi, bado Idara ya Usalama wa Taifa ni muhimu.

Naomba kuongezea katika baadhi ya michango, na nitajikita katika udhaifu wa kimaadili (kwa wakubwa zaidi) na maslahi duni ya Maofisa Usalama na hasa wa ngazi ya chini ambao mara nyingi ndio watendaji wanaoumia zaidi.

Ukosefu wa Maadili unadhihirishwa na suala la EPA ambapo baadhi ya wakubwa wameshiriki na kama ilivyo suala la Meremeta, wamejifanya walijiingiza ili kuchunguza lakini haiingii akilini kwa kuwa wangeweza kupata nyaraka zote toka BoT na katika mabenki bila ya wao nao kuchota. Baadhi ya waandamizi wamekua wakijichotea fedha na fadhili kutoka kwa wanasiasa na wafanyabiashara kwa nia ya kuwalinda na kuwafichia madhambi yao. Sioni ubaya kama watanufaika kwa maslahi ya umma na si kwa kuwalinda hao waovu.

Ukiangalia Maofisa wa chini, kwa kweli inatia huruma maana hata maisha yao ni duni sana na yanazidi kuwa mabaya kwa wale wanaotoka familia duni zinazowategemea huko vijijini. Hawana njia yoyote ya kujipatia kipato, mishahara na posho zao ni ndogo na hawapatiwi njia mbadala za kujiwezesha. Mbaya zaidi inapotokea kazi wakati mwingine hata vijiposho vyao humegwa na wakubwa.

Nyongeza ambayo inaweza kuonekana kama haina maana ni pale katika moja ya ofisi zao za Kijitonyama wanavyokufa kama kuku kwa kugongwa na magari yapitayo kwa kasi na wanaogongwa ni wadogo na familia zao maana wakubwa hupita kwa magari. Hivi karibuni zaidi ya watu watatu wamekufa kwa kugongwa na gari akiwamo mlinzi mmoja wa Mzee Rashidi Mfaume Kawawa, ambaye masikini wa Mungu ameacha mke na mtoto mdogo na hana akiba yoyote ya kumlea huyo mtoto. Hakuna wa kuwatetea na kuwekewa japo matuta katika eneo hilo, lakini pia inawezekana wanagongwa kwa kuwa wanatembea wakiwa na mawazo mengi kwa kuwa na hali ngumu ya maisha. Unategemea nini kwa watendaji kama hao? Serikali isiangalie tu wale wakubwa wanaokaa juu ya stuli ndefu na kujichana katika hoteli kubwa za kitalii huku wakisafiri nje kila uchao, iwatizame na vijana wadogo na wasichana wa usalama wanaonyanyasika.
 
wewe ni mmojawapo?asante kwa kutuambia jinsi wanavyoishi.ila cha muhimu ni je kama wana masiha ya ajabu ni kwanini mmoja wao asijitokeze na kusema kwamba Lowassa na Rafiki zake walihusika na Dili ya RDC then Dowan?
 
Mhe Zitto Kabwe

Kazi nzuri unayoifanya...unajitahidi kuwawakilisha wananchi katika kiwango wanachokuelewa. Kwa hilo nakupongeza sana...hatua kwa hatua matunda ya kazi yako na wabunge wengine makini bungeni inaanza kuonekana. Nawapongeza sana wananchi wa Kigoma Kaskazini kwa kukuchagua kuwawakilisha. Nawaonea wivu maana wao kweli wamepata mtu mwenye nia njema na mustakabali wa nchi yetu.

Kazi nzuri...keep it up.

Baada ya hayo; ni muhimu sana Mhe Pinda aje ajibu hoja zako bungeni. Jeshi letu la Wananchi limeingiliwa na Mafisadi wachache wanajinufaisha kwa kisingizio cha Usalama wa Taifa. Hawa viongozi ndani ya Jeshi ni muhimu wamulikwe na wachukuliwe hatua kali ikiwa ni pamoja na kuvuliwa vyeo vyao ili wawe raia wa kawaida. Nchi yetu ni muhimu zaidi kuliko makundi ya watu ambao kwa sababu ya vyeo vyao kwenye Jeshi letu wanajiona wako juu sheria. Hawa wanajeshi ni aibu kwa Taifa na wako hapo kujihakikishia usalama wao wenyewe na sio usalama wetu wananchi.
 
wewe ni mmojawapo?asante kwa kutuambia jinsi wanavyoishi.ila cha muhimu ni je kama wana masiha ya ajabu ni kwanini mmoja wao asijitokeze na kusema kwamba Lowassa na Rafiki zake walihusika na Dili ya RDC then Dowan?

Si rahisi kuwa mmoja wao, maana nakuhakikishia hao wenye matatizo hata uwezo wa kulipia Shilingi 500/- kwenye internent cafe kuweza kusoma tunayoandika ama hata wakati mwingine ya kununua gazeti wanakua hawana. Magazeti wanachangia kusoma na kwa wanaobahatika huyasomea kwenye maofisi ya watu. Hiyo ndiyo HALI HALISI. Kuhusu kusaidia kutoa taarifa, wachache wenye taarifa za juu juu ndiyo hao wanaowasaidia kina Slaa na Invisible, lakini wenye kujua undani na wao ndio hao nakwambia wa kada ya juu ambao wananukiwa na waridi kwa kuwa sehemu ya UFISADI wa hali ya juu. Tunasema haya tukijua watatutafuta kama walivyowahi kufanya huko nyuma, lakini jambo la muhimu kwa sasa akina 'Halisi' wako milioni moja na kama utataka kuwadhuru hao milioni moja basi itakua hatari. Kuna siku moja baada ya Kubenea kumwagiwa tindikali (feki), Mhariri mmoja aliwaambia wenzake hadharani kwamba, "Mwanahalisi linaendeshwa na wahariri wazito 15" wakiwaua wote (jambo wasiloweza) basi ndio wataanza kuliyumbisha lakini hata wakiua hao, wako watakaoibuka 1000.
 
Halisi,

Tatizo Usalama Wamejaa watu wengi Vilaza na walio na uwezo mdogo wa kili ila wanajifanya intelligentsia,na kuna wakati niliwahi kukutana na mmoja wa viongozi wa juu wa TISS Nchini Uingereza katika Warsha Moja na alinieleza hili na akaniomba nikasaide kufanya kazi pale kwao,ila nikamcheka nikamwambiz siwezi kuacha kazi yangu kwa sasa labda nifanye Consultancy Services ambayo ni ngumu kwao kukubali.

Wana vifaaa vingi ili vimekosa watu wa kuviendesha na hii imechangiwa na kuwa na vijana na watu abo wana uwezo mdogo katika Utendaji wa kazi,Kiuwezo na kiutalaam Invisible yuko juu kiutendaji na kimkakati kuliko hao vijana,tatizo lao wengi ni mabishoo na walevi.
 
Hakika Zitto umenena kabisa ni kweli wapo wengi sana ambao wana moyo kuwa waajiriwa wa UWT lakini kuna ukiritimba mkubwa sana. Unatakiwa unong'one kuitaja taasisi hii. Nong'ona sema "Usalama wa Taifa"
 
Idara ya Usalama wa Taifa ni moyo wa Taifa... jinsi inavyopiga ndivyo taifa linavyokwenda. Karibu yote tunayoyasikia leo hii kwa namna moja au nyingine yanahusiana na Usalama wa Taifa.
 
Idara ya Usalama wa Taifa ni moyo wa Taifa... jinsi inavyopiga ndivyo taifa linavyokwenda. Karibu yote tunayoyasikia leo hii kwa namna moja au nyingine yanahusiana na Usalama wa Taifa.
Very true indeed!
Kazi ipo..sasa taasis gani ya serikali iko imara jamani!!
 
Meremeta is outright theft - Zitto Kabwe

-Legislator points out that Bomani committee saw no 'military secrets' related to the deal

THISDAY REPORTER
Dodoma

KIGOMA North legislator Zitto Kabwe yesterday categorically declared that the controversial Meremeta gold company was a scam used to pilfer billions of shillings from government coffers, contrary to claims by Prime Minister Mizengo Pinda that the project was a classified military operation.

Kabwe, who is also the chairman of the parliamentary public corporation accounts committee, said it was a scandal for the government to maintain a cloak of secrecy over the Meremeta deal, which benefited from billions of shillings in dubious payments from the Bank of Tanzania (BoT).

''Meremeta is outright theft it has absolutely nothing to do with military or national security issues,'' the opposition CHADEMA party MP charged in the National Assembly yesterday.

He was in effect responding to controversial remarks by premier Pinda in parliament last week, that Meremeta was a classified military project and therefore should not be discussed in the House.

Kabwe was also a member of the mining sector review committee chaired by Judge Mark Bomani that recently presented its report findings to President Jakaya Kikwete.

He told the House yesterday that the committee, which also included representatives of the private sector, had full access to information on the now-defunct Meremeta company, and did not find anything to support claims by the PM that it was a classified military project.

The Kigoma North MP added that even if the project did involve any truly sensitive information, the matter should be sent to the parliamentary foreign affairs, defence and security committee for study.

According to recommendations contained in the Bomani committee report, the government should thoroughly investigate Meremeta and the subsequent TANGOLD Limited company, which inherited operations of the Meremeta company at the Buhemba gold mine in Mara Region after the company was declared bankrupt.

The investigation, said the report, should cover the formation of both companies and Meremeta's liquidation, as well as the extent of government ownership interest in both and ''the legality of the payment of $132m by the BoT to South Africa's Nedbank.''

''Based on the (BoT) governor's report, the central bank paid Nedbank a total of $132m, equivalent to 158bn/-, with regards to the Meremeta company. However, other reports suggest that the loan amount to be paid was just $104m,'' said the report.

The Bomani committee further said it had been unable to get proper explanations on the establishment, ownership and liquidation of the Meremeta company, and the eventual registration of TANGOLD outside the country.

It is understood that the formation of Meremeta Gold company had the strong backing of former president Benjamin Mkapa, whose government (and State House in particular) was seen to aggressively promote the company's gold mining activities in the Tembo area of Buhemba in Mara Region.

On the other hand, it has been established that TANGOLD - which was the beneficiary of a highly-questionable $13.34m (approx. 17bn/-) payment from the BoT - was registered as an offshore company in Port Louis, Mauritius in April 2005, just a few months before the Mkapa administration wound up its tenure.

At least five top government functionaries were listed as TANGOLD company directors at the time of its registration, including the then BoT governor Daudi Ballali and the then attorney general Andrew Chenge.

Others were the then permanent secretary in the Ministry of Finance, Gray Mgonja (who still retains the same position in the current government); the then permanent secretary in the Ministry of Energy and Minerals, Patrick Rutabanzibwa; and the then permanent secretary in the Ministry of Livestock Development, Vincent Mrisho.

Rutabanzibwa and Mrisho are now permanent secretaries in the Ministry of Water and the Prime Minister's Office, respectively, while Chenge later relinquished the AG post, entered politics, won a parliamentary seat, and was included in the fourth phase government of President Jakaya Kikwete, first as Minister of East African Cooperation and later as Minister for Infrastructure Development.

He was, however, forced to resign from his ministerial position in April this year after being implicated in the 70bn/- military radar scandal. As for Ballali, he was sacked from the central bank governorship by President Kikwete earlier this year, and is now reportedly deceased.

This means that of the five registered TANGOLD Limited directors, only Mgonja has remained in exactly the same position as at the time of registration in April 2005 (just over three years ago).

The BoT payment to TANGOLD followed another payment amounting to over $118m (approx. 150bn/-), ostensibly to liquidate a loan issued to the Meremeta company as part of its winding-up process.

Official records say that Meremeta was a joint venture project owned on a 50-50 basis by the Tanzanian government and a private South African firm going by the name of Triennex (Pty) Limited.

It has also been established that TANGOLD does not appear on the list of government-owned companies recorded with the Treasury registrar at the Ministry of Finance and Economic Affairs.

The supposedly government-owned company's official constitution includes provisions that give its five registered directors - namely Ballali, Chenge, Mgonja, Rutabanzibwa and Mrisho - the right to transfer their shares to family members.

According to a section in the TANGOLD Limited constitution directly pertaining to family transactions: ''Any share may be transferred by a shareholder to, or to trustees for, the spouse, father, mother, child, grandchild, son-in-law or daughter-in-law of that shareholder; and any share of a deceased shareholder may be transferred by his executors or administrators to the spouse, father, mother, child, grandchild, son-in-law or daughter-in-law of the deceased shareholder.''

Meanwhile, Kabwe also urged the government to review the Tanzania Intelligence and Security Service Act of 1996 to give the intelligence services a broader role in enhancing transparency and government accountability.

He told the House yesterday that the Tanzania Intelligence and Security Service (TISS) must be more involved in vetting major government contracts to defend national interests.
 
Waungwana,

Miye kwa maoni yangu kuwaita hawa jamaa 'usalama wa Taifa' ni kuwapandicha chart na kuwapa heshima ambayo hawastahili. Tumefika hapa tulipo kwa wao kuamua kuweka pembeni 'usalama wa Taifa' na kusimamia 'usalama wa mafisadi' na ndiyo maana mafisadi ambalo ni kundi la Watanzania wachache wanaitetemesha nchi hata kuogopwa.

Kama mtakumbuka Waziri Mkuu Pinda, Mwanasheria Mkuu wa Sirikali na Mkuu wa Polisi walitoa kauli kwamba hao jamaa ni matajiri wakubwa sana ndani ya nchi, hivyo kukamatwa kwao kunaweza kusababisha 'nchi ikalipuka'. Hivyo naomba tuwaite kwa jina lao linalostahili la 'usalama wa Mafisadi'
 
ivi hivi vita vya ufisadi tutaviweza kweli au tunapiga kelele tu??
 
ivi hivi vita vya ufisadi tutaviweza kweli au tunapiga kelele tu??

Kwanini tusiviweze? 😕
Hatuko radhi kuona Watanzania walio wengi wanaishi maisha ya dhiki kubwa na Kikundi kidogo cha mafisadi kinaishi maisha ya peponi kwa ufisadi mkubwa wanaofanya wa rasilimali zetu na kodi ya mapato wanayokusanya.
 
Meremeta, Tangold controversy rages in House

By Rodgers Luhwago, Dodoma
THE CITIZEN

The Meremeta and Tangold controversy resurfaced in Parliament yesterday.

Legislators from opposition parties took issue with remarks by Prime Minister Mizengo Pinda last week that the two projects were used to fund defence and national security matters.

They said defence and security matters should not be used smokescreen to hide corrupt deals masterminded by top government officials during the third phase Government.

The legislators also urged the Government to come clean on the death of former Bank of Tanzania governor Daudi Ballali in Washington in May.

Contributing to the 2008/2009 speech budget tabled by Minister of State in the President's Office (Public Service Management), Ms Hawa Ghasia, Mr Kabwe Zuberi Zitto (Kigoma North-Chadema), said it was not true that the Meremeta deal was linked to the national security.

''Honourable chairman, issues surrounding Meremeta and other companies that later succeeded its activities had nothing to do with the security of the state as Premier Pinda claimed last week when winding up deliberations for his budget,'' he said.

He added: ''The Government must come clean on this matter.

We need to be told in this House about what happened.

If it is not possible for this subject to be brought into this parliamentary debating chamber then it can be taken to the parliamentary standing committee for Foreign Affairs and National Security.''

To back his allegations, Mr Zitto said the task force formed by President Jakaya Kikwete to investigate problems facing the mining sector, led by Judge Mark Bomani, also discussed the subject and forwarded its recommendations to the government.

''I cannot reveal now what was discussed and proposed to the government as far as Meremeta issues are concerned.

But findings revealed that Meremeta and Tangold were used by certain individuals to steal public funds.

It has nothing to do with the security of the state'', he said.

When quizzed by MPs last week on the same subject, Prime Minister Pinda said he was 'hand-tied' on the matter because Meremeta deals were in the hands of Tanzania People's Defence Forces(TPDF).

Mr Zitto also challenged the Government to review laws governing operations of the Tanzania Intelligence Services (TIS).

He said in the modern word the department was also hand-tied in its activities.

He said had the laws governing the department been flexible scams surrounding the loss of funds from the central bank's External Payment Arrears (EPA) account and Richmond Development Company could have been avoided.

The opposition MP wanted the Government to investigate internal problems facing the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB).

He said employees in that institution were divided into two groups.

�Honourable chairman, we are informed that the PCCB top management and the employees are now at loggerheads.

Information also shows that there is witch-hunting going on in the PCCB,'' said Mr Zitto.

On a similar note, the opposition camp said it would continue quizzing the government to explain about the death of former Bank of Tanzania( BoT) governor Daudi Ballali.

The MPs said there was no way the government could avoid clearing the controversy.

Shadow minister (Public Service Management) Grace Kiwelu said the refusal by the government to explain about the death of the former governor aimed at concealing scandalous issues in the central bank.

''Honourable Speaker, the opposition camp in general would like to be told about the place and hospital where the late Ballali was admitted.

''We also want to be told who met his medical bills considering that the late governor was still a Government employee by the time he was leaving the country'', said Ms Kiwelu.

Linking PCCB performance with the scams haunting the government, the shadow minister wanted the government to explain why individuals involved in corrupt practices surrounding the purchase of the military radar from BAe system are not taken to court.

It is said a kickback of $12 million was paid to government officials and the middleman, she explained.

She blamed the government over the poor performance of the anti-corruption bureau, saying PCCB has always been sparing officials involved in grand corruption but spent resources combating petty corruption.

The opposition MPs also accused the government of not enforcing the code of ethics for public servants.

They said it was apparent that good governance was never practiced in the country.
 
Hatuna usalama wa taifa bali ni USALAMA WA VIONGOZI NA WAOVU!
 
Hatuna usalama wa taifa bali ni USALAMA WA VIONGOZI NA WAOVU!

Sure tuna usalama wa mafisadi, swali ni je, sasa wako tayali kubadilika kuwa usalama wa wananchi na nchi yao?

Isije kuwa Japo Mh Zitto katoa pointi nzuri sana ya kutaka sheria ibadilike na kuwapa uwezo, kumbe wao wenyewe ndo vinara wa ufisadi na hivo kuchukizwa na pendekezo hilo! Je wako tayali?
 
Ningependa kweli kupata hansard ya majibu ya Waziri kwa hoja za Wabunge.

Hansard utapata soon kaka lakini hakujibu kitu. Kasema tu ushauri amepokea wote. Niliposisitiza Spika akasema, Zitto Waziri kapokea ushauri wote including kuwa meremeta ni wizi.

We have to press more for change of the law- Sheria na. 3 ya 1970 na sheria na. 15 ya mwaka 1996 maana wenyewe wamekubali zina mapungufu
 
Back
Top Bottom