jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,479
- 25,695
Isipouzika? Kwahiyo hiyo mizigo Ilipokuwa ikiuzika ikiwa ndani ya ccm ni sawa na ni sahihi kabisa, lakini sasa haitauzika tena kwa kuwa ni upinzani! Yani unaona ni sawa tu... Hapo ndo unaona umetumia akili kweli kweli!😀Ben huko aliko ajue tu jamaa ni mwanafamilia sasa. CDM watajaribu kuuza kwa Wananchi mizigo kama hii 2020. Isipo uzika utasikia tumeibiwa!.
Dr. Slaa alisema hana tatizo na choo pale kinapokuwa chooni, bali tatizo ukikihamishia sebuleni.
Yani kwa mujibu wako wewe na Slaa, wananchi wanatakiwa wapewe au wawekwe chooni kabisa!