Meremeta 00:00:00. EXTRA

Status
Not open for further replies.
Waache watumbue macho. Mi nimeshaipakua ngoja nikeshe sasa

Aisee.. I underestimated the thirsty for the truth (or a glimpse of it) that our people have. Nilijua watu watapenda kusoma na kujua kilichomo; but the response is absolutely overwhelming. Jana nimelala saa kumi kasorobo za asubuhi... na kabla ndoto yangu na Halle Berry haijaisha nikakurupushwa na simu toka Abidjan, Ivory Coast. Mtu anataka ripoti yake!
 
Mwenyezi Mungu awazidishie uhai na afya njema ya kuendeleza mapambano wale wote wenye mapenzi mema na nchi hii!!
 
MM

hiyo ripoti vipi?

Sijakuelewa; kwa kile tukisema kuwa tuko overwhelmed hatuelezei kwa usahihi kinachoendelea! Wale ambao hawajapata na wamekwishalipia tunawahakikishia by early in the morning tomorrow watakuwa wamepata; timu zetu zote US, Bongo, na UK zinafanya kazi kwa umakini mkubwa na kwa kujitahidi kujaza oda zote. Kama mnavyojua kupikwa kimepikwa kwingine, harusi iko iko kwingine na wagawaji msosi wanatoka kwingine..!!! the functional word hapa ni "tricky!"
 
tuko nyuma yako, Wakatabahu........
 
kaka MMM, some of us tupo nje na hatuna njia za kimataifa za kutuma pesa, twaomba muda kidogo tupo Afghanistan, Iraq, Nepal, Haiti etc.... chonde kaka....
 
huwezi kutuambia huna mtu bongo wa kutoa hiyo 30,000
unless you are not serious
 
invisible mbona mambo mnaleta nusu nusu?

unless sijaelewa kitu

Tafadhali tazama INBOX YAKO
 
Last edited:
huwezi kutuambia huna mtu bongo wa kutoa hiyo 30,000
unless you are not serious

GT, hakuna mtu nyumbani sisi ni wale wa ku "CHUBWI" hakuna wa kutubeba nyumbani.... samahani lakini lazima ukubali kuna watu kama sisi tua uchungu lakini "MACHOZI YA SAMAKI"
 
basi kaa kwenye kundi la watazamaji si lazima kila mtu awe mchezaji kwenye mechi
 
ONLY BECAUSE OF THAT??? Ha ha haaa, GT, kweli nimeamini kwamba unaenda mpaka chini ya mikanda kaka...... duh, sikutegemea... anyway amini uaminicho lakini ujue kwamba nasi wa tabaka la chini kuna mchango tunaweza kutoa, sometimes tupo better than you mukubwa..... u stoop too low for what i expected mukubwa....
 
ONLY BECAUSE OF THAT??? Ha ha haaa, GT, kweli nimeamini kwamba unaenda mpaka chini ya mikanda kaka...... duh, sikutegemea... anyway amini uaminicho lakini ujue kwamba nasi wa tabaka la chini kuna mchango tunaweza kutoa, sometimes upo better than yours mukubwa..... u stoop too low for what i expected mukubwa....

Actually watu dizaini yenu don count really much...sana sana nyie ni ma cheeleaders

Pesa za broad band unazo, pesa za kununua simu unazo lakini elfu 30 huna

You are in the wrong forum my friend, nenda darhotwire au michuzi utapata nakala za akina shayo za bure

nothing wrong nazo ni docs si lazima uje humu ukatoa demand eti upewe bure

kama huna pesa kaa nyamaza subiri 15 days maybe unaweza kuipata kwenye torrent
 
Sasa nimeamini kwamba kumbe tuliliweka Jambazi Ikulu. Mkapa lilikuwa jambazi kweli kweli, tena lenye kutumia silaha. Ni la kuchoma moto hili jamaa. I hate him!
 
kaka MMM, some of us tupo nje na hatuna njia za kimataifa za kutuma pesa, twaomba muda kidogo tupo Afghanistan, Iraq, Nepal, Haiti etc.... chonde kaka....

huwezi kutuambia huna mtu bongo wa kutoa hiyo 30,000
unless you are not serious

ONLY BECAUSE OF THAT??? Ha ha haaa, GT, kweli nimeamini kwamba unaenda mpaka chini ya mikanda kaka...... duh, sikutegemea... anyway amini uaminicho lakini ujue kwamba nasi wa tabaka la chini kuna mchango tunaweza kutoa, sometimes tupo better than you mukubwa..... u stoop too low for what i expected mukubwa....

Actually watu dizaini yenu don count really much...sana sana nyie ni ma cheeleaders

Pesa za broad band unazo, pesa za kununua simu unazo lakini elfu 30 huna

You are in the wrong forum my friend, nenda darhotwire au michuzi utapata nakala za akina shayo za bure

nothing wrong nazo ni docs si lazima uje humu ukatoa demand eti upewe bure

kama huna pesa kaa nyamaza subiri 15 days maybe unaweza kuipata kwenye torrent

GT,

Hivi hayo maneno juu, una-utani na Morani au wasema kweli? Kama ni kweli basi soma hapa chini. Kama ni utani, ishia hapa.

Siku moja kiungo kimoja mwilini kisicho count much kiliamua kugoma baada ya kusimangwa na wenzake kuwa anafanya kazi ya ovyo. Kiungo hicho kazi yake ni kupitisha mabaki ya chakula. Ehhh, ikawa patashika na jasho kutoka. Mtu nenda msalani kiungo kinasema "leo hakitoki kitu..." Akina ubongo, moyo, tumbo, kifua wakaanza kuhaha. Pressure ikaanza kupanda na jamaa bado yuko ngangali. RESPECT!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom