Mr Makunduchi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 995
- 492
Kwani ccm imenajisiwa na nani kwa sasa
Na wewe ulikuwa mwana UKWATA wa kike?Hahahahaha! Tupo. Nyalandu alikuwa anafurahishaga sana pale Chapel. Lakini kikubwa zaidi ni pale ofisi yake ilikuwa haikosagi visitors wanafunzi wa kike tu! Ngarenaro, Arusha seki, Ekenywa, Enaboishu, Weruweru n.k. Medukenya (Ilboru second master by then) kaonya hadi akachoka.
Ben huko aliko ajue tu jamaa ni mwanafamilia sasa. CDM watajaribu kuuza kwa Wananchi mizigo kama hii 2020. Isipo uzika utasikia tumeibiwa!.WanaJF,
Heri ya Mwaka mpya.
Manyerere Jackton na Balile pamoja na timu nzima ya jamhuri mnafanya kazi yenu vizuri.Hii ndio inaitwa investigative journalism(Uandishi wa Kiuchunguzi) sio wale wambea wengine wanajiitawaandishi wa habari za kiuchunguzi
BTW: Sasa inabidi Nyalandu atoke hadharani aeleze ukweli.Serikali nayo ichukue hatua za kisheria baada ya uchunguzi
Hivi kweli mtu anaweza kuwa waziri wa jamhuri ya muungano na kufanya mambo yasiyo ya kizaelendo tena ambayo ni ya kuhujumu uchumi na pia kuhatarisha usalama wa taifa kiasi hiki bila Idara ya usalama kujua na kuchukua hatua muafaka?
hii kali sana, nyalandu inabidi ajibu shutma
View attachment 324976 View attachment 324977
Ni kweli,hii chopa iliyodondoka ndio alitumia Nyalandu kwenye kampeni zake,na hapo ipo kwenye kijiji cha Singida Kaskazini.Hata magari ya kampeni yalikuwa ni hao jamaa na ni yale ya kitalii.Hapa baada ya ajali magazeti ya nje yalimnukuu zaidi Nyalandu kuliko walivyomnukuu Prof Maghembe
Nadhani sasa chadema imeshakuo choo kamiliBen huko aliko ajue tu jamaa ni mwanafamilia sasa. CDM watajaribu kuuza kwa Wananchi mizigo kama hii 2020. Isipo uzika utasikia tumeibiwa!.
Dr. Slaa alisema hana tatizo na choo pale kinapokuwa chooni, bali tatizo ukikihamishia sebuleni.
walahi CDM. Si kila adui wa adui yako awe rafiki . Yamewakuta kule kenya bado tu hajajifunza, tatizo kubwa la CDM ni ulimbukeni wa kisiasa.Ben huko aliko ajue tu jamaa ni mwanafamilia sasa. CDM watajaribu kuuza kwa Wananchi mizigo kama hii 2020. Isipo uzika utasikia tumeibiwa!.
Dr. Slaa alisema hana tatizo na choo pale kinapokuwa chooni, bali tatizo ukikihamishia sebuleni.
JF ni google ya TanzaniaDu!
Shkamoo Nyalandu,
Asante JF kwa kutuwekea ARCHIVES
If they knew, what made them silent over him?na ni waovu wengine wangapi watasemwa hivi hadi wakijiuzulu?Katika hatua nyingine, mambo mapya yameibuka kuhusu kampuni ya Kimarekani ya Friedkin Conservation Fund (FCF) ambayo majangili walidungua helikopta yake mwezi uliopita na kusababisha kifo cha rubani raia wa Uingereza, Roger Gower.
FCF inamiliki kampuni tanzu za uwindaji wa kitalii za Mwiba Holdings Ltd, Tanzania Game Trackers Safaris (TGTS) Ltd na Wengert Windrose Safaris.
Wakati helikopta hiyo ikidunguliwa kwa kile kinachoelezwa kwamba ilikuwa kwenye doria dhidi ya majangili, kumbukumbu zilizopo Wizara ya Maliasili na Utalii zinaonesha kuwa kampuni ya Mwiba Holdings Ltd ni miongoni mwa watuhumiwa wa ujangili
Uchunguzi unaonesha kumekuwapo matukio kadhaa ya wafanyakazi wa Mwiba kukamatwa wakiwa wameua wanyamapori na kukutwa na nyara za Serikali.
Vyanzo vya habari kutoka ndani ya Wizara ya Maliasili na Utalii vimesema mara zote kesi zinazoihusu kampuni hizo zimekwama kutokana na kile kinachoelezwa kuwa ni urafiki wao wa karibu na aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Nyalandu.
Urafiki wa Nyalandu na wamiliki wa kampuni hizo ulikuwa mkubwa kiasi cha kumpatia moja ya helikopta zake aitumie kwenye mbio za kuwania urais, kabla ya kushindwa na kujielekeza kwenye ubunge. Helikopta iliyodunguliwa na majangili ndiyo aliyoitumia wakati wote wa kampeni zake za ubunge
Nyalandu alimwamuru Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori wa wakati huo, Paul Sarakikya, kutoa Leseni ya Rais kwa familia ya Tom Friedkin (mmiliki wa kampuni hizi) kuwinda wanyamapori 700 katika vitalu vinane na eneo la wazi la Makao. Leseni hizo zilitolewa bure bila kulipiwa hata senti.
Miongoni mwa wanyamapori waliokuwa kwenye orodha ya kuuawa ni tembo walio katika hatari ya kutoweka.
Pia Nyalandu alikiuka sheria kwa kupuuza ukomo wa idadi ya vitalu vitano kwa kampuni moja. TGTS imemilikishwa vitalu vinane pamoja na eneo la wazi; hali ambayo ni ukiukwaji wa kifungu cha 38(7) cha Sheria ya Wanyamapori.
Kampuni hiyo pia ilipewa vitalu na Nyalandu kinyemela, ilhali sheria ikiagiza kuwa kitalu kinapobaki wazi sharti kitangazwe kwanza na waombaji washindanishwe katika mfumo na utaratibu ulio wa haki na uwazi [Kanuni ya Uwindaji wa Kitalii 18(1).
Pamoja na kutoa Leseni ya Rais, Wamarekani hao walileta watoto wadogo, chini ya umri wa miaka 18 kuwinda; jambo ambalo ni kinyume cha kifungu cha 43(3) cha Sheria ya Wanyamapori Namba 5 ya mwaka 2009.
FCF na kampuni tanzu imekuwa ikiendesha shughuli za utalii kwenye eneo la Makao WMA tangu 2011 baada ya Mwiba Holdings Ltd kumilikishwa eneo jirani na WMA ya Makao kwa ajili ya shamba la mifugo na wanyama (Makao Ranch).
Kampuni ya Mwiba Holdings Ltd chini ya TGTS Ltd ambazo zinamilikiwa na Friedkin Conservation Fund (FCF) imekuwa ikiendesha shughuli za utalii kwenye eneo la Makao WMA tangu 2011 baada ya Mwiba Holdings Ltd kumilikishwa eneo jirani na WMA ya Makoa kwa ajili ya shamba la mifugo na wanyama.
Hata baada ya kumalizika Mkataba wake na JUHIWAPOMA, kampuni ya Mwiba Holdings Ltd iling’ang’ania na kuendelea kukalia eneo la Makao WMA kwa mabavu na kinyume cha sheria.
Source:Jamhuri
Kwani haya yalisemwa lini?Alipokuwa hajatangaza kujiuzuru mbona yalikuwa hayajasemwa?
Unajua hii thread ni ya lini?HIVI SIKU ZOOOOTE HAMKU YAJUA HAYO YOTE AU MPAKA MTU AJIUZURU?
Hii si sawa kwa waerevu.
limejitumbuaJPM jipu hilooo sema nalo.
Ulinena,yametimiaKama ni kweli kwa hii serikali ya magu huyu naye hatopona mwendo ni mdogo mdogo tutaona mengi kipindi hiki tusubiri wanakwenda kuisoma namba mapema sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nadhani sasa chadema imeshakuo choo kamili