William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
Days in history: 29.7.2009 - The Day Mwanakijiji stopped the clock for Tanzanians!
- Mkulu Steve D ubarikiwe na Mungu wa Mbinguni, hamna la kuongeza hapo.
Respect.
Field Marshall Es!
Days in history: 29.7.2009 - The Day Mwanakijiji stopped the clock for Tanzanians!
Currently Active Users Viewing This Thread: 73 (30 members and 43 guests)
Mchukia Fisadi, bnhai, Dar Es Salaam, Dia Gnosis, Eqlypz, Hauxtable, Hofstede, Hussein Abdallah, Interested Observer, Invincible, Jamco_Za, John Mnyika, Lecturer, Likele3, Mawio, Mburahati, mdaumie, Mfuatiliaji, mwakaleli, nat867, nyati, nzela, Positive Thinker, Sekenke, Siao, Simoni, Sura-ya-Kwanza, tiger, tunza, tzengo
Waache watumbue macho. Mi nimeshaipakua ngoja nikeshe sasaAngalia guests wanao watch thread hii walivyo wengi kuliko members!
JF idumu
Waache watumbue macho. Mi nimeshaipakua ngoja nikeshe sasa
Angalia guests wanao watch thread hii walivyo wengi kuliko members!
JF idumu
Kwani kuna teknolojia ambayo wanga inawashinda?ila haya majina mengine "mapya mapya tu" hata miye sielewi! Hivi wanga wanaweza kutumia teknolojia ya wireless?
ila haya majina mengine "mapya mapya tu" hata miye sielewi! Hivi wanga wanaweza kutumia teknolojia ya wireless?
MM
hiyo ripoti vipi?
Sijakuelewa; kwa kile tukisema kuwa tuko overwhelmed hatuelezei kwa usahihi kinachoendelea! Wale ambao hawajapata na wamekwishalipia tunawahakikishia by early in the morning tomorrow watakuwa wamepata; timu zetu zote US, Bongo, na UK zinafanya kazi kwa umakini mkubwa na kwa kujitahidi kujaza oda zote. Kama mnavyojua kupikwa kimepikwa kwingine, harusi iko iko kwingine na wagawaji msosi wanatoka kwingine..!!! the functional word hapa ni "tricky!"
kaka MMM, some of us tupo nje na hatuna njia za kimataifa za kutuma pesa, twaomba muda kidogo tupo Afghanistan, Iraq, Nepal, Haiti etc.... chonde kaka....
huwezi kutuambia huna mtu bongo wa kutoa hiyo 30,000
unless you are not serious
GT, hakuna mtu nyumbani sisi ni wale wa ku "CHUBWI" hakuna wa kutubeba nyumbani.... samahani lakini lazima ukubali kuna watu kama sisi tua uchungu lakini "MACHOZI YA SAMAKI"
basi kaa kwenye kundi la watazamaji si lazima kila mtu awe mchezaji kwenye mechi
ONLY BECAUSE OF THAT??? Ha ha haaa, GT, kweli nimeamini kwamba unaenda mpaka chini ya mikanda kaka...... duh, sikutegemea... anyway amini uaminicho lakini ujue kwamba nasi wa tabaka la chini kuna mchango tunaweza kutoa, sometimes upo better than yours mukubwa..... u stoop too low for what i expected mukubwa....
kaka MMM, some of us tupo nje na hatuna njia za kimataifa za kutuma pesa, twaomba muda kidogo tupo Afghanistan, Iraq, Nepal, Haiti etc.... chonde kaka....
huwezi kutuambia huna mtu bongo wa kutoa hiyo 30,000
unless you are not serious
ONLY BECAUSE OF THAT??? Ha ha haaa, GT, kweli nimeamini kwamba unaenda mpaka chini ya mikanda kaka...... duh, sikutegemea... anyway amini uaminicho lakini ujue kwamba nasi wa tabaka la chini kuna mchango tunaweza kutoa, sometimes tupo better than you mukubwa..... u stoop too low for what i expected mukubwa....
Actually watu dizaini yenu don count really much...sana sana nyie ni ma cheeleaders
Pesa za broad band unazo, pesa za kununua simu unazo lakini elfu 30 huna
You are in the wrong forum my friend, nenda darhotwire au michuzi utapata nakala za akina shayo za bure
nothing wrong nazo ni docs si lazima uje humu ukatoa demand eti upewe bure
kama huna pesa kaa nyamaza subiri 15 days maybe unaweza kuipata kwenye torrent