Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

This Day is not owned by Mengi . Wenye gazeti walianzisha ili kupingana na mafisadi wenzao kuendeleza mtandao wao . Mengi ni carrier kama huamini ngoja usikilize kesi ya madai ya Warioba kama ataona ndani .
Awe carrier au nani lakini ana uhusiano na hilo gazeti!
 

This is a smear piece by Manji's enemies. Nothing wrong with importing experts from India and Pakistan. Even America imports them to work at Silicon Valley. I see no evidence of foul play as of yet. We need more evidence not unfounded rumours made up to smear Mr. Manji.
 
Acha kusingizia watu, tuhuma kama hizi bila kichwa wala mguu kwenye public platform kama hii utaonekana mzushi wa mambo..

Aliyesingizia nani ?? Kipi nilichosingizia ? Ok, mie nimeshasema ninachokijua then wewe sema basi unayoyajua mpaka useme kwamba nasingizia. Inaelekea una info zooote na unajuana nao, right ? ok, tumwagie mtama hapa !!
 



Unamjua Mengi wewe au unasema tu kama shabiki wa Mengi ?? Again, elewa Nimesema ninachokijua na simsingizii mtu yeyote, i dont have time kumsingizia mtu yeyote after all i dont benefit from it, why kumsingizia mtu na kuwapaka matope ??

Kama mnaona vp, hii iishie hapa hapa maana naona sasa watoto wa JF tusije tukajengeana chuki humu wenyewe kwa wenyewe ukizingatia woote tupo hapa kujadili masuala kemkem !!

Na sidhani kama maneno yangu yatanisaliti katika hili !!
 


Kwenye manoeuvre ya Quality Group kuiba pesa zetu hili ni moja wapo! NAKUBALIAN MOJA KWA MOJA NA THIS DAY....

Kwanza Quality Plaza si mali yao na wala hawapangi pale kwa nini wasivukle n'gambo wakapange kwenye lile jengo lao jingine na Supreme Furnishers?

Wewe Mani Supporter ebu sema babake Yusufu yuko wapi?
 
Ndiyo Ninamjua na si shabiki wake bali kumjua kwangu hakufanyi kupotosha ukweli kama upo na Kama hakuna ukweli vile vile nitasema .Ndiyo Maana ktk La Udini pamoja na kusema ndiyo unavyojua hakuna ukweli.Amesaidia watu wa dini mbali mbali mfano wagonjwa anaowalipia kwenda India je amelipia wagonjwa wa dini yake tu au dini moja tu? Jibu HAPANA!Ameshiriki kwenye ujenzi wa nyumba za Ibada pamoja na yeye kuwa Mlutheran Lakini nina ushahidi kwamba amesaidia hata nyumba za ibada za wasiokuwa DINI YAKE au asichokiamini ikiwemo moja ya nyumba ya ibada ninamoabudia mimi.Kuhusu ya kuwa na Bifu na manji vile vile nimelikubali na karibu wote humu tunalielewa na hilo nalo nimelieleza pamoja na kuwa na bifu naye Lakini hakuwezi kumfanya vyombo vyake vya habari viaache kuandika yanayomuhusu manji kama ni ya kweli na wanaushahidi nayo ati kwa kuogopa kuonekana amefanya hivyo kwasababu ya kuwa na bifu na manji.Na nikatanabahisha kwamba kama Manji ataona yaliyoandikwa kwenye vyombo vya mengi hayana ukweli Anahaki ya kukanusha au kuvishitaki vyombo vya habari vya mengi kama alivyokwishawahi kusema kwamba angemshitaki au angevishitaki vyombo hivyo huko nyuma.
 
Hivi ni lini nchi hii wala rushwa watawekwa hadharani hata kama hatuna ushahidi. Kuwataja tu inatosha.

Kama kuwataja tu inatosha bila ushahidi basi mimi nakutaja wewe!!! Sema tukutaje wewe Jafar... Yeye kama wamehongwa alijuaje? au alifatwa yeye akakataa? yeye analazimisha hukumu iwe anavyotaka yeye...wen will we b on da rite side???
 
Kama mnaona vp, hii iishie hapa hapa maana naona sasa watoto wa JF tusije tukajengeana chuki humu wenyewe kwa wenyewe ukizingatia woote tupo hapa kujadili masuala kemkem !!

Na sidhani kama maneno yangu yatanisaliti katika hili !!

Hakuna mtu atakujengea chuki,Unachokijua wewe na ulichokiandika ni MDINI na Ninachokijua mimi na kukiandika si MDINI na nikaandika kwa hilo una mpaka matope,kwani hakuna ukweli na ndiyo maana hii ikaitwa Forum Tunajadiliana na si lazima mawazo yetu ya kawa sawa au vyanzo vya habari vikashahabiana.
 
Mengi anagomanisha waislam..............anawagombanisha akina Baswaleh mbona husemi??? Mengi ni manipulator ana ,media wat do u expect? he uses his media to be powerful and strong and gain supporters like who know about your damn country...wafikiria kusoma magezeti yake ndio kuijua hii nchiii????? jamaa anakesi hadi na Mh. Warioba.......hu is dis guy? mayne he thinks he owns this country???????????? well he is DAMN wrong ,,,, maybe he owns his VILLAGE not us mayne.......cummon guyz we r tanzanians we are two expensive to buy!!!sahani ya pilau isitununue.............

think carefull
 

waislamu gani hao aliwagonganisha mengi?Hivi mengi huyu huyu si ndiyo aliyetunikiwa tunzo na BAKWATA au mengi mwingine?Sasa hao BAKWATA walimtunikia Tunzo kwa minajili ya kuwagonganisha?
Nimesema huko nyuma anamapungufu yake Lakini hili la Udini si Moja kati ya hayo mapungufu. Tafuteni jingine!
 

wat is BAKWATA? yaani mukae mumpe mtu zawdi au tuzo, kwanza waislam hatuna kawaida ya kutoa tunzo coz mwenye kulipa ni mungu pekee!!!!!! halafu kama ni tunzo basi Mh. Mkapa deserved more he gave us University!!!!

Ukatae ukuabali mengi nagombanisha waislamu... unaniuliza waisslamu gani? nimukutajia akina Sh.Baswaleh na Khalifa.... Eti nae Khalifa anasimama kumtetea Naswara dhidi ya Muislam!!!!!! kama kweli anasaidia waislam basi angewapatanisha...................
 
Just kuweka records sawa, Gazeti la ThisDay ni sister newspaper la Kulikoni na YOTE yanamilikiwa na Reginald Mengi. Ndio maana Mahalu, Warioba na Manji walipodai kukashfiwa wameyashtaki magazeti na mmiliki wake ambae ni Bw. Mengi.

Kusema kuwa jina la Mengi limetumika tu wenyewe ni wana Mtandao ni mazingaombwe juzi tu Mengi amenukuliwa na magazeti akilalama kuwa kama atashindwa na Manji atafilisika kwani 200bn Tshs anazotakiwa kulipa kama fidia ni nyingi.

Sidhani kama Bw. atakubali kuubeba msalaba wa wana mtandao kiasi hichi cha kuhatarisha biashara zake.
 
No! No! Mzee unayemsakama Mengi, unakuwa unfair I know Mengi na ninawajua watu wengi wa karibu yake na marafiki wake wa kweli, the man is good hearted, na hana kinyongo na mtu, na mtu mwenye heshima sana, na nimemjua kwa ndani zaidi kwenye hiii kesi yake majuzi bungeni, ambapo mbunge Malima (CCM) alimtuhumu kuwa anajitangaza sana kuliko viongozi wakuu wa nchi, sasa you have to understand kuwa hiii ingeweza kuzaa kesi ya treason! against Mengi, lakini....

(1). Ushahidi ulipoletwa kwenye mahakama iliyokaa as kamati ya bunge, ukweli ulijionyesha wazi wazi kuwa Mb. Malima hakuwa na kesi kabisaa na hata kumfanya Mb. Sendeka (CCM), kuja juu kuwa ilikuwa ni waste of time and money hata kuisikiliza hiyo kesi, video za matangazo ya habari za tv za Mengi zilipoonyeshwa iligundulika kuwa Mengi hutangazwa dakika moja, na viongozi wakuu wa nchi ni dakika moja na nusu mpaka tatu,

-Now bado kuna suala la kutatanisha kuhusu baadhi ya wabunge wa CCM walioshiriki kwenye hiyo kamati ambao walikuwa wakililia kuwa Mengi ana makosa ingawa ukweli ulikuwa wazi kuwa Mengi hana makosa, hao ndio waliomfanya Spika aamue kuipeleka kesi hiyo kwa PCB, ambako ipo hadi sasa,

(2). Mengi na Manji, wote ni wachangiaji wakubwa wa CCM, lakini Manji ni mtu mwenye miguu yote miwili ndani ya CCM, na anajaribu kutumia kila njia kumuangamiza Mengi, lakini katika uchaguzi uliopita Mengi alitoa hela nyingi sana kwa CCM kuliko Manji, hiyo ni fact sio hadithi, lakini recently Manji amekuwa akitafuta kila njia kumuuumiza Mengi, kwa kuwatumia wabunge fulani anaosadikiwa kuwapa rushwa on wakati tofauti.

-Tatizo la Manji ni pamoja na kwamba sio wabunge wote wa CCM wanaomuuunga mkono na mambo yake yote, na ndio maana kesi yake ikapelekwa PCB, sasa ni wasi wasi alionao kuhusu matokeo ya PCB yanamfanya aahangaike na kujaribu kuendelea kumpaka Mengi,

Now with all that said, kwakweli I have a problem na accusations nyingi ambazo ninaziona zikitupiwa kwake Mengi, jamaa ni mfanya biashara na vitabu vyote vya Mungu duniani vinasema hakuna tajiri mwenye utajiri wa halali, na ninaamini kuwa Mengi sio malaika, lakini at the same time ni lazima ieleweke kuwa Mengi sio waziri au kiongozi wa siasa, sasa naona watu wengi wanajaribu kumu-hold Mengi kwenye same level za viongozi wa siasa, that is wrong, Mengi ana haki ya kuwapenda au kuwachukia waisilamu and it is no body's business ni yeye na Mungu wake!

Kwenye hii forum wakati umefika tuanze kuwa waangalifu na ishu za taifa na za binafsi, unless Mengi is involved na ishu za siasa au serikali, otherwise kuhusu ni dini anaipenda au haipendi, it is none of our business kwa maoni yangu. Kwa wale mnaomu-accuse Mengi so far hamna probable cause, ni hadithi tu za mtaani, kama kuna kesi za kweli zisemeni tuache majungu!
 
Jamani acheni ushabiki na muweke facts hapa !!!! ushabiki baadae jamani, mwambieni huyo Mengi wenu kwanza alipe madeni ( tax) anayodaiwa na serikali na madeni mengine na huyo manji pia kama anadaiwa alipe madeni yake haraka sana hatutaki ushabiki hapa!!!! tuondoleeni ushabiki humu.

Na kwa hao ":mamluki" wanaojidai kumjua mengi na marafiki zake wa karibu haya sasa tutajie marafiki zake wa karibu maana sasa naona mnaropoka tu ! usilete kipingamizi chochote nimesema wataje hao marafiki zake, nyie ndio mnaokaa kwenye vijiwe visivyokuwa na mbele wala nyuma mkitoka hapo mnakuja kuandika humu !!

Hapana, still nakataa humjui mengi wewe mzee es !! Yaani wewe kila mtu unamjua wewe, wengine tukisema tunamjua fulani oooh mara mnamu-accuse mara hivi mara vile, acha zako wewe ! namjua mengi "wako" !!!! and thats it !

kama watajwa wote wanadaiwa walipe madeni yao wasije wakaondoka hapa duniani na madeni maana sio vizuri wakati uwezo wa kulipa kidogo kidogo wanao !!

wewe es, fanya yako ili watu wakushabikie na usiendeleze ushabiki sana kwa wengine, huko ni kujipendekeza kusikokuwa na maana !! ( naona umekuwa cheap labor wa watu maarufu bongo )
 
Kama Mengi anadaiwa, basi ni tatizo la wanaomdai kusema, unless kama tunamdai kwenye hii forum?

Na hivi ni tajiri gani duniani ambaye hadaiwi? Mmoja wa marafiki wa karibu wa Mengi ni Mbunge. Ndesamburo na ndiye aliyemsaidia sana kwenye hii kesi, je inajibu swali lako mzee?
 
Nilikuwa Siifuatilii Hii Thread, Samahani Sana Naomba Tupunguze Jazba. Najaribu Kuipitia Kutoka Mwanzo ili Niweze Kuona Kwamba Members Mnaheshimiana. Please! Tuheshimiane
 
Asema hata yeye kachafuliwa jina


Kazi ipo hapo................................

http://www.uhuru.info/kitaifa.htm
 
Hawa mbona upuuzi wao wanataka kuuleta bungeni ? hawajui bungeni ni sehemu yenye heshima na hadhi yake ? ugomvi wao kuongelewa bungeni utasaidia vipi taifa na wadanganyika kwa ujumla ??

spika, alichemsha, akachemsha, amechemsha, na ataendelea kuchemsha tu ! uzee huo !!
 
That was very low of speaker, duh kweli mwenye nazo always atakumbatiwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…