Meremeta & TANGOLD Revealed!

Meremeta & TANGOLD Revealed!

How come Pinda did not do his own research? a person of his calible and authority should not accept data and information at face value. The divide line here is between practice and research that has been narrowed to almost nothing. Apart from conducting his own inquiry, I bet he (Pinda) knew quite well what he was talking about and had actually wanted to mislead the bunge!!
 
Wapinzani waendelea kuhoji Meremeta
Mwandishi Wetu, Dodoma
Daily News; Wednesday,July 09, 2008 @00:03

Kambi ya Upinzani Bungeni imeitaka serikali kutoa majibu yasiyo ya siasa kuhusu Kampuni ya Meremeta, ikisema wanahisa wake ni wageni na kuhoji kama siri za jeshi ni salama kwa wageni kuliko wabunge au Bunge.

Wamesema wanahisa wa Meremeta kwa utafiti wao, ni Triennex (Pty) ya Afrika Kusini yenye hisa asilimia 50; Msajili wa Hazina Tanzania asilimia 50; London Law Services Ltd na London Law Secretarial ambazo kila moja ina hisa asilimia moja.

"Kambi ya Upinzani inataka kujua hii Meremeta hasa ni ya nani, na hawa London Law Services na London Secretarial Services ni akina nani hasa? Kampuni ya Meremeta ina hisa asilimia ngapi? Haya ni mambo yanayotufanya tuwe na mashaka makubwa sana.

"Hivi serikali inaogopa nini kuweka mambo haya wazi hadharani, angalau kwa kamati husika ya Bunge basi ili kama kuna sababu ya msingi wawakilishi waweze kufahamu," alisema Mbunge wa Mkanyageni, Mohamed Habib Mnyaa (CUF), ambaye ni Waziri Kivuli wa Nishati na Madini, wakati akiwasilisha bungeni hotuba yake kuhusu makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2008/2009.
Mnyaa alisema kauli ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda kuwa Meremeta ni ya Jeshi na haiwezi kutolewa maelezo bungeni kwani ni kutoa siri za Jeshi, hivyo kuhatarisha usalama wa nchi ni majibu ya kushangaza.

Alisema Kambi ya Upinzani imekwisha kusema iwapo kuna jambo kweli la siri basi liwasilishwe kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge au Kamati ya Uongozi, lakini kauli kuwa serikali haiwezi kusema lolote haiwezi kukubalika ndani ya Bunge hilo.

"Bunge linapaswa kusimamia hata Jeshi kwa mambo yasiyohusu mikakati ya kijeshi. Dhahabu ni biashara na hakuna siri ya biashara kwa Bunge. Ni imani yetu kuwa serikali imetuelewa, hivyo na kutoa majibu ya kuridhisha," alisema Mnyaa.

Alisema kwa nyakati tofauti, kauli za serikali kuhusu Meremeta zinapingana na zina utata zikiwamo za kuwa kuundwa ili kuongeza nguvu kimapato Kikosi cha Nyumbu cha JWTZ; Kampuni ya serikali iliyoanzishwa kwa lengo la kununua dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo wadogo, na baadaye kuelezwa kuwa imeuzwa kwa RandGold.

Mnyaa alipongeza hatua ya Wizara ya Nishati na Madini kwa kuwasilisha rasimu ya Mpango Mkuu wa Mfumo wa Umeme, Aprili mwaka huu kwa kupata maoni ya wadau na ana imani Wizara itasikiliza maoni ya Kamati ya Nishati na Madini na kuiwasilisha bungeni ili kupata maoni ya wabunge wanaowakilisha wananchi.

Pia ilitaka ipate maelezo kuhusu miradi ya umeme ya Somanga Funga; Tegeta; IPTL na Kinyerezi, ikisema kuna ukiukwaji mkubwa wa utekelezaji wa miradi hiyo. Kwa upande wake, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, katika taarifa yake iliyowasilishwa na Mbunge wa Simanjiro,

Christopher ole Sendeka, ilipongeza hatua ya Wizara kufuta mkataba wa Richmond/Dowans, ikisema ni wa busara na kijasiri. Pia iliishauri serikali kurekebisha Sheria ya Madini ili kuzuia wawekezaji wasio Watanzania kuwekeza kwenye uchimbaji wa madini na vito isipokuwa kwa kuingia ubia wa asilimia 50 kwa 50 na Watanzania.
 
Nafasi za Mawaziri katika serikali ni wasemaji tu na sio watendaji - ni kama Kasuku wa jamii!

Mwenziwe Mhs Zakia Meghi alipotumia the same line kwenye EPA wahuni waliigeuza na kuitumia kummaliza kisiasa.

Kwa upande wa Mhs Pinda - kama hatotokea muhuni wa kumbadilishia maneno na kusambaza kwenye vyombo vya habari barua alizo sign - itabaki kua kama alivyo sema - ukweli utapatikana pale tu hao wahuni watakapo taka kummaliza Mhs Pinda!

Sisi tuangalie tu - zaidi kipindi hichi cha Uongozi wa Kikwete - hakuna kinacho eleweka!
 
2.PM ni bogus na hajui ku verify information anazopewa.

..yawezekana huyo aliyem-mislead ndio anayeweza kumsaidia kuielewa issue hiyo vizuri zaidi.

..bila kuunda ka-inquiry team hawezi ku-verify. sasa,huo muda alikuwa nao?
 
This is what I have been fighting; we are either very stupid and naive or we are shockingly too coward to say what we think to the extent that we find pleasure in deviating our blame to an invisible group of people whom we are incapable of holding them responsible and accountable. Kama Pinda alichemsha ni uzembe na uzubaifu wake yeye na tuseme hivyo. Ni aibu sana mwandishi mzima anatupotezea muda hapa kutueleze eti Pinda alidanganywa?!

..kitila,

..kuna uwezekano alidanganywa pia. imagine sura yake ilikuwaje alipogundua amedanganywa.
 
..kitila,

..kuna uwezekano alidanganywa pia. imagine sura yake ilikuwaje alipogundua amedanganywa.

Jamani hii defence ya " kudanganywa" hadi lini?
Je, ni kweli kiongozi anategemea kuwa spoonfed tu bila yeye mweyewe kutumia akili yake kwa kupata opinions from more than one ili afanye uamuzi sahihi maana ni kweli hawezi kuwa jack of all trade. Hatutegemei waziri awe anajua kila kitu esp. technical issues.. lakini inapotokea amekuwa misled..hakuna jinsi ya kudeal na wahusika ikawa a lesson to all once and for all?? Zakia Meghji aliposema kadanganywa..yeye ilimcost. Je, waliomdanya walifanywaje?? we should have some precedents for future use.
 
Meremeta mine raided:
Arrested suspects include 8 police officers

THISDAY CORRESPONDENT
Musoma

TWELVE people, including eight police officers, have been arrested over the pilferage of various properties at the Buhemba gold mine in Mara Region, which was owned by the defunct Meremeta company.

The Mara Regional Police Commander (RPC), Liberatus Lyimo, told reporters here yesterday that the burglary of the mine is believed to have occurred last February, but was only noticed this month.

The Buhemba mine currently belongs to TANGOLD Limited, which took over the assets of Meremeta after the company was liquidated.

The eight police officers arrested in connection with the theft have been identified as Corporal Raphael, PC Kiza, PC Deogratius, PC Daud, PC Majaliwa, PC Haji, PC Said, and PC John.

They are understood to have been on guard duty at the mine during separate occasions when the purloining took place.

The other four arrested suspects, all civilians, have been named as Peter Marwa, Ramadhan Salumu, George Kilasa and Wasinyu Mwita, all from Mara Region.

According to RPC Lyimo, the four civilians are expected to be arraigned in court today to answer criminal charges related to the alleged larceny, while investigations against the arrested policemen are still underway.

Mine assets stolen in the break-ins included a water pump, computers, air conditioner units, beds, mattresses, sofa sets, and other assets.

Lyimo said the properties were stolen from storage facilities at the mine, which has remained idle for some time now despite the Bank of Tanzania (BoT) pumping hundreds of billions of shillings into the project.

The RPC said the arrested policemen are still being interrogated to ascertain their roles in the theft.

There have been previous reports of properties at the abandoned gold mine being systematically pilfered and vandalized with impunity.

Since the Tanzania People's Defence Forces (TPDF) and South African investors pulled out of the project after the Meremeta company went bankrupt, assets of the mine said to belong to the government have largely been in a state of neglect.

Some 800 former workers of the mine say they were not paid any terminal benefits when the project was prematurely shut down after a brief spell of production.

The Meremeta issue recently sparked a fierce debate in the National Assembly, with opposition members of parliament pressing the government for answers regarding dubious payments worth hundreds of billions of shillings made by the BoT to Meremeta, TANGOLD, and the associated Deep Green Finance company.

A controversial remark by Prime Minister Mizengo Pinda that the Meremeta company was in fact a classified military project has been strongly rejected by various MPs, with insiders also suggesting that the PM was deliberately misled by some of his aides on the matter.
 
Naomba nianzishe mjadala mpya ambao utakwenda sambamba na huu uliopo wa EPA na watuhumiwa wake kufikishwa mahakamani.

Naomba madundi mitambo na wachangiaji, tujaribu kuangalia hoja hii kwa mtazamo tofauti na ule wa EPA.

Kashfa ya wizi na hujuma Benki Kuu zilituhumu CCM kuwa mnufaika mkuu wa pesa hizo na kuzitumia kwa ajili ya uchaguzi 2005.

Wizi na Uhujumu wa EPA unachukuliwa hatua na watuhumiwa wanafikishwa mahakamai. Zaidi ni tamko la Serikali na kujitamba kwa CCM kuwa haikuhusika na hujuma au wizi wa EPA kama chama.

Hili kwa mkao uliopo, linaonekana kuwa sasa ni dhahiri na kama kina Jeetu Patel na wenzake watakuwa na lolote, halitakifunga chama, bali mtu mmoja mmoja ambao wako ndani ya chama.

Sasa kama fedha za EPA ni dhahiri hazikutumika kukisaidia CCM, je CCM ilipata wapi pesa za uchaguzi na kutembea nchi nzima 2005?

Meremeta, TanGold, Mwananchi Green ndio majibu ya kweli y ni wapi CCM walipata pesa zao. Hay ni maoni yangu na kutokana na mazingira ya fedha ambazo zimelipwa/ibwa/hujumiwa kwa hayo makampuni matatu na matamko ya Serikali kupitia Waziri Mkuu wakati wa kiako ha Bajeti 2005, kunanipa mimi mdadisi wa mambo haya kuwa tunakoromea kesi ya EPA kudhani tutaikamata CCM< lakini ukweli uko Meremeta na wenzake.

Tunajua "Jeshi" liliomba mkopo kutoka kwa ile kampuni ya South Africa kama mtaji wa kuchimba dhahabu. Je shughuli hizi zilifanyika wapi na lini? je jeshi liliagiza lini mitambo ya kuchimba dhahabu au kufanya kazi za kijiolojia?

TUnafahamu kuwa ile Kampuni wabia wa mradi wa Meremeta, wao walitoa mtaji na hawakutaka kujihusisha na lolote lile la uchimbaji zaidi ya mtaji wao kurudishwa. Zaidi, kampuni hii kupitia Benki ya Nedland, ilitoa mkopo kwa "jeshi" ambao ulidhaminiwa na Serikali ya Jamhuri ya Tanzania kupitia Benki Kuu na ndio maana BOT waliidhinisha malipo kwa Nedbank mwaka 2005.

Mchungaji katika kutafakari kwake anabaini haya: pesa zinazotuhumiwa kuibiwa BOT za kuisaidia CCM hazikuchotwa 2005, bali zilianza kuchotwa mapema sana na hili la EPA lililetwa ili kutupiga chenga!

Pinda alisema Bungeni, suala la Meremeta ni siri, hakuna anayepaswa kulijua, swali likaja, je kwani ni Bunge au Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Serikali nao wanyimwe kufanya ukaguzi kujua ni vipi Jeshi letu liliingia mradi wa kuchimba dhahabu na kupewa mkopo mkubwa kama huo kwa dhamana ya Serikali?

EPA lilikuwa changa na kanyaboya, ambalo si sisi tuu kama jamii tumetupiwa, bali hata watuhumiwa ambao waliingizwa mkenge kwa makusudi ili uharamia ufichwe.

Jiulizeni, ni vipi pesa za Meremeta, Tangld, Mwananchi na Deep Green hazijulikani na hazifanyiwi uhakiki au ukaguzi na mtu yeyote?

Malipo ya haya makampuni yalikuwa ni ya halali kabisa lakini yaligeuzwa kwa makusudi kuwa ya halali tangu mwanzo kwa kuwa uhujumu wake ulifanyika mapema zaidi na kwa kutumia kisingizio cha Jeshi na usalama wa Taifa.

Meremeta walianza mradi wao nafikiri ni 1997-98, hivyo kama nadharia za Mchungaji ni sawa, tunapaswa kuangalia kuwa pesa hizi zinawezekana ziliisaidia CCM kwenye uchaguzi wa 2000!

Turudie majarida ya Meremeta, Tangold na wengine ambao si EPA kutathmini ni vipi CCM walipata fedha za uchaguzi 2000 na 2005!

KIna Lukaza, Patel watafungwa au achiliwa huru, lakini hapatakuwa na ushahidi wa kuioanisha au kuinganisha CCM na wizi/uhujumu wa EPA.
 
Kashfa ya wizi na hujuma Benki Kuu zilituhumu CCM kuwa mnufaika mkuu wa pesa hizo na kuzitumia kwa ajili ya uchaguzi 2005.

Mkuu Rev,

Hizi pesa zilitumika na CCM kama chama au kundi tu la Mtandao, wakisaidiwa na Mkapa na ndugu yake Balali? au?
 
Mkuu Rev. Kishoka umeleta hoja muhimu sana kwa sababu hata wizi wa EPA haukuanza 2005, na inashangaza sana serikali ilipowangangania Ernst & Young kuwa wafanye uchunguzi wa 2005 na 2005 ONLY.

Najua unajua yaliyotokea EPA 2001,2002,2003,2004 yalihusisha viongozi wakubwa karibu wote wa serikali na vilevile current Admin walichukua hela nyingi sana EPA 2006, inabidi sasa tupate report nyingine iwalazimishe serikali kuchunguza EPA kwa miaka hiyo mingine na vilevile issue ulizoleta mkuu.

Angalia sana usemi wa Waziri Mkuu kuhusu nchi kutingishika utaelewa kabisa likuwa azungumzii hizi bilioni 133 ya kina Jeetu sababu hao watu wote wa hii kesi hakuna hata mmoja wao anayeweza kufanya chochote.

Tusubiri tu ni suala la muda mambo yote yatafahamika.
 
Mkuu Rev,

Hizi pesa zilitumika na CCM kama chama au kundi tu la Mtandao, wakisaidiwa na Mkapa na ndugu yake Balali? au?

Je, ziliingia kweli CCM au ziliingia mifukoni mwa viongozi wa CCM? Je wakati huo nani alikuwa mweka hazina wa Chama? Maana yule mama waziri aliyekufa kwa ajali ya barabarani ndiyo inadaiwa alikuwa ana info zote kuhusiana na michuzi ile inayodaiwa iliingia CCM.
 
By the way,wakuu binafsi nachezwa na machale kuhusu hii ishu ya watuhumiwa wa EPA kufikishwa mahakamani.Hivi kweli haina uhusiano na hao vigogo wa IMF waliokutana na JK Arusha?Au suspicion yangu ni matokeo ya kuzowea kuwaona vigogo hawaguswi na sheria?
 
Hata mimi machale yananicheza kuhusu kesi hii. Kama mtakumbuka Pinda, Mwanasheria Mkuu na Mkuu wa polisi walitamka hadharani kwamba wahusika wa EPA ni matajiri wakubwa na kama wakikamatwa basi nchi itawaka moto. Sasa watu wenyewe wakuwasha moto Tanzania wakikamatwa ndiyo hawa tu!!!? Mimi nilidhani kuna wazito ambao walikuwa na nafasi za juu ndani ya chama na serikali. Hata hao wanaoitwa ni vigogo wa CCM kutoka Kigoma hawana ukigogo wowote wengine ndiyo kwanza tunayasikia majina yao, labda kuna watuhumiwa zaidi watakamatwa baadaye.
 
MEREMETA: The inside story

-Plus the questions that just won't go away

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

THE involvement of the Tanzania People's Defence Forces (TPDF) in the controversial Meremeta Limited formally ceased in 2005/06 after the joint venture company between the government and South African investors was officially dissolved, impeccable sources have revealed to THISDAY.

Insiders familiar with the whole saga say that, contrary to Prime Minister Mizengo Pinda's claims in the National Assembly last week that the now-defunct company was a classified military project, the army was never involved in subsequent deals involving TANGOLD and Deep Green Finance.

According to these sources, Meremeta Ltd was initially registered in the Isle of Man, United Kingdom in April 1997, and received certificate of registration number 3424504.

Going by official government records, Meremeta was registered as a 50-50 joint venture project between the Tanzanian government and Triennex (PTY) Limited of South Africa.

However, other strong evidence indicates the presence in Meremeta&#65533;s affairs from the outset of at least two British legal firms, London Law Services Ltd and London Law Secretarial Ltd, both described as 'nominal shareholders.'

In October 1997, the company was given certificate of compliance number 32755 by the Business Registration Licensing Authority (BRELA), allowing it to formally operate in Tanzania.

Working in collaboration with the TPDF at the Buhemba open pit gold mine in Mara Region, Meremeta officially began gold mining operations in February 2003, with its operations being heavily financed by Tanzanian taxpayers through the Bank of Tanzania (BoT).

In 2005, the Meremeta company announced it had produced 2,075 kilogrammes of gold at a cash cost of $384 per troy ounce of gold.

Apart from the Buhemba gold mine, Meremeta also held the Kilamongo and Mwizi deposits, both located south of Buhemba, and the Nyasanero deposit.

But then in 2006 - only a year after officially beginning gold production the company declared bankruptcy, and was formally dissolved.

''With the dissolution of Meremeta, both the TPDF and the South African company (Triennex) formally pulled out of gold mining activities at Buhemba,'' said one of our well-informed sources, adding: ''So officially, any military involvement in the Meremeta project ended in 2006 when the company was declared bankrupt.''

Insiders further say the initial involvement of the TPDF in the Buhemba gold mining operations was aimed at raising funds to finance its cash-strapped vehicle manufacturing division - Tanzania Automotive Technology Centre, better known as the Nyumbu project.

It is understood that Meremeta was also set up to assist in developing the country's informal gold mining sector.

Official government records show that as Meremeta Ltd was winding up its operations, the BoT paid more than $118m (approx. 150bn/-) to Nedcor Trade Services Limited after having guaranteed a loan from the South African firm to Meremeta.

The BoT raised the funds to pay off the loan to Meremeta through a controversial 155bn/- Treasury bond, in a transaction that raised serious queries from auditors.

Following the liquidation of Meremeta Ltd, the Ministry of Energy and Minerals announced in Parliament that a wholly-owned government company, TANGOLD Limited, had been formed and assumed all Meremeta company assets, including the Buhemba gold mine.

Investigations by THISDAY have already established that the BoT paid another $13.34m (approx. 17bn/-) to TANGOLD through an account at the National Bank of Commerce Limited's Corporate Branch in Dar es Salaam.

TANGOLD was initially registered as an offshore company in Mauritius in April 2005, with its address listed as Suite 520, Barkly Whart, Le Caudan Waterfront, Port Louis.

In February 2006, the company was registered in Tanzania, with its local shareholders including former BoT governor Daudi Ballali (now deceased); the then Minister for Infrastructure Development, Andrew Chenge; and the Permanent Secretary in the Ministry of Finance, Gray Mgonja.

Other TANGOLD shareholders are the current PS in the Ministry of Water and Irrigation, Patrick Rutabanzibwa; and the then permanent secretary in the Ministry of Livestock Development, Vincent Mrisho.

Although the Ministry of Energy and Minerals claimed that TANGOLD was 100% owned by the government, it has failed to explain why the company was registered in Mauritius and not Tanzania, and why its articles of association give the listed shareholders permission to transfer all or part of their shares to their next of kin.

TANGOLD is also not listed at the Treasury Registry among companies partly or wholly-owned by the government, and has thus not been subjected to statutory auditing by the Controller and Auditor General (CAG).

When addressing the National Assembly in Dodoma last Friday, premier Pinda appeared evasive to the point of fumbling in his attempts to answer queries from opposition members of parliament regarding Meremeta, TANGOLD and Deep Green Finance Limited.

His reference to the controversial Meremeta question as a ''military affair and therefore one of national security'' in particular only served to raise more questions rather than provide any answers to the mystery.
 
Je, ziliingia kweli CCM au ziliingia mifukoni mwa viongozi wa CCM? Je wakati huo nani alikuwa mweka hazina wa Chama? Maana yule mama waziri aliyekufa kwa ajali ya barabarani ndiyo inadaiwa alikuwa ana info zote kuhusiana na michuzi ile inayodaiwa iliingia CCM.

Chama ni kundi la wana siasa wenye nia ya kushika madaraka ya kisiasa ili kuongoza nchi.
Chama husajiriwa kisheria na kujiendesha kama legal entity katika maana kwamba chama kinaweza kushitakiwa au kushitaki au vyote kwenda kwa pamoja.
Chama ni lazima kiweke wazi vyanzo vyake vyote vya fedha ili kuhakikisha Uhuru wa nchi unalindwa na kuzuia chama kutumiwa kama Mamluki na manyang'au wachache ndani na nje ya nchi.

Kabla ya kujiuliza fedha hizo za wizi ziliingia kwenye accouny ya CCM au la, ni vema kujiuliza swali hili.

Je Fedha za kuendeshea Kampeni za CCM hutolewa moja kwa moja kwenye account za/ya CCM?

Je ni kiasi gani cha Fedha kilitumika kugaharimia uchaguzi wa Mwaka 2005 ndani ya CCM?
Je zilitoka katika account gani?

Endapo utakuwepo uwazi katika mtiririko wa kihasibu wa fedha za kugharimia uchaguzi ndani ya chama cha CCM, na maelezo yaliyoshiba ya vyanzo vya fedha hizo, hapo ndipo swali la je ni kweli kiasi fulani cha fedha iloibiwa EPA ililiwa na CCM?
Je tunajuaje kwamba CCM imebebwa na Muarabu,Muhindi au Mzungu fulani kiasi kwamba siku moja tutasikia kwamba Tanzania ni sehemu ya ufalme wa nchi fulani??? Au ni makao makuu ya kutawanyia Bangi na aina zote za madawa ya kulevya Duniani????!

Endapo CCM inajikanyaga katika kutoa maelezo ya wapi ilipata fedha za kuendeshea uchaguzi wa mwaka 2005, na zilikuwa ni kiasi gani,sioni ni kwa nini CCM isivae tuhuma za ushiriki wa wizi katika account ya EPA moja kwa moja au kupitia mawakala wake.

Endapo CCM inatabia chafu ya kutamba kwamba mamilioni inayo tumia yametoka katika mifuko ya wapenzi na mashabiki wake wasio tajwa majina na asili zao, kwa nini CCM isituhumiwe kwamba ni mshiriki namba moja wa wizi mkubwa na ujambazi unafanyika Tanzania??

CCM inatuhumiwa kugharimia shughuli zake za kila siku nje ya uwezo wa chama katika mtindo wa kumbebesha gharama kila mwananchi wa Tanzania bila kujali itikadi yake.

Usiri mkubwa wenye harufu za kijambazi na kiharamia umetanda mtandao wa uhasibu ndani ya CCM.

KWa vile CCM ni chama Dola, inashindwa kutenganisha fedha au matumizi ya kichama na yale ya kiserikali jambo ambalo katika ulimwengu wa vyama vingi halikubaliki na halibebeki.
Kuna maswali mengi ya msingi yenye kutia kiwi ya macho, masikio na akili yanayostahili majibu ya kina kutoka duru za CCM ili kuweza kusafisha kiwingugiza kizito dhidi ya CCM kujihusisha na Uharamia mkubwa wa kuzua na kuendeleza umasikini unaoendelea nchini Tanzania kila siku.
 
Mkuu Rev,

Hizi pesa zilitumika na CCM kama chama au kundi tu la Mtandao, wakisaidiwa na Mkapa na ndugu yake Balali? au?

FMES,

Umeuliza swali la msingi nami nitalijibu kama ifuatavyo.

Hizi pesa zilitumika na CCM kama Chama kwa kutumia mwamvuli wa chama. Lakini waliochora mshiko wote si CCM kama chama, bali ni kakundi kadogo ka-wajanja ndani ya CCM na nje yake ambao walionaupenyo huu.

Kwenye hujuma hii, si lazima kuwa kila kiongozi wa CCM alishirikishwa kwenye utunzi wa hujuma mpaka kujua jinsi hujuma ilivyofanya kazi, ila kila aliyekuwa mgombea wa CCM iwe 2000 au 2005 amenufaika kwa pesa ya hujuma bila kujua kama pesa hii ilikuwa ni ya hujuma au ni chafu.

Tuangalie lengo la hujuma, je ilikuwa ni kuhakikisha CCM inakaa madarakani daima au kuna menginewe yaliyojificha?

Madela kauliza swali zuri, mbona hakuna uhakiki wa vitabu vya mahesabu ili kuonyesha uwiano wa mapato na matumizi? jibu kwa hili swali ni kuangalia Serikali ya Jamhuri wa Muungano, vitabu vyake ni hovyo na vichafu, hivyo tusitegemee kuona vitabu safi kutoka CCM.

Je uchafu wa vitabu ni kutokana na kukosekana kwa wahasibu na wataalamu au kunafanywa kwa makusudi ili mambo yasahauliwe au yaachwe jinsi yalivyo, jibu ni kuwa mambo huvurugwa kwa makusudi sawa na vile Jeshi miaka ya 70 na 80 lilivyokuwa likichanganya makaratasi ya maesabu kwa makusudi kwa kupulizia Panda boi kisha kuwaambia wahasibu wa nje waingie kwenye chumba wapitie mafaili!

Ubaya na mtego ambao wale wana CCM ambao wamenufaika bila kujua kuwa wanapewa hela haramu ni kwa kukubali kupata fedha za uchaguzi ambazo ni safi kutoka ofisi kuu iwe Chimwaga, Lumumba au Kisiwandui na kukumbushwa walipe fadhila kwa kukiunga mkono chama hata pale ambao wanaona kuwa kuna makosa ya uongozi.

Walihujumu wanajujia ni wachache lakini wameshirikisha CCM nzima bila wengine walio viongozi wa CCM na wanachama wake kujua ukweli wa mambo.

Wao CCM walioingizwa mjini walikuwa wakiomba pesa, wanapewa, lakini hawaulizi zilikotoka!
 
Ama mii nasikitika kuwa wanaoshikwa ni watu wengine kabisa. Kwa kuwa meremeta inajulikana ni ya nani kwanini asishikwe mwenye kampuni?. CCM na viongozi wake wa juu ndio wahusika wakuu. Wanaboronga mambo kuwashika watu wadogo na kuwawacha wahusika wakuu ama wanaogopewa?. Tanzania inaishinda Kenya kwa wizi. Takwimu zinajieleza wazi kabisa.
 
Going by official government records, Meremeta was registered as a 50-50 joint venture project between the Tanzanian government and Triennex (PTY) Limited of South Africa.

However, other strong evidence indicates the presence in Meremeta&#65533;s affairs from the outset of at least two British legal firms, London Law Services Ltd and London Law Secretarial Ltd, both described as ’nominal shareholders.’

In October 1997, the company was given certificate of compliance number 32755 by the Business Registration Licensing Authority (BRELA), allowing it to formally operate in Tanzania.

Working in collaboration with the TPDF at the Buhemba open pit gold mine in Mara Region, Meremeta officially began gold mining operations in February 2003, with its operations being heavily financed by Tanzanian taxpayers through the Bank of Tanzania (BoT).

In 2005, the Meremeta company announced it had produced 2,075 kilogrammes of gold at a cash cost of $384 per troy ounce of gold.

Apart from the Buhemba gold mine, Meremeta also held the Kilamongo and Mwizi deposits, both located south of Buhemba, and the Nyasanero deposit.

But then in 2006 - only a year after officially beginning gold production the company declared bankruptcy, and was formally dissolved.

’’With the dissolution of Meremeta, both the TPDF and the South African company (Triennex) formally pulled out of gold mining activities at Buhemba,’’ said one of our well-informed sources, adding: ’’So officially, any military involvement in the Meremeta project ended in 2006 when the company was declared bankrupt.’’

Insiders further say the initial involvement of the TPDF in the Buhemba gold mining operations was aimed at raising funds to finance its cash-strapped vehicle manufacturing division - Tanzania Automotive Technology Centre, better known as the Nyumbu project.

It is understood that Meremeta was also set up to assist in developing the country’s informal gold mining sector.

Official government records show that as Meremeta Ltd was winding up its operations, the BoT paid more than $118m (approx. 150bn/-) to Nedcor Trade Services Limited after having guaranteed a loan from the South African firm to Meremeta.

The BoT raised the funds to pay off the loan to Meremeta through a controversial 155bn/- Treasury bond, in a transaction that raised serious queries from auditors.

Following the liquidation of Meremeta Ltd, the Ministry of Energy and Minerals announced in Parliament that a wholly-owned government company, TANGOLD Limited, had been formed and assumed all Meremeta company assets, including the Buhemba gold mine.

Investigations by THISDAY have already established that the BoT paid another $13.34m (approx. 17bn/-) to TANGOLD through an account at the National Bank of Commerce Limited’s Corporate Branch in Dar es Salaam.

TANGOLD was initially registered as an offshore company in Mauritius in April 2005, with its address listed as Suite 520, Barkly Whart, Le Caudan Waterfront, Port Louis.

In February 2006, the company was registered in Tanzania, with its local shareholders including former BoT governor Daudi Ballali (now deceased); the then Minister for Infrastructure Development, Andrew Chenge; and the Permanent Secretary in the Ministry of Finance, Gray Mgonja.

Other TANGOLD shareholders are the current PS in the Ministry of Water and Irrigation, Patrick Rutabanzibwa; and the then permanent secretary in the Ministry of Livestock Development, Vincent Mrisho.

Although the Ministry of Energy and Minerals claimed that TANGOLD was 100% owned by the government, it has failed to explain why the company was registered in Mauritius and not Tanzania, and why its articles of association give the listed shareholders permission to transfer all or part of their shares to their next of kin.

TANGOLD is also not listed at the Treasury Registry among companies partly or wholly-owned by the government, and has thus not been subjected to statutory auditing by the Controller and Auditor General (CAG).

When addressing the National Assembly in Dodoma last Friday, premier Pinda appeared evasive to the point of fumbling in his attempts to answer queries from opposition members of parliament regarding Meremeta, TANGOLD and Deep Green Finance Limited.

His reference to the controversial Meremeta question as a ’’military affair and therefore one of national security’’ in particular only served to raise more questions rather than provide any answers to the mystery.

Okay,

Kampuni inafanyiwa usajili na kupewa mtaji mwaka 1997 , inaanza uzalishaji 2003, mazao yanayowasilishwa kwa kumbukumbu ni ya 2005. Baada ya mwaka kampuni inafilisika huku bei ya dhahabu katika soko la dunia inakita na kupanda chati!

Je kuna linaloweka maana hapa?

Hebu tufanye mahesabu, Kilo 2075 za dhahabu ni sawa na troy ounce 66712.80. Tumeambiwa troy ounce moja ilikuwa ni kiasi cha $384.

Hivyo mahesabu ya haraka ni 66712.80*384=25, 617, 715.00 Hivyo kwa mwaka mmoja tungepata Meremeta wangepata $25,617,715.00!

Lakini mashaka yanakuwa kwenye bei ya dhahabu tunayoambiwa na Serikali.

Kwota ya kwanza ya 2005 bei ya dhahabu ilikuwa ni $427 kwa aunzi (ounce) kisha ikabakia hivyo kwota ya pili, ikapanda kiducho kwta ya tatu na ikafunga mwaka kwenye kwota ya nne kwa bei ya $485.

Gold Price News: 2005 Gold Price

Sasa hii bei ya Meremeta ni kutoka soko gani?

Je mwaka 2003 na 20004 Meremeta ilivuna dhahabu? na mwaka 2006 ambapo ilibwaga manyanga, ilikuwa imevuna kiasi gani cha dhahabu? maana bei kwenye soko la dunia ilikuwa ikipanda kwa chati!

Swali lingine la msingi, kwa nini Jeshi kupitia Meremeta ilijiingiza kwenye uchimbaji wa dhahabu na madini? Je ni kwa nini Meremeta (sababu gani) ilifilisika? Je aliyeleta wazo la kusema Jeshi lianze uchimbaji wa madini alikuwa nani na alitumia utaalamu na ushauri gani? Meremeta ilipoingia hasara, ni nani Jeshini, Wizara ya Ulinzi, Benki Kuu, Madini, Hazina au Ikulu aliwajibika?

Nawaachieni chati za bei za dhahabu kwenye soko la dunia 2005-2006, jiulizeni kwa nini tusiituhumu Meremeta kuwa mfadhili wa CCM!

au2005D.gif

au2006D.gif
 
Dataz jamani na analysis! Meremetas' on the way to court mkajibu hayo maswali
 
Rev. Kishoka wewe ni mchambuzi mzuri sana. Maswali uliyouliza hapo juu ni mazito sana ambayo Watanzania wana umuhimu mkubwa wa kusikia majibu yake. Ahsante sana.
 
Back
Top Bottom