Mengi yazidi kuibuka kuhusu Nyalandu

Mengi yazidi kuibuka kuhusu Nyalandu

Yaani hii nchi sijui ilisha kuwa kichaka gani. Hata shamba la bibi nalo lina mmiliki wake. Kila mtu alikuwa anakwapua to tbe maximum kwa nafasi yake. Sioni shaka na taarifa hii kwa sababu Mh. Nyarandu amekuwa akiishi na kwenda US kwa muda mrefu. This guy should be charged with connection to murder that poor British pilot. Sioni tofauti yake na akina Escobar katika uharamia wao na madawa ya kulevya. It's a shame.
Magufuli atakufa kwa presha, tuzidi kumwombea kwa Mungu amuepushe na wanaomwombea mabaya. Majitu kama Nyalandu yanaomba rais a R.I.P hata sasa hivi.
 
Hivi huyu nyalandu nae si alitaka kuwa raisi wa jamhuri ya muungano wa tz??
 
Yes alikua Rais wa UKWATA-Taifa hahhhahhahahaa aiasee huwa baadhi ya Wapendwa wanapotelea wapi baada ya kumaliza shule/vyuo?

Hahahahaha! Tupo. Nyalandu alikuwa anafurahishaga sana pale Chapel. Lakini kikubwa zaidi ni pale ofisi yake ilikuwa haikosagi visitors wanafunzi wa kike tu! Ngarenaro, Arusha seki, Ekenywa, Enaboishu, Weruweru n.k. Medukenya (Ilboru second master by then) kaonya hadi akachoka.
 
Hivi Na Wale WALIOHUSIKA Na KUSAFIRISHA Wanyama Walio Hai Kwenda Ughaibuni, Wameshakamatwa Tayari!!! MAANA Twiga Wetu Kukamatwa Mbugani, Kupelekwa Airport Na Kupandishwa Ndege Na Kusafirishwa Kwenda Ughaibuni!!! KAMA Bado, TUNAHITAJI Wakamatwe, Wahojiwe, Washitakiwe, Wafungwe Na Wafilisiwe MALI ZAO Zoote!!!! NDIO Majipu Tunayoyahitaji Yatumbuliwe Haraka Saanaa!!!
 
We always dance with music accord!! Huyu nyalandu alipata opportunity akaitumia. Ila sasa nae si mwanaukwata huyu?? NAE alioenyeza rupia kwenye udhia!! Daaah mlungula ni kwikwi aiseh nchi hii
 
image.jpeg
image.jpeg

Ni kweli,hii chopa iliyodondoka ndio alitumia Nyalandu kwenye kampeni zake,na hapo ipo kwenye kijiji cha Singida Kaskazini.Hata magari ya kampeni yalikuwa ni hao jamaa na ni yale ya kitalii.Hapa baada ya ajali magazeti ya nje yalimnukuu zaidi Nyalandu kuliko walivyomnukuu Prof Maghembe
 
Hahahahaha! Tupo. Nyalandu alikuwa anafurahishaga sana pale Chapel. Lakini kikubwa zaidi ni pale ofisi yake ilikuwa haikosagi visitors wanafunzi wa kike tu! Ngarenaro, Arusha seki, Ekenywa, Enaboishu, Weruweru n.k. Medukenya (Ilboru second master by then) kaonya hadi akachoka.
Vitoto vilikuwa vinaenda kufanya nini?
 
Jamhuri huwa na data za uhakika! Jipu hili litamwondoa Maghembe asipochukua hatua za haraka.
 
Aisee hii Tanzania yetu duu mbona wanataka kuimaliza wachache? Hata hivyo turudi nyuma tujiulize inakuwaje wageni ndio wawe wazuiaji ujangiri ukiangalia waliokuwemo kwenye hiyo helkopta ni raia wa kigeni. Swali hivi TANAPA na Game Reserve au anti poaching hawana askari wa kutosha?
Pia wanawaamini vipi hao wageni na je wanawalipa kiasi gani? Na kwa hizo hela wanazowaajili wageni wataajiri watanzania wangapi?
 
Dah binadamu tunaroho mbaya sana hawa na kiongozi wao mkuu walikuwa watawala wa watu masikini sana tanzania na walwategemea kwa moyo mmoja kumbe ni mashetani wansema mungu huwa anasamehe ila sijui ngoja tufe tukaone
.
 
Kuna mambo Wizara ya Utalii inatakiwa itoe maelezo ya kina. Makampuni ya nje yamepewa kazi za kulinda mbigu zetu? kwa sababu zipi? Huu utaratibu uluanza lini, na kuna makampuni mangapi ya kigeni yanafanya hizo kazi za ulinzi mbugani hadi sasa?
 
Bluu: Ahsante na ewe pia.
Red: Hivi 'bifu' na hao jamaa hamjalimaliza? Ebu jenga chama...acheni 'figisufigisu' zenu vinginevyo...2020...kura za u-rais mlizopata 2015 zinaweza kushuka kwa kiwango cha kutisha.

Bifu na akina nani? I look forward to the era when most Tanzanian Journalists will implore ethics into their profession.
 
Mpaka atoke wakati wanaandika kulikuwa kuna ubaya gani kumconsult mtu ili kubalance habari ijapokuwa umewasifia kwa kazi nzuri lakini bado hawakutimiza wajibu wao ipasavyo haki na wajibu ni muhimu wakati wote. Hata humu JF tungewaachia nyie tu hamna record za kutenda haki ndio tatizo sio kila wakati uwafurahishe watu, wakati mwengine na ukweli usemwe kesho hawa unaowasifia utasikia wanagombea katika vyama vya siasa lakini leo unawaona waandishi wa habari.

Wana haki ya kugombea.Kwani wakisimamia Taaluma yao wataathiri nini? Kwani hakuwa consulted?
 
Back
Top Bottom