Kuna watu ambao hawawezi kufurahia kitu chochote... na hakuna mtu anachoweza kufanya kikawa vizuri kwa sababu wanataka mtu awe mkamilifu kabisa ndio akubalike.
Mwanakijiji,awali ya yote nikupongeze kwa ujasiri wa kuamua kutumia Rangi ya chama chetu sisi ccm.
Pia nakupongeza kwa kutoa kauli nzuri na nzito na kwa hilo naamini mapinduzi ya kifikra yanayo endeshwa na ccm yanafanikiwa kumbe si muda mrefu WEMA WETU CCM MTAUKUBALI.
MCHANGO KTK HILI.
Mengi hastahili kupata kupata tuzo hii HIstoria inamuadhibu kwani UFISADI alofanya ktk Bank ya NBC kabla ya Ubinafsishaji hautasahaulika jambo ambalo waandishi wengi naamini wanalifahamu na hawawezi kuandika bcs amefanikiwa kuwanunua.
Mengi anafahamika kwa Wizi,uzinifu,uongo hana uadilifu i belive wamarekani they DID on Purpose bcs Dkt Martin Ni Black kumpa mengi Tuzo hiyo ni kutukana Jitihada za Dk its better angepewa mtu kama KEJO,even TINDU lisu mengi Mosha jana Fisadi Mwenzie anamsifia kua ni Mtu Muadilifu inashangaza sana.
Anasifiwa kua Kuna Investigative Journalism ktk lipi,kwa Gazeti lipi la Mengi,it has come to the point kua wanTanzania Tutangaze kua Mengi hakustahili kupata Tuzo Hii even kwa Reason ya UADILIFU,nani anasahau Ugomvi wa MAMA REGINA na RITA mengi akaruka ukuta Upanga,Nani Hajui Ugomvi ulotokea ktk Msiba WA MAREHEMU MOTIE.
Jana niliona another Movie alofanya Balozi wa Marekeni alipowapongeza AMITABACHAN i mean KUBENEA, na Mzee TEGAMBWAGE, niliona opportunist wa JUKWA LA MA EDITOR kina SAKINA DATTOO na wengine,NAJIULIZA Tuzo hii ni kwa sababu hua anaanda chakula na walemavu?is that all?
Kuna watu wanamengi wamefanya hatuna swali juu ya uadilifu wao ktk nchii hii why Mengi hili ni swali ambalo tunatakiwa tujiulize kwa makini sana.
Kama tuna hitaji sana apate tuzo ingekua Vema EDITORS FORUM wakaanzisha tuzo yao wampatie and NOT DK MARTINS award hana sifa kabisa.
Kwa wasiofaham THIS DAY,KULIKONI ni Project ya kupata pesa from europian union hawa wazungu wana Fund MEDIA ambazo zinafanya INVESTIGATIVE JOURNALISM sasa huyu bwana yeye na FISADI MOSHA,SIMBA wameanzisha MEDIA SOLUTION so that waandike uongo wapelekwe mahakamani then EU inatoa Fungu and then Leo watu wanapiga makofi inasikitisha sana,ok kama alisema FISADI MTOTO ktk mchango wake mmoja ambao si hapa kua THIS IS PRIMITIVE SOCIETY kwa mwendu huu wa mwanakijiji,Kubenea,na waandishi wa this Day ndo our Main source of Information tuanweza kuthibitisha alichosema Fisadi Mtoto.