Kenge (Eng)
JF-Expert Member
- Dec 7, 2006
- 543
- 163
Eric Ongara,kama ndio wewe na hao ndio mashahidi wako ungefanyaje?Mbunge Malima hao ndio mashahidi wake no matter wana ugomvi au kuto kuelewanan na magazeti ya This day na Kulikoni lakini yeye ndio mashahidi wake.
Eric: This is very serious! Warioba lazima amkasirikie sana Mengi kwa sababu yeye alijengea taswira kwamba ni mtu safi; magazeti ya Mengi yakamlipua kwamba ni walewale. Since then, huyu mzee heshima yake ipo chini sana.
Lakini kinachonisumbua kichwa katika hii kesi ni why all this heavy weight? Hivi ikitokea kamati ikaona kuwa kweli ITV ilitoa zaidi kwa Mengi vs Rais; what iare the legal consequences? Kuna kasheria kanakotaka Rais apewe muda fulani kwenye taarifa ya habari au vipi? Nisaidieni mwenzenu hapa. Maana hapa naweza nisimsikie Tony Blair kwenye taarifa za habari za BBC na TV zingine hata mwezi, lakini i don't think is a big deal.
Huyu Manji kweli firauni...yaani kawashika masikio serikali, bunge, NSSF...mpaka CCM yenyewe...sitashangaa nikisikia Ikulu inamilikiwa na Manji.
Hao mashahidi kwa tuhuma zilizopo mbele ya hiyo tume mbona sipati link kabisa. Kesi ya msingi hapa ni ipi "Malima kumtuhusu Mengi kuwa vyombo vya habari vinavyomilikiwa na yeye vinampendelea coverage". Sasa kwa hilo nilitemea mashahidi labda wawe wadau mbalimbali wa mambo ya habari na social groups. lakini hawa mbona sioni kama wanafiti hii picha au wametumwa na serikali..??
Huyu Manji kweli firauni...yaani kawashika masikio serikali, bunge, NSSF...mpaka CCM yenyewe...sitashangaa nikisikia Ikulu inamilikiwa na Manji.
Mwanasiasa Taratibu punguza Jazba!