Meremeta 00:00:00..EXTRA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Meremeta 00:00:00..EXTRA

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Mzee Mwanakijiji, Jul 24, 2009.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Jul 24, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Tunawashukuru kwa mwitikio wenu lakini kwa hakika mmetupa kibarua kipya kabisa na kazi imekuwa ngumu katika hiyo ripoti. Kutokana na ongezeko kubwa la watu wapya ambao wangependa kupata ripoti hii hasa wale ambao ndio wamepata tu taarifa zake tumeamua kuongeza nakala 50 tu hadi hii Ijumaa.

  Maelezo ni yale yale na utaratibu ni ule ule wa kupata.

  Pamoja na hilo, jana nilizungumzia kwanini tumefanya hili tulilolifanya na tunasukumwa na kitu gani ili kusiwe na utata wowote.
   
  Last edited: Aug 1, 2009
 2. M

  Magehema JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2009
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  I salute you!
   
 3. taffu69

  taffu69 JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2009
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Mkuu Mwanakijiji hii imekaaje lakini; nakuwa na hofu nakala zote zisije zikaishia kwenye mikono ya wale wenye mlengo wa kifisadi ama mafisadi wenyewe!

  Any way, juhudi zako ni nzuri na zinahitaji support ya hali ya juu mkuu.
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Jul 24, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Hilo lisikutie shaka, in case of unforeseen event the report will be released independently of this base and freely. NO one can stop it, isipokuwa Mungu.
   
 5. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  MKJJ mjitahidi sana kuwa na plan B na C maana mafisadi na hata system itakuwa imestuka sana na inajipanga....kudhibiti labda kijarida kisivuje.....nahisi kama kamata kamata itafuata kutisha watu kwenda front.....hasa kulipia....ni mtazamo wangu tu....ila kazi nzuri sana naunga mkono...nchi haina mwenyewe???wananchi twajua wajibu wetu ??hatuwezi kuwawajibisha mafisadi??hadi lini.....
   
 6. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #6
  Jul 24, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli hakuna plan "B". Ka"nzi" kamechoka baada ya kukaa kwa madiba karibu wiki nzima!
   
 7. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hongera sana MJJ kwa kazi mnayoendelea. Mimi binafsi nilikuwa na maswali machache:

  Having only 100 copies!!
  Sababu ya kutoa hii nakala special ni nini? Sio kutaka watu wajue hii ishu kwa kusudi la ku-expose zaidi. Katika maelezo yako umetoa mfano mzuri wa Ab Ghraib - lakini kumbuka zile ziliwekwa kwenye Youtube.
  Pia hao watu 100 watakaopata nakala, utahakikishaje kuwa wataifanyia kazi utakayo wewe? Na Usalama wa Taifa ukijiandikisha na kuchukua zote, itakuwaje?
   
 8. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #8
  Jul 24, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Hapana, rejea mada ile nyingine ya "Mtanzania mwenzangu, unajua hili?"..

  Ni kweli.. lakini ni wachache waliovalia njuga.. so wengine wataona hivyo hivyo kama kwa youtube.

  Hakuna lolote ambalo Usalama wa Taifa au mtu mwingine yeyote atakayeweza kuzuia kuenea kwa nakala hii kwa wale watu ambao wanataka kujua ili kutenda. So any attempt to interfere will be an exercise in futility.

  So.. don't worry about the "ifs"..
   
 9. K

  Kelelee Senior Member

  #9
  Jul 24, 2009
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 113
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Good work....i hope something comes out of this
   
 10. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #10
  Jul 24, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Mkuu MKJJ,

  hakuna "sneak-peek" angalau ya a couple of paragraphs?
  Mimi nakala yangu itabidi unishushie mtaani ukipiga raundi...$ thelathini
  yako inakusubiri.

  Big ups to what you are doing bro!
   
 11. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #11
  Jul 24, 2009
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu ubarikiwe sana na Muumba akuzidishie.Binafsi sina wasiwasi kwani nina amini unajua unachokifanya,kazi nzuri.
   
 12. Sabode

  Sabode Senior Member

  #12
  Jul 24, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 159
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Du MKJJ
  Kwa wale ambao tutataka kujua tu hatuta pata?
   
 13. Sabode

  Sabode Senior Member

  #13
  Jul 24, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 159
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  By the way
  Kazi nzuri mno mzee hop one day Tz itapona kabisa
   
 14. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #14
  Jul 24, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Na pia kuhakikisha linafanyiwa shughuli, nilikuwa napendekeza nakala za bure kwa wabunge. Mnaonaje?
  Au MKJJ ulikuwa una plan gani kuhakikisha hii ishu inashungulikiwa ipasavyo? Maana nimeona kwenye forum yako ukiongelea uwoga wa wabunge...sasa nani atamvisha paka kengele kama wao wanashindwa?
  [ame="http://www.forums.mwanakijiji.com/showthread.php?p=4402#post4402"]Wabunge wetu na siri za kijinga! - MwanaKijiji.COM[/ame]
   
 15. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #15
  Jul 24, 2009
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mwanakijiji

  Njia rahisi ni kupitia vocha za simu. Unanunua vocha ya simu na kumtumia Maxence kama ilivyopendekezwa kwa JF halafu unamtumia pia email yako ili uweze kutumiwa ripoti.

  Hongera kwa kazi nzuri na hayo maono ya kuchangisha natumaini watu watakao nunua watasoma na kufanya jasho lenu lionekane. Ni mara ngapi niprint cheche halafu sisomi siyo fair, hii nitakayo nunua lazima nitaisoma tu.
   
 16. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #16
  Jul 24, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Sasa mkuu oda ina ambatana fedha au inakuwaje?
  Je oda ikiwa kubwa yaani nikiwa mtu wa 155 nitapata nakala hiyo? Maana naona plan nikutoa nakala 100.
   
 17. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #17
  Jul 24, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135

  Posted: Today, 09:48 AM
  Current time: All times are GMT +4. The time now is 11:40 AM.
  Views za thread: Views: 100

  In theory order zimekwisha....
   
 18. M

  Magezi JF-Expert Member

  #18
  Jul 24, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Mkuu MKJJ,

  Hongera na kazi nzuri japo sisi wa manzese mbona umetuwekea ugumu? Tutalipaje ili tuipate?
   
 19. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #19
  Jul 24, 2009
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Mzee Mwanakijiji,

  This is breaking News.kuna kosa mmefanya moja sana la kiufundi hapa,kwanini mnamwingiza maxenco hapa??

  nimepata tarifa toka huko.ni bora copy zitoke marekani .ila ni good move and i second it.Mie nitachukua ka mtu wa this Day coz ninafahamiana naye.

  Ila hili litaleta matatizo
   
 20. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #20
  Jul 24, 2009
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Na ona vitu vyako mzee, nakubari kuwa masters imetema!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...