Mengi yazidi kuibuka kuhusu Nyalandu

Mengi yazidi kuibuka kuhusu Nyalandu

Haya mambo ukiwa ndani ya KIDUMU mboni hawayatoi publicly!!?
 
WanaJF,

Heri ya Mwaka mpya.

Manyerere Jackton na Balile pamoja na timu nzima ya jamhuri mnafanya kazi yenu vizuri.Hii ndio inaitwa investigative journalism(Uandishi wa Kiuchunguzi) sio wale wambea wengine wanajiitawaandishi wa habari za kiuchunguzi

BTW: Sasa inabidi Nyalandu atoke hadharani aeleze ukweli.Serikali nayo ichukue hatua za kisheria baada ya uchunguzi

Hivi kweli mtu anaweza kuwa waziri wa jamhuri ya muungano na kufanya mambo yasiyo ya kizaelendo tena ambayo ni ya kuhujumu uchumi na pia kuhatarisha usalama wa taifa kiasi hiki bila Idara ya usalama kujua na kuchukua hatua muafaka?
Chama chetu ndio hivo tena kinampokea
 
Endelea kuwa salama huko ulipo na kama haupo hai lala pema[emoji22]
 
CCM kwa kupika na kuungaunga propaganda ni no 1 duniani na ndilo kaburi lake liko hapo.
Ukiichambua vizuri hii taarifa imeungw ungwa ikaumbiika kwa kusudi fulani tu
Tunamsubori Nape mwana wa Moses Nnauye naye wamenuandalia kapu lake
Ila wale wanaobaki woote ni watakatifu na wenye heri
Amina
 
Fisadi lowasa sa hivi kimyaaa, itakuwa hao nyumbu
 
Hahahahahaaaaa na Loding .............. Uzalendo wa M agufuri siuoni
 
Yatasemwa mengi sana juu ya nyarando ila ndo ivyo keshapiga hatua
 
kama alifanya kwa maelekezo ya kimemo kutoka juu je watakuwa tayari waliompa ki memo kuwajibishwa pamoja
 
Back
Top Bottom