Rutorial k
JF-Expert Member
- Jun 8, 2014
- 1,061
- 1,041
tetetete....mkuu dentist kinana haamini kinachokwenda kutokeaWakifuatilia sana watakutana na kinana hapo ndiyo patakuwa patamu
tetetete....mkuu dentist kinana haamini kinachokwenda kutokeaWakifuatilia sana watakutana na kinana hapo ndiyo patakuwa patamu
Si alishasema kua wamarekani wanamtaka awe rais....Nyalandu hajawahi kuwa mzalendo, nilishangaa sana kutaka kuwania urais.
Taratibu tu ataisoma nambatetetete....mkuu dentist kinana haamini kinachokwenda kutokea
Kutubu tu haitoshiKinana si alitubu na kuapa kutoua tembo tena? [HASHTAG]#NilisikaLakini[/HASHTAG]
Huwa anafuata warembo tu!! Ulisha ona macho yake yakitulia akiona sketi nzr nzr?Wewe Nyalandu wewe, si tullikua wote kwenye UKWATA -Taifa wewe? Mrudie MUNGU wako aiseee, sikuhukumu bali nakukumbusha tu juu ya maandiko haya.
Yaani hii nchi sijui ilisha kuwa kichaka gani. Hata shamba la bibi nalo lina mmiliki wake. Kila mtu alikuwa anakwapua to tbe maximum kwa nafasi yake. Sioni shaka na taarifa hii kwa sababu Mh. Nyarandu amekuwa akiishi na kwenda US kwa muda mrefu. This guy should be charged with connection to murder that poor British pilot. Sioni tofauti yake na akina Escobar katika uharamia wao na madawa ya kulevya. It's a shame.
Kugusa huyo mmiliki ni timing, ni mmoja wapo wa wafadhili wa serikali ya state, through chama cha D!
Waziri nae ameishi sana state! Tunajua organization nyingi zinavyotengeneza operatives wake direct na indirect kufanikisha deal zao.(mfano EHM's) na nyingine za kijasusi kibiashara lakini nyuma ya kivuli cha usalama!
Jipu hilo likitumbuliwa vibaya, usaha ukiruka unaweza kumtia mtu upofu!
Yaani hii nchi sijui ilisha kuwa kichaka gani. Hata shamba la bibi nalo lina mmiliki wake. Kila mtu alikuwa anakwapua to tbe maximum kwa nafasi yake. Sioni shaka na taarifa hii kwa sababu Mh. Nyarandu amekuwa akiishi na kwenda US kwa muda mrefu. This guy should be charged with connection to murder that poor British pilot. Sioni tofauti yake na akina Escobar katika uharamia wao na madawa ya kulevya. It's a shame.
Nyalandu aliwahi kuwa hata anasafiri na hao wazungu kwenye kampen zake za urais. Lakini haishangazi ndo ilikuwa style ya awam hiyo manake kama hata unakumbuka hata wachina nao walikuwepo kwenye kampen za CCM. Anyway, sijui mwisho nini lakini bado hali ni mbaya sana bado na sii ajabu hata JPM akamaliza awam ya 5 bila kugusa nusu ya majipu kama haya na mengine ukizingatia kuwa JK kila siku anabisha hodi ikulu sijui alisahau nn mle.
Duh Ijumaa KareemHuwa anafuata warembo tu!! Ulisha ona macho yake yakitulia akiona sketi nzr nzr?