Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

Status
Not open for further replies.
Hishma mbele mkuu filemon....Hata hivyo kama ni kung'ata na kupuliza basi wewe ni bingwa mkuu wangu.
Yani una imani sana na vyombo vya usalama kwenye issue hii ya ufisadi simply because ni Mengi mwenye matatizo?
OK...Kuna wale ambao wanasema hakutaja jina...Thats a different case...Lakini si wewe uliwasapoti wale wote wanaosema hatuna imani na vyombo vya usalama kwasababu vinalinda usalama wa mafisadi tu?
Je si wewe ulifurahia pia hotuba a JK ELEVEN pale MWEMBEYANGA?
Kwenye issue kama hizi mara nyingi inahitajika uchukue side halafu if you are wrong then you are and you correct yourself ama you just forget and say..."Well the true story of a champion is that you win some and you loose some."

Jmushi1, hapa tupo kurasa moja ila kwa kuongezea kidogo tu.

I wish to point out that some of the comments (words) we rush to post in JF will live long after we are gone. Some of them however will pretty soon come back to haunt us and wont have the patience to wait till we are dead. If only we could wait just long enough to weigh some comments before we post them on JF, it could save us a lot of embarrassment later on. There is a lot of cheap shots going on in here - why ?.

I dont distance myself from this habit but I do try not to act out of anger or ridicule (even hard as it may sound). Whenever I find I don't have a worthy response I try to keep my trap shut - for it feels safer that way. The war before us can be tough and bloody for most of our enemies can turn out to be our relatives, friends or co-workers. The tendency to come to the defence of those dear to us is a human trait that can at times obscure logical judgement.

We should learn to be tolerant to those afflicted with this weakness for they are but human. But we must never allow them to water down our resolve to come to the defence of our poor country so torn that there are dogs now fighting for its poor torn body. We are at war with enemies within us and who might know our every move and as is the motto in JF - tumkome nyani giledi bila kumwangalia uso. Mengi tunayoyashuhudia ni NOTHING BUT DISTRACTION.
 
Wakati mwingine mtu unasema kitu public licha ya kuripoti ili kujilinda. Pia tukumbuke Mengi siyo mtu wa kwanza kulalamikia messages za vitisho; tumeyasikia ya kina Sitta, Kubenea, Mwandishi wa This Day, n.k Kuna ya mchungaji Albino kule Kilimanjaro, kuna yule mtoto aliyetekwa Mbagala, kuna mengine mengi tu! Hadi hivi sasa Polisi wameweza kumkamata nani kutokana na vitisho vya simu?

LAKINI MENGI NDIO AMERIPOTI MARA NYINGI ZAIDI...LAZIMA WIZARA HUSIKA AU IGP..ATOE TAMKO ..KWA WANANCHI KUELEZEA...MALALAMIKO YA MENGI YA NYUMA NA YA SASA YAMEFANYIWA KAZI NAMNA GANI...ILI MENGI NA WANANCHI KAMA RAIA WASIFIKIE KUKOSA IMANI NA JESHI LA POLISI KUWA HALIFANYII KAZI TAARIFA ZA WANANCHI RAIA WEMA..AKIWAMO MENGI..NAMAANISHA STATEMENT [RB] ALIZOPELEKA POLISI TANGU MWAKA 1994....HIYO NDIO ILIKUWA MARA YA KWANZA ANARIPOTI KUTISHIWA KUUWAWA............

HII PIA ITAMSAIDIA MENGI .....ILI KUONDOA FIKRA KUWA MENGI ANALALAMIKIA VITU VISIVYOKUWAKO......TAARIFA ITAJENGA IMANI..

Imesemwa kafanya hivyo tayari, na strategically kuzungumza na waandishi ni njia ya kuweka rekodi straight ili Polisi wanaweza kusema "hapana hajazungumza nasi" au vyombo vya usalama vinaweza kumkana. Hadi hiivi sasa sijasikia chombo kilichokana taarifa za Mengi kuwa amesharipoti. Unless una ufahamu tofautii kuhusu hilo. I'll be ready to be corrected.

...I SUPPORT YOU ..TATIZO KUBWA LIPO HAPO..MARA ZOTE POLISI WAMEKUWA KIMYA....LABDA POLISI IPEWE MUDA KUTOLEA MAELEZO MALALAMIKO YOTE YA MENGI KWA UJUMLA WAKE NA HATUA ZILIZOFIKIA ...WAKISHINDWA TUTASEMA POLISI WANAJUWA....

Unashauri kuwa mtu aliyefanikiwa apunguziwe mafanikio yake? Mengi hana Monopoly ya media in Tanzania not even close! Tanzania hakuna media monopoly. Ila kama za kwake zina nguvu zaidi au zina exposure zaidi well, kwanini tujaribu kuzizuia.

HATA MICROSOFT ANALALAMIKIWA KWA KU MONOPOLISE SOKO...LA MSINGI NI KUWA ..TUWEKE TU UTARATIBU KWA NIA NJEMA ..ILI MBELE YA SAFARI ASIJE KUTOKEA MTU MMOJA AKAMILIKI VYOMBO VINGI VYA HABARI..AKATUMALIZA..BORA SASA IPP WANAPINGA UFISADI...SASA HAMUONI HATARI INAYOKUJA MAFISADI NAO WANAAZA KUMILIKI MEDIA TENA KWA NGUVU....WAKIKAMATA SOKO TUTAKUWA NA TAIFA LA AINA GANI?..LAZIMA TUWEKE UTARATIBU....SAY MTU MMOJA ASIRUHUSIWE KUMILIKI ZAIDI YA REDIO 2,TV STATION 2,MAGAZETI 2...ETS .....SASA UNAPOKUTA ASILIMIA 60 YA MAGAZETI YANAMILIKIWA NA MTU MMOJA KUNA TATIZO....BIASHARA ZIPO NYINGI!!!

hata hivyo nakubaliana na kitu kimoja ambacho ni muhimu kuangalia sana na kinatokana na suala lake na Malima. Ipo haja ya kuwa na sera inayoeleweka au kulazimisha chombo cha habari kufanya full disclosure inapomnukuu au kuandika habari za mmiliki wake kusema wake kuwa huyo ni mmiliki wake.

Kwa mfano, Nipashe ikiandika habari za IPP na Mengi ilazimike kusema "Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP (wamiliiki wa Nipashe/gazeti hili) Bw. Reginald Mengi" n.k Hii itakuwa fair kwa mtu ambaye anasoma habari za Mengi au mmiliki mwingine kwenye gazeti lake au chombo chake cha habari.

I SUPPPORT FULLY!!!
 
Najua nitatofautiaaa sana bwna sana na wengi katika hili, kuna wakati huwa namshangana mengi kwa jinsi au style yake ya KULIA LIA, sasa mtu mzima kama wewe mwenye kumiliki vyombo vingi vya habari kuliko mtu yeyeto TZ, unasimama kwenye vyombo vyako kulalama ETI WAZIRI MMOJA KIJANA, si amtaje tu na au ampeleke mahakamani? hii tabia ya umbea wa magazeti ya udakau kaiotoa wapi? hata kama ni kutafuta sympathy sio kihivyo.

Akitofautiana na mtu tu, huyooooooooo kwenye vyombo vya habari, anachoogopa nini? mtu atawezaje kukutaifisha bila ya wewe kuwa na kosa? kwanini uogope vitisho wakati wewe ni mtu safi? nakumbuka aliwahi kuwa mmoja wa wadeni wakubwa wa mabenki nchini kabla hayajabinafsishwa huyu. sijui kama alilipa au yalipotea hewani, ndiyo lazima tujiulize mabenki yalikuwa yanatengeneza faida lakini yakakosa pesa za kujiendesha kwa vile zimeshikiriwa na matajiri hawa hawa.

Mimi nadhani kuwa Mengi ni alama ya wajasiriamali makini katika nchi yetu wenye asili ya Tanzania. Kwa lugha ya Mh. Simba, mzawa. Kama unafuatilia kwa karibu maendeleo ya uwekezaji bongo utajua fika kuwa kuna wafanyibiashara wengi wenye asili ya kiasia ambao wametumia nguvu yao ya pesa kuwalaghai na kuwaweka kwenye mikoba yao viongozi wetu wa kisiasa kwa manufaa yao binafsi na si manufaa ya nchi.

Nasema hivi kwa sababu kuna kipindi fulani, hawa wahindi al manusra wamtoe roho Mengi, kilichomsaidia sana ni kuweka kilio chake hadharani na waTanzanai kuonyesha kukerwa kwao na watu hawa wanaokuja nchini mwetu na kuanza kujiona wao ni miungu watu. Mengi kutumia vyomba vyake vya habari kueleza mikakati ambayo baadhai ya mawaziri wala rushwa wanayo dhidi yake, ni jambo sahihi. Na kumshutumu Mengi kuwa anatumia vyombo vyake kuficha maovu yake ( isipokuwa kama nitathibitishwa vinginevyo), si shutuma sahihi. Kwa hali ya matukio ilivyo sasa hivi, kama kweli ana uhalifu anouficha lazima kuna mmojawapo wa watuhumiwa angevijisha habari hizo ili wananchi wamuhukumu Mengi.

Lisemwalo lipo, wahenga walisema. Mengi kwa uungwana wake, aliamua kutokumtaja jina huyo waziri kijana. Lakini kutoka kwenye vyanzo vya kuaminika, imethibitika kuwa kwa kutaka kwake misifa, huyu kijana huwa anajikuta akilopoka mambo ya kishenzi kuhusu masuala muhimu ya siri za kwenye baraza la mawaziri, huwa ni mwepesi kusahau kuwa hao marafiki zake, hawajala kiapo cha kutunza na kuenzi siri za baraza hilo, na huwa wanaona umashuhuri, kuzigawa siri hizo kwa ndugu zao wa karibu ambao nao pia wana marafiki wanaowaamini, na tena, kama wahenga walivyosema, hakuna siri ya watu wawili, ndio mambo yanatufikia na sisi wakina yakhe!!

Masha, hafai, sio mzalendo, ana uroho wa madaraka , na anatamani kuabudiwa. NI kijana ambaye hakuandaliwa vizuri kwa ajili ya uongozi, mchafu, asiye mwadilifu. Mtu anayediiki kusema mauaji ya mazeruzeru ni kitu kidogo ( kwa mantiki ipi? Labda mpaka mazeruzeru wote wauawe ndio ajue ni suala kubwa.!) Kama hawezi kuheshimu uhai wa raia mmoja, iweje apewe jukumu la kuongoza wizara inayowajibika na utunzaji wa sheria za nchi?

Si ajabu ndio maana haoni hatari ya kutumia madaraka yake, kumbambikizia mtu kesi isiyo sahihi. Huku ni kuhujumu dhamana aliyopewa na waTanzania. Nakemea kwa kauli moja na kwa moyo wote upuzi huu anoupanga. Sisi waTanzania wa kawaida ni lazima na muhimu tuwe na imani na vyombo vyetu vya dola, hatutaki kuishi kwa hofu ya kuja kubambikiziwa makesi na wenye nguvu wachache kwa sababu tu, tunaanika ufedhuli wao!!
 
Au mambo ya nyapu manake pande zote mbili hazijatulia!!

Mtaumiza vichwa bureee, waweza kuta ni kijibifu cha ajabu ajabu.
 
LAKINI MENGI NDIO AMERIPOTI MARA NYINGI ZAIDI..

Sijui umejuaje kuwa "mengi ndiyo ameripoti mara nyingi zaidi". Umemlinganisha na nani?

LAZIMA WIZARA HUSIKA AU IGP..ATOE TAMKO ..KWA WANANCHI KUELEZEA...MALALAMIKO YA MENGI YA NYUMA NA YA SASA YAMEFANYIWA KAZI NAMNA GANI...

Hii itakuwa ni kumpa upendeleo wa aina fulani; kuna watu wengi tu wanaolalamika Polisi kuhusu mambo mengi, kwanini IGP ayatolee maelezo hayo ya Mengi tu? Hatujasikia kuhusu ya Spika yalikofikia au ya Kubenea, au ya hao wengine niliowataja hapo nyuma.

ILI MENGI NA WANANCHI KAMA RAIA WASIFIKIE KUKOSA IMANI NA JESHI LA POLISI KUWA HALIFANYII KAZI TAARIFA ZA WANANCHI RAIA WEMA..AKIWAMO MENGI..NAMAANISHA STATEMENT [RB] ALIZOPELEKA POLISI TANGU MWAKA 1994....

Kauli yako ya awali ulisema hivi:

WAO (Polisi) NDIO WANA NAMNA BORA YA KUCHUNGUZA

Sasa kauli yako hiyo ya pili hapa inaonekana kama unahoji utaalamu na uwezo wa Polisi kufanya kazi zao kwa mujibu wa taratibu zilizokubaliwa.

HIYO NDIO ILIKUWA MARA YA KWANZA ANARIPOTI KUTISHIWA KUUWAWA............

Umejuaje kama ni mara ya kwanza ameripoti kutishiwa kuuawa? Unless you have access to all statements that he has submitted to the Police since 1994. Which is possible so I'll take ur word for it.

HII PIA ITAMSAIDIA MENGI .....ILI KUONDOA FIKRA KUWA MENGI ANALALAMIKIA VITU VISIVYOKUWAKO......TAARIFA ITAJENGA IMANI..[/B]

Itajenga imani kwa nani hasa? Waandishi, wananchi wa kawaida, wanasiasa, wafanyabiashara wengine n.k?

...I SUPPORT YOU ..TATIZO KUBWA LIPO HAPO..MARA ZOTE POLISI WAMEKUWA KIMYA....LABDA POLISI IPEWE MUDA KUTOLEA MAELEZO MALALAMIKO YOTE YA MENGI KWA UJUMLA WAKE NA HATUA ZILIZOFIKIA ...WAKISHINDWA TUTASEMA POLISI WANAJUWA....

labda polisi hawana uwezo wa kufanyia uchunguzi mambo haya kwani hadi hivi sasa hakuna hata moja linalohusu vitisho vya simu ambapo kuna mtu amekamatwa au kufikishwa mahakamani. At least kwa kadiri ninavyojua. So, kabla hatujaenda kwa Mengi, tuulize vipi kuhusu wale waliomteka mtoto na kudai milioni 10 kule Mbagala au waliomtishia yule Albino Kilimanjaro?

HATA MICROSOFT ANALALAMIKIWA KWA KU MONOPOLISE SOKO..

Hizo ni sheria zao na taratibu zao, sisi za kwetu sijui zikoje na kwanini?

.LA MSINGI NI KUWA ..TUWEKE TU UTARATIBU KWA NIA NJEMA ..ILI MBELE YA SAFARI ASIJE KUTOKEA MTU MMOJA AKAMILIKI VYOMBO VINGI VYA HABARI..AKATUMALIZA..BORA SASA IPP WANAPINGA UFISADI...SASA HAMUONI HATARI INAYOKUJA MAFISADI NAO WANAAZA KUMILIKI MEDIA TENA KWA NGUVU....WAKIKAMATA SOKO TUTAKUWA NA TAIFA LA AINA GANI?..LAZIMA TUWEKE UTARATIBU....SAY MTU MMOJA ASIRUHUSIWE KUMILIKI ZAIDI YA REDIO 2,TV STATION 2,MAGAZETI 2...ETS .....SASA UNAPOKUTA ASILIMIA 60 YA MAGAZETI YANAMILIKIWA NA MTU MMOJA KUNA TATIZO....BIASHARA ZIPO NYINGI!!![/B]

Binafsi sina tatizo la mtu kumiliki anachomiliki kwa kadiri ya kuwa ni cha kwake cha halali. Kama kuna suala la maadili na mambo ya regulatiion hayo yanawezekana lakini itakuwa ni jambo baya kusema fulani huwezi kumiliki kitu fulani kwa sababu tayari unacho kimoja! Sidhani kama kuangalia umiliki ndiyo suluhisho zuri, kwangu zaidi ni kuangalia utendaji kazi wa vitu hivyo.

hata hivyo nakubaliana na kitu kimoja ambacho ni muhimu kuangalia sana na kinatokana na suala lake na Malima. Ipo haja ya kuwa na sera inayoeleweka au kulazimisha chombo cha habari kufanya full disclosure inapomnukuu au kuandika habari za mmiliki wake kusema wake kuwa huyo ni mmiliki wake.
 
Mkulu Kikwete, haya kazi kwako, sijui hiyo tume ya kuchunguza utaipa adidu rejea zipi? Kazi kweli kweli! Make IGP hawezi kuchunguza kitu inayomgusa bosi wake ( mambo ya impartiality kwenye utawala bora).

Wadanganyika wanalegitimate expectation kwamba serikali hipo kulinda usalama na mali za raia. Au inachukulia mzaa kauli hizi na kusubiri mpaka maji yamwagike?

Shadow.
 
Sijui umejuaje kuwa "mengi ndiyo ameripoti mara nyingi zaidi". Umemlinganisha na nani?

Hii itakuwa ni kumpa upendeleo wa aina fulani; kuna watu wengi tu wanaolalamika Polisi kuhusu mambo mengi, kwanini IGP ayatolee maelezo hayo ya Mengi tu? Hatujasikia kuhusu ya Spika yalikofikia au ya Kubenea, au ya hao wengine niliowataja hapo nyuma.

Kauli yako ya awali ulisema hivi:

Sasa kauli yako hiyo ya pili hapa inaonekana kama unahoji utaalamu na uwezo wa Polisi kufanya kazi zao kwa mujibu wa taratibu zilizokubaliwa.

Umejuaje kama ni mara ya kwanza ameripoti kutishiwa kuuawa? Unless you have access to all statements that he has submitted to the Police since 1994. Which is possible so I'll take ur word for it.

Itajenga imani kwa nani hasa? Waandishi, wananchi wa kawaida, wanasiasa, wafanyabiashara wengine n.k?

...I SUPPORT YOU ..TATIZO KUBWA LIPO HAPO..MARA ZOTE POLISI WAMEKUWA KIMYA....LABDA POLISI IPEWE MUDA KUTOLEA MAELEZO MALALAMIKO YOTE YA MENGI KWA UJUMLA WAKE NA HATUA ZILIZOFIKIA ...WAKISHINDWA TUTASEMA POLISI WANAJUWA....

labda polisi hawana uwezo wa kufanyia uchunguzi mambo haya kwani hadi hivi sasa hakuna hata moja linalohusu vitisho vya simu ambapo kuna mtu amekamatwa au kufikishwa mahakamani. At least kwa kadiri ninavyojua. So, kabla hatujaenda kwa Mengi, tuulize vipi kuhusu wale waliomteka mtoto na kudai milioni 10 kule Mbagala au waliomtishia yule Albino Kilimanjaro?

Hizo ni sheria zao na taratibu zao, sisi za kwetu sijui zikoje na kwanini?

Binafsi sina tatizo la mtu kumiliki anachomiliki kwa kadiri ya kuwa ni cha kwake cha halali. Kama kuna suala la maadili na mambo ya regulatiion hayo yanawezekana lakini itakuwa ni jambo baya kusema fulani huwezi kumiliki kitu fulani kwa sababu tayari unacho kimoja! Sidhani kama kuangalia umiliki ndiyo suluhisho zuri, kwangu zaidi ni kuangalia utendaji kazi wa vitu hivyo.

hata hivyo nakubaliana na kitu kimoja ambacho ni muhimu kuangalia sana na kinatokana na suala lake na Malima. Ipo haja ya kuwa na sera inayoeleweka au kulazimisha chombo cha habari kufanya full disclosure inapomnukuu au kuandika habari za mmiliki wake kusema wake kuwa huyo ni mmiliki wake.

Huyu Mengi unamchukulia kama raia wa kawaida yani kama Mtanzania mwenye haki ya kikatiba kuzungumza kitu chochote bila kuvunja sheria au kama Tajiri na mwekezaji? Je tunawanyanyapaa watu kulingana na walichonacho au wasichokuwa nacho? au suala lake tulichukulie kama positive discrimination?

Kama jibu la kwanza ni Hapana, Basi Mengi anahaki ya kusema chochote bila ya kuvunja sheria.

Hapa kuna Waziri(serikali) na Tajiri (Mengi). Suala hili linaweka doa kwenye Upande wa serikali make Huyo waziri anayetuhumiwa ni agent wa Serikali (Kanuni za mahusiano ya Agent -Principal zinaingia hapa). Na tunajua kwamba suala la cabinet's collective responsibility.

Swali la kujiuliza hapa ni je huyu waziri alitoa hivyo vitisho on his personal capacity? au alivitoa kama waziri au agent wa baraza la mawaziri au Serikali?

kuthibitisha suala la utawala bora ,Serikali inabidi ichunguze kauli ya Mengi na kama ikijulikana ni false basi itoe tamko manake kukaa kimya si jawabu. Na ikijulikana ni kweli basi mlengwa inabidi awajibishwe kwa mujibu wa sheria ya nchi.

Ukiangalia kwa umakini utaona kwamba ni serikali ndo inayotuumiwa kutoa vitisho ( unless you can prove otherwise kwamba huyo waziri mdogo alitoa hiyo kauli on his personal capacity au kama waziri fulani).

I hope serikali mtafanya tafakuri ya kina.

Shadow.
 
Tuamke tupigane na nani?
Adui yetu Watanzania ni nani?

Ni mpaka pale tutapo muweka wazi adui yetu ndipo mapambano ya kweli yatawezekana.

Mara nyingi mtu mwenye uwezo wa kusema na kusikika huonekana ni mtu aongeaye ukweli.
Kipimo cha ukweli siyo kuongea bila woga, ni kuongea ukweli.

Kuna usiri mwingi katika kila jambo Tanzania, tu kwa sababu watu wanataka kula nchi katika kila jambo.

Wengine wameingizana mikenge kwenye shughulizao za mafichoni sasa wanataka kulalamika hadharani.

Hapa Tanzania uhusiano kati ya Maharamia Wauji wakubwa wafanya biashara na Wanasiasa ni mkubwa kuliko uhusiano kati ya viongozi wa serikali na wananchi.

Utawala wa shatani siku zote haudumu, husambaratika na kuleta machungu yenye majonzi.
 
Nimesikia TBC leo asubuhi kwamba Mh. Masha kama Waziri wa Mambo ya Ndani amempa siku saba Mr Mengi athibitishe kauli alizo toa . Kazi imeanza.
 
Last edited by a moderator:
Nimesikia TBC leo asubuhi kwamba Mh. Masha kama Waziri wa Mambo ya Ndani amempa siku saba Mr Mengi athibitishe kauli alizo toa . Kazi imeanza.

Vipi Mheshimiwa Masha amejihisi? Nilivyosma taarifa ya Mengi ilisema waziri kijana na msomi, lakini hakusema kuwa ni Masha. Serikali ya Kikwete ina mawaziri wengi vijana na wasomi, iweje yeye ndiye akurupuke kutoa siku saba? Naona hapa sasa kazi imeaanza; lazima hapa kuna mmoja wao atakuwa anakabwa koo sasa.
 
Nimesikia TBC leo asubuhi kwamba Mh. Masha kama Waziri wa Mambo ya Ndani amempa siku saba Mr Mengi athibitishe kauli alizo toa . Kazi imeanza.

Kwani Masha yeye ni polisi. Hiyo ni kazi ya polisi awaachize wafanye kazi!
 
Channel Ten inaripoti habari kwa uwazi zaidi kuliko hata ITV. Mmiliki wake sijamsikia popote akilalamika kama alivyo Mzee wetu huyu MZAWA. Mengi na vyombo vyake hivi ana agenda nyingine iliyojificha?
 
kama ndio hivyo basi masha alituma hiyo msg kwa mengi na kamA HAKUTUMA KWA NINI ATOE SIKU SABA? KWA HIYO MENGI ANA HAKI YA KUMSHITAKI MASHA KWA KUMSINGIZIA KUWA YEYE MENGI KATUMIWA MSG NA MASHA ==================HAPA KAZI IPO
 
Mengi you have our support in as far as we know you never mentioned anyone by name. Let Masha blow his head off.
 
Nimefuatilia kwa makini jinsi Mh Masha alivyojibu hilo swali. Kwanza hakufafanua kama siyo yeye. Hata hivyo jambo la kusikitisha ambalo kuna mtazamaji ameliongelea ni jaziba aliyokuwa nayo wakati wa kujibu hilo swali. Kwa ufupi anatoa picha ambayo inabidi kuifuatilia kwa makini kadri sakata hili linavyosonga mbele. Nadhani mchezo wa kuigiza umeanza na inabidi tukae mkao wa kula. Mengi yatajitokeza.

Hata hivyo polisi wamekaririwa na gazeti la Uhuru kuwa Mengi hakutoa taarifa ya suala hilo katika kituo chochote cha polisi. Hapo sasa. Nani anasema ukweli??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom