Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

Status
Not open for further replies.
Huyu ni takataka ndio maana anaishia kukimbizana na mahawara
wasio na akili baadala ya kukaa na mkewe !!!!!
Mb******************* zake
 
...mara nyingine mengi huwa anakurupuka kutaka sympath....

1.alipokgombana na karim ,mmiliki wa kwanza wa tv nchini[ctn]...alikimbilia kusema anatishiwa kuuwawa...kitendo kilichofanya naibu waziri mkuu na waziri wa mambo ya ndani...[wakati huo]augustne mrema kuagiza mrema apewe ulinzi wahsusi wa polisi na TISS[VIP Protection unit]......akawa na mpambe wa kumfungulia gari na kumlinda anayelipwa na state[nadhani alikuwa mfanyabiashara wa kwanza kupewwa hadhi hiyo]..na gari la surveillance ..etc.

MATOKEO HAKUULIWA WAALA KURUSHIWA JIWE...NA BAADAYE IKAGUNDULIKA KUWA ..UGOMVI ULIKUWA WA KUSHINDANIA KUONESHA AFCON....LIVE...CTN WALIPEWA RITES NA CAF..MENGI KWA KUWAKOMOA AKAWEKA TV KUBWA MNAZI MMOJA ..WATU WAANGALIE...NA AKAONESHA LIVE BILA KIBALI....CHA CAF.

yule mmiliki wa CTN alikuwa so frustrated akauza kile kituo ...akaondoka kwenda nje kupumzika...labda alisharusi....

2.scenerio ingine ya mengi ni pale alipokuwa anashindania tenda ya kununua KILIMANJARO hotel...Akashindwa kwenye taratibu za tenda,...akaaamua kwenda hewani akidai kaonewa na akataka sympathy yetu kuwa mzawa amenyimwa tenda.....akagomnbana sana na huyu waziri wa usalama wakati huo......wilson masilingi...akamuweekea masilingi curf kwenye vyombo vya habari hadi akaporomoka kisiasa......[huyu mzee lazima mjuwe kuwa ana netwok ya ajabu na anajuwa propaganda hasa]

well KILIMANJARO HOTEL IMEJENGWA NA MUWEKEZAJI MPYA ...NA SASA NI MOJA YA HOTELI ZA FAHARI KAMA ILIVYOKUWA......sana tu tungeomba serikali iwe inalazimisha kampuni kama hizi zitenge share kwa ajili ya ushirikishwaji wa wazawa kwenye stock market.

3.ugomvi wa mengi na manji pia ni wa kibiashara ...manji alimzidi mengi kwa ujanja ..kama kawaida yake mengi akaenda public...nadhani walikuwa wanagombea haki za kuendesha mchezo wa kamari kwenye tv...remember jackpot bingo[ilimtoa sana mengi hii].....

4.ugomvi wa mengi na tido [tvt]...kuonesha live kombe la ligi uingereza..[everbody here knows how mengi behaved in seeking public support....

5.ugomvi wa mengi /..tvt/ze comedy .....its not a new story..you know....

so in conclussion ..i suggest that we must be very careful ..when tackling mengi..griviances ...,history has shown that he is very smart in rallying mass sympathy against his haters....though sometimes its true me its true that he is being a target ....the starategy that he normally uses nullfy all his rightful complain as it becomes too monotonous...wanasema aah huyu analalamikaga ...hata malalamiko ya kweli ..watasema aah ni kawaida yake!..you see.....

......nadhani mengi anatakiwa kufuata mfano wa marehemu nyaulawa ..huyu pamoja na kumiliki media ..huwa habari zake zilikuwa haziwekwi ....kwenye lead page....sidhani kama waandishi wa IPP media wana uhuru wa kutosha .....kuna kila dalili kuwa ..wanaandika kwa malengo fulani....

hii inadhibitika na ukweli kuwa kila mara mtu anayegombana na bosi wao..ndio mara zote anakuwa targeted kushambuliwa...,,,pamoja na kudhamini mchango wake ..nafikiri kwa nia njema inabidi kama nchi tuangalie idadi ya media tunazoweza kuwacha kumilikiwa na mtu mmoja...especially kama atakuwa anazitumia kwa ugomvi dhidi ya wagomvi wake.....

...pamoja na hayo naunga mkono kwa moyo moja na kuunga mkono juhudi za serikali dhidi ya ufisadi.....namuunga mkono yeyote anayeupinga....najuwa kuwa kama taifa itabidi tuwe na starting point ...katika kupigana na ufisadi...na mwanzo ndio huu........

lakini tusibadili vita ya ufisadi kuwa visasi au ugomvi binafsi...lazima tujenge vita endelevu!!!

You fool! Sasa ulitaka auawe au apigwe jiwe ndio uamini????
 
You fool! Sasa ulitaka auawe au apigwe jiwe ndio uamini????

..kaka ungeweza kunipinga kwa hoja bila kuniita mpumbavu...!...that is below the belt jeb....if you are wise enough you can apologize...unless otherwise!

.......ujumbe niliotaka kuubeba kwa kusema "hakuuwawa wala kutupiwa jiwe..."..ni simply hapakuwa na tishio la kufikia kuuwa ...zaidi ya hekaya za kufikirika....

.....kama tukichukulia tishio la sms...na kulipa uzito wa aina hii...basi mjuwe hata rais watu wana namba yake na anapokea msg za matusi..kama watu wengine.....UKWELI JUU YA TISHIO LOLOTE UNARIPOTIWA POLISI....WAO NDIO WANA NAMNA BORA YA KUCHUNGUZA .....NI BORA KUFANYA HIVI KABLA YA KWENDA PUBLIC....MARA NYINGINE JAMBO AMBALO HALIJAWA PROVEN KAMA ALLEGATION ANAZOTOAGA MENGI ....ZINAWEZA KU INCITE HASIRA ZA WANANCHI......WE HAVE TO BE CAREFUL....

STYLE ZA MENGI HAZITATUSAIDIA KAMA TAIFA ...LAZIMA TARATIBU ZA KIUSALAMA ZIFUATWE,,..!..MNAKUUMBUKA JUZI TU HAAPA KATOA FOOTAGE ...YA WATU WALIOKUWA WAKIPANGA KUMDHURU YEYE NA MBOWE......SASA HATUJAJUWA ILE IMEFIKA WAPI ..TAYARI INAKUJA HII....SASA ITAKUWA INACHANGANYA WANANCHI....NAMSHAURI MENGI AFANYE KAZI KWA KARIBU NA IDARA ZA USALAMA KUFIKISHA KILA AINA YA TISHIO ...KABLA YA KWENDA PUBLIC...PENGINE WATAALAMU WA USALAMA WANAWEZA KUMSHAURI PALE AMBAPO INABIDI APIGE MAKELELE ...NA PALE AMBAPO INABIDI AKAE KIMYA ...KUZUIA KUHARIBU UPELELEZI.....!

swala la kudhibirti mtu mmmoja kuwa na vyombo vya habari vingi ni muhimu.....kumbukeni ...haya italy wamepata kupata taanu na SILVIO BERLUSCONI....wakitaka monopoly yake kwenye media ipunguzwe.....mengi ndio silvio berlusconi wetu...kasoro hamiliki timu.....ya mpira..

....otherwise heshima ya watanzania kwa mengi ipo juu...na tungependa tuwe na mengi angalau 100...kwa kuanzia ..uchumi ungekuwa!!!
 
Yaani bosi hapo juu unazidi kunikosha

mimi naona huu mpira bora tukuachie kwa sababu naona unau handle vilivyo

hehehehheeeee

hoiiiiiiiiiiiii

wee acha tuuu!
 
Hivi kweli kuna mtu anaweza kukurupuka na kukuongezea kodi bila mpango. Mimi nilifikiri wakaguzi wa fedha na wahasibu kazi yao ni kuhakikisha kuwa receiver anapata kinachostahili. Sasa leo Mh. Mengi ambaye ni muhasibu by profession anatumbia mtu anaweza kubambikiziwa kodi. Labda ni biashara ya uchochoroni. Unless hakuna rule of law TZ. Otherise ana lake jambo!!!!!!!!!!!!!!!

Ndio maana ukatolewa mfano wa Urusi sasa unauliza inawezekana vp,kwani mangapi kinyume na sheria yanafanyika.Na ndio maana akasema tufanye hivi kama alivyofanyiwa fulani kasikazini ya mbali,kama mtu anayesema hivyo ni wa serikali na anashawishi ushirikianao idara zingine kipi kitashindikana.Kama unashindwa kuliona hili basi.
 
Hivi kweli kuna mtu anaweza kukurupuka na kukuongezea kodi bila mpango. Mimi nilifikiri wakaguzi wa fedha na wahasibu kazi yao ni kuhakikisha kuwa receiver anapata kinachostahili. Sasa leo Mh. Mengi ambaye ni muhasibu by profession anatumbia mtu anaweza kubambikiziwa kodi. Labda ni biashara ya uchochoroni. Unless hakuna rule of law TZ. Otherise ana lake jambo!!!!!!!!!!!!!!!

...wewe zero ni zero kweli kweli,tax dunia nzima zina code 1000 kidogo na mamlaka zinaweza spin hizo code against anybody...ndio maana serikali nyingi hazitaki flat rate kwa sababu wanajua is not for their advantage,usicheze na bwana kodi anaweza kukufilisi na kukuweka jela hata kama unalipa....kodi ni dangerous weapon ya serikali yeyote na wanajua hilo na wanaweza kuitumia anytime kukumaliza.
 
..kaka ungeweza kunipinga kwa hoja bila kuniita mpumbavu...!...that is below the belt jeb....if you are wise enough you can apologize...unless otherwise!

.......ujumbe niliotaka kuubeba kwa kusema "hakuuwawa wala kutupiwa jiwe..."..ni simply hapakuwa na tishio la kufikia kuuwa ...zaidi ya hekaya za kufikirika....

.....kama tukichukulia tishio la sms...na kulipa uzito wa aina hii...basi mjuwe hata rais watu wana namba yake na anapokea msg za matusi..kama watu wengine.....UKWELI JUU YA TISHIO LOLOTE UNARIPOTIWA POLISI..

Majira wameandika hivi:
Bw. Mengi alithibitisha kuripoti vitisho hivyo kwenye Kituo cha Polisi cha Oysterbay na tayari uchunguzi umeanza kufanyika.

WAO NDIO WANA NAMNA BORA YA KUCHUNGUZA .....NI BORA KUFANYA HIVI KABLA YA KWENDA PUBLIC....

Sijui unaposema wana "namna bora" una maana gani?

MARA NYINGINE JAMBO AMBALO HALIJAWA PROVEN KAMA ALLEGATION ANAZOTOAGA MENGI ....ZINAWEZA KU INCITE HASIRA ZA WANANCHI......WE HAVE TO BE CAREFUL....

Wakati mwingine mtu unasema kitu public licha ya kuripoti ili kujilinda. Pia tukumbuke Mengi siyo mtu wa kwanza kulalamikia messages za vitisho; tumeyasikia ya kina Sitta, Kubenea, Mwandishi wa This Day, n.k Kuna ya mchungaji Albino kule Kilimanjaro, kuna yule mtoto aliyetekwa Mbagala, kuna mengine mengi tu! Hadi hivi sasa Polisi wameweza kumkamata nani kutokana na vitisho vya simu?
STYLE ZA MENGI HAZITATUSAIDIA KAMA TAIFA ...LAZIMA TARATIBU ZA KIUSALAMA ZIFUATWE,,..!

Hapana zinatusaidia kwani staili ya ukimya ni staili ya kuwapa watu ubavu kuwa wanaweza kunyanyasa watu wengine. Bora lawama kuliko fedheha. Ndio maana yule jamaa wa Urusi alipojikuta anajihisi kuumwa tu wala hakuzunguruka alisema kabisa kuwa wahusika ni KGB. Angekaa kimya wabaya wasingetafutwa kirahisi.

..MNAKUUMBUKA JUZI TU HAAPA KATOA FOOTAGE ...YA WATU WALIOKUWA WAKIPANGA KUMDHURU YEYE NA MBOWE......SASA HATUJAJUWA ILE IMEFIKA WAPI ..TAYARI INAKUJA HII...

Good observation which in fact inampa sababu ya kuzungumza haya mengine. Au unataka kushauri kwamba asingesema lolote kuhusu vitisho vya sasa kwa sababu vitisho vya zamani au masuala mengine hayajatatuliwa. Kwamba ashughulikie jambo moja moja kwa wakati mmoja?

SASA ITAKUWA INACHANGANYA WANANCHI....NAMSHAURI MENGI AFANYE KAZI KWA KARIBU NA IDARA ZA USALAMA KUFIKISHA KILA AINA YA TISHIO ...KABLA YA KWENDA PUBLIC...

Imesemwa kafanya hivyo tayari, na strategically kuzungumza na waandishi ni njia ya kuweka rekodi straight ili Polisi wanaweza kusema "hapana hajazungumza nasi" au vyombo vya usalama vinaweza kumkana. Hadi hiivi sasa sijasikia chombo kilichokana taarifa za Mengi kuwa amesharipoti. Unless una ufahamu tofautii kuhusu hilo. I'll be ready to be corrected.

PENGINE WATAALAMU WA USALAMA WANAWEZA KUMSHAURI PALE AMBAPO INABIDI APIGE MAKELELE ...NA PALE AMBAPO INABIDI AKAE KIMYA ...KUZUIA KUHARIBU UPELELEZI.....!

I don't know about that part! Yaani mtu uvamiwe halafu umuulize polisi kama upige kelele au ugunie?Well, I like the former!

swala la kudhibirti mtu mmmoja kuwa na vyombo vya habari vingi ni muhimu.....kumbukeni ...haya italy wamepata kupata taanu na SILVIO BERLUSCONI....wakitaka monopoly yake kwenye media ipunguzwe.....mengi ndio silvio berlusconi wetu...kasoro hamiliki timu.....ya mpira..

Unashauri kuwa mtu aliyefanikiwa apunguziwe mafanikio yake? Mengi hana Monopoly ya media in Tanzania not even close! Tanzania hakuna media monopoly. Ila kama za kwake zina nguvu zaidi au zina exposure zaidi well, kwanini tujaribu kuzizuia.

hata hivyo nakubaliana na kitu kimoja ambacho ni muhimu kuangalia sana na kinatokana na suala lake na Malima. Ipo haja ya kuwa na sera inayoeleweka au kulazimisha chombo cha habari kufanya full disclosure inapomnukuu au kuandika habari za mmiliki wake kusema wake kuwa huyo ni mmiliki wake.

Kwa mfano, Nipashe ikiandika habari za IPP na Mengi ilazimike kusema "Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP (wamiliiki wa Nipashe/gazeti hili) Bw. Reginald Mengi" n.k Hii itakuwa fair kwa mtu ambaye anasoma habari za Mengi au mmiliki mwingine kwenye gazeti lake au chombo chake cha habari.

....otherwise heshima ya watanzania kwa mengi ipo juu...na tungependa tuwe na mengi angalau 100...kwa kuanzia ..uchumi ungekuwa!!!

Sijui kama hilo ni kweli, lakini wapo kina Daniel Yona, Andrew Chenge, Manji, Rostam, na wengine wenye uwezo mkubwa tu. Manji juzi juzi hapa naamini kapewa leseni ya kuanzisha chombo cha habari or something na hivyo na yeye ataingia kwenye field hiyo na ushindani ndio utazidi. Sijui kama tunahitaji wengi zaidi au waliobora zaidi? au vyote viwili?
 
...mwanakijiji una muda na speed kali sana ya kufikiria na kuandika,mimi naona ningetumia siku nzima hayo uliyoandika hapo juu,na pls umshauri ngabu arudi shule!
 
...mwanakijiji una muda na speed kali sana ya kufikiria na kuandika,mimi naona ningetumia siku nzima hayo uliyoandika hapo juu,na pls umshauri ngabu arudi shule!

watu wenye limited access ya internet utawajua tu. siku nzima hukuwepo hapa halafu sasa hivi umeibuka na muda si mrefu utaondoka tena. wabeba maboksi utawajua tu...heheheheheeee
 
Malima is a Deputy Minister... and wizara yake sio nyeti. its Masha...

Wizara Nyeti

Defence
Foreign
Internal Affairs
Tresury
Education
that is tha convention i belive.. JF inachoshaga watu wakianza kujandiliana vitu ambavyo havipo...
 
nimepokea kwa masikiktiko taarifa ya mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya IPP bw. R. Mengi. ni jambo la kushangaza na kusikitisha kwamba kumbe kuna watanzania hasa viongozi wetu ambao hawako tayari kuona juhudi zozote za kuondoa uhalifu katika nchi hii. hii inanifanya nikumbuke zile siku za ujambazi wa kutisha ambao ulilalamikiwa na watanzania kuwa kulikuwa na mkono wa wakubwa wakishirikiana na majambazi kwani kila siku mambo yalikuwa ni hovyo mpaka ikawa inakaribia kufikia tanzania si mahali salama kuishi. lakini mitandao ya ujambazi ilinyamazishwa huku makelele yakiwa mengi na wapo baadhi walikamatwa kwa mbwembwe "kama mramba na yona" wakafikishwa mahakamani lakini kwa siku chache kesi zilivyoisha sielewi, labda wenzangu mnaelewa? hivi nani anajua kesi ya alex massawe iliishaje? nani anajua rufaa ya justine nyari? JJ je kesi yake vip? isije ikawa kwa staili hizo hata hawa dhulumati wakubwa wakaishia kufikishwa mahakamani na kisha tuli wa kutulia. na nyie wa magazeti fufueni hata kesi mizoga msipende tu "maiti mpya" mnatuchanganya.

haya leo mengi atakiwa auawe eti kisa habari za magazeti anayomiliki "si anayohariri" hivi sasa afanye nini? aandike mazuri na kumbe yapo lakini yanazidiwa na mabaya? ni wakati wa watanzania kuamka kwa nguvu. tuongeze nguvu nchi ishauzwa hii kilichopo ni kuikomboa.

kolombia ya zamani si hii unayoiona. ni sacrifice ya watu ndo ikatokea hivi kolombia ilivyo. hivi ni mpenda soka yupi asiyemkumbuka andre eskba aliyetwangwa risasi kwa kosa la kujifunga kombe la dunia 1994? hakuna hatua za kisheria zilichukuliwa. huyo ni mmoja ambaye alijulikana dunia nzima je ni wangapi wameuawa kwa staili hizo na hakuna aliyekamatwa? je tunataka tuipeleke tanzania hapo? au tushafika hapo ila tu hatujang'amua kama tayari tupo huko tunahitaji tu king'amuzi? kama Mengi aweza kufanyiwa mpango mbaya wa kumfilisi na kumwua je itakuwa kwa wana jamii forum ambao tunajadiliana kwa mazingira kwamba tupashane nchi yakwenda vip na nani ni nani na anfanya nini katika nchi hii?

naomba watanzania tuamke tupige vita uhalifu wa aina zote tusing'ang'anie na uhalifu wa kupinga albino kuuawa na kumbe uhalifu wa kuua watanzania kwa pamoja hakuna anayeujua wala kujaribu kuuliza kwamba ni nini kinaendelea wapi? hivi kama watu wankosa madawa na asprini za shillingi millioni 400 vijiji 350 kwa mwaka na kuna mtu mmja tu anamiliki kiwanja cha shillingi billioni moja si ni kushabikia watanzania wengi wafe kwa pamoja huku ukigomabania mmoja kwa kigezo cha umaarufu. tuache unafiki mashirika ya hiari fumbueni macho tazameni nchi nzima kote kote kila sekta na watu wote si wale tu mnaowakusanya.

MENGI NI MTU MUHIMU KWA UCHUMI WA TANZANIA HATA IKIWEZEKANA WATANZANIA TUFANYE DUA YA PAMOJA KUMWOMBEA PAMOJA NA WATU WENGINE WAADILIFU KATIKA NCHI HII KAMA mimi.
 
..kaka ungeweza kunipinga kwa hoja bila kuniita mpumbavu...!...that is below the belt jeb....if you are wise enough you can apologize...unless otherwise!

.......ujumbe niliotaka kuubeba kwa kusema "hakuuwawa wala kutupiwa jiwe..."..ni simply hapakuwa na tishio la kufikia kuuwa ...zaidi ya hekaya za kufikirika....

.....kama tukichukulia tishio la sms...na kulipa uzito wa aina hii...basi mjuwe hata rais watu wana namba yake na anapokea msg za matusi..kama watu wengine.....UKWELI JUU YA TISHIO LOLOTE UNARIPOTIWA POLISI....WAO NDIO WANA NAMNA BORA YA KUCHUNGUZA .....NI BORA KUFANYA HIVI KABLA YA KWENDA PUBLIC....MARA NYINGINE JAMBO AMBALO HALIJAWA PROVEN KAMA ALLEGATION ANAZOTOAGA MENGI ....ZINAWEZA KU INCITE HASIRA ZA WANANCHI......WE HAVE TO BE CAREFUL....

STYLE ZA MENGI HAZITATUSAIDIA KAMA TAIFA ...LAZIMA TARATIBU ZA KIUSALAMA ZIFUATWE,,..!..MNAKUUMBUKA JUZI TU HAAPA KATOA FOOTAGE ...YA WATU WALIOKUWA WAKIPANGA KUMDHURU YEYE NA MBOWE......SASA HATUJAJUWA ILE IMEFIKA WAPI ..TAYARI INAKUJA HII....SASA ITAKUWA INACHANGANYA WANANCHI....NAMSHAURI MENGI AFANYE KAZI KWA KARIBU NA IDARA ZA USALAMA KUFIKISHA KILA AINA YA TISHIO ...KABLA YA KWENDA PUBLIC...PENGINE WATAALAMU WA USALAMA WANAWEZA KUMSHAURI PALE AMBAPO INABIDI APIGE MAKELELE ...NA PALE AMBAPO INABIDI AKAE KIMYA ...KUZUIA KUHARIBU UPELELEZI.....!

swala la kudhibirti mtu mmmoja kuwa na vyombo vya habari vingi ni muhimu.....kumbukeni ...haya italy wamepata kupata taanu na SILVIO BERLUSCONI....wakitaka monopoly yake kwenye media ipunguzwe.....mengi ndio silvio berlusconi wetu...kasoro hamiliki timu.....ya mpira..

....otherwise heshima ya watanzania kwa mengi ipo juu...na tungependa tuwe na mengi angalau 100...kwa kuanzia ..uchumi ungekuwa!!!

Hishma mbele mkuu filemon....Hata hivyo kama ni kung'ata na kupuliza basi wewe ni bingwa mkuu wangu.
Yani una imani sana na vyombo vya usalama kwenye issue hii ya ufisadi simply because ni Mengi mwenye matatizo?
OK...Kuna wale ambao wanasema hakutaja jina...Thats a different case...Lakini si wewe uliwasapoti wale wote wanaosema hatuna imani na vyombo vya usalama kwasababu vinalinda usalama wa mafisadi tu?
Je si wewe ulifurahia pia hotuba a JK ELEVEN pale MWEMBEYANGA?
Kwenye issue kama hizi mara nyingi inahitajika uchukue side halafu if you are wrong then you are and you correct yourself ama you just forget and say..."Well the true story of a champion is that you win some and you loose some."
 
watu wenye limited access ya internet utawajua tu. siku nzima hukuwepo hapa halafu sasa hivi umeibuka na muda si mrefu utaondoka tena. wabeba maboksi utawajua tu...heheheheheeee

......naheshimu sana wabeba box na hata kama siko huko lakini sioni tabu kulibeba box ikibidi,kazi zote mpaka kupiga mamba miswaki tumefanya,internet ninayo 24/7 usiwe na wasiwasi maana kazi zangu nyingi zinategemea net!
 
nadhani inawezekana MENGI kweli akawa anaidaiwa kodi kubwa tu lakini ana pre-empt TRA wasimzukie

Mbona hatusikii BAKHRESSA akipiga makelele kama huyu Mengi?
 
Hivi mzee mzima kama kweli ana mideni ya TRA. Na iwapo TRA wakamshugulikia; Tutamtetea?????

Isije ikawa janja ya jusii!?!?!?!?!?!?!?!?!?!?!
 
Kama zuga!?!?!?!?!?

Mi nafikiri serikali ichukulie issue ya mengi kwa umakini mkubwa! Uchunguzi ufanywe na watu/taasis makini zenye intergrity ya kutosha, kama kweli katishiwa basi huyo waziri kijana kama alivyomtaja mwenyewe ACHUKULIWE HATUA ZA KINIDHAMU NA KISHERIA. Iwapo mzee Mengi itaonekana amesema kitu ambacho hakina ukweli, Basi nae achukuliwe hatua kwa UCHOCHEZI!!!!!

Kauli ya Mengi si nyepesi, ni nzito kuliko watu wanavyofikia!!!!

Dua tushaomba sanaaa, na haijasaidia. Hapa sasa ni sheria tu!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom