::Memo for The Boss::

::Memo for The Boss::

Happy day The Boss!
I pray that; since now your Born Again (mara ya ishirini na ngapi vile?), utaziacha njia zote za kwenda kwenye zile nyumba ndogo na kubaki kwenye njia ya nyumba kubwa tu!

Niliikosa party, lkn nimekuandalia supu ya dagaa wabichi, spesho kwa kushusha mning'ining'io!

Happy Birthday Mkulu!

ha haa haa hata njia ya kuja kwako niisahau?
thanks a lot...
 
303325.jpg

thanks a lot Smile..
 
sasa ASHADII hawa Kongosho na Michelle
watanilaumu wakikuta High table 'imejaa na wako replaced for today'?
time inaenda wao bado wanajipamba tu..

Ongeza meza na viti leo lazima wakuzunguke maana wewe ni mfalme wa leo.
 
OMG...so this is (was) the Big day for the BIG Boss here

Happy birthday the Boss

RR, The Boss, is Just the Boss,,,,nothing more nothing less

chezeya Boss kibarua kiote nyasi lol
 
Shem Kaizer, naona umeingia, please leta hizo bia. watu wamezisubiri hadi wamekata tamaa. lol

Well, RussianRoulette, hapa nina Heineken bariiid kabisa for you. Of course all other drinks zipo, hard and Soft ones.

Au u have another choice ...nikutengenezee cocktail?:wink1:
 
OMG...so this is (was) the Big day for the BIG Boss here

Happy birthday the Boss

RR, The Boss, is Just the Boss,,,,nothing more nothing less

chezeya Boss kibarua kiote nyasi lol

asante Kaizer....
 
Well, RussianRoulette, hapa nina Heineken bariiid kabisa for you. Of course all other drinks zipo, hard and Soft ones.

Au u have another choice ...nikutengenezee cocktail?:wink1:
Castle lite baridi please
 
Well, RussianRoulette, hapa nina Heineken bariiid kabisa for you. Of course all other drinks zipo, hard and Soft ones.

Au u have another choice ...nikutengenezee cocktail?:wink1:
Heineken baridi safi kabisa. But please ukimuona X-PASTER usimwambii natumia. lol
 
Last edited by a moderator:

.😛arty:😛arty:😛arty:😛arty:😛arty:
Happy birthday Mr. Boss

HAPPY BIRTHDAY THE BOSS!
I wish you long life full of sound Health and Happiness

Upande wa vinywaji you do know your shem, haitwi Kaizer buree....lol (everything under control!)

Hapa Alter itabidi uniruhusu nitoke nikaandae kamati; Nina list kabisa ya hawa wakuwatatuta, acha hawa ambao tupo nao...

Chakula - Karen Happuch, First Lady, Michelle, Lizzy, Cantalisia, Mamndenyi, @Woman of Substance, Mwali

Mapambo - King'asti, sweet Lady, Husninyo, afrodenzi, Belinda Jacob, Zion Daughter, cheusie mangala

Music - Apollo, Batalanta, Smile, Husny, Nyani Ngabu, Preta

Ulinzi - @Uporoto, @Klorokwin, The Finest, RR (not you alter lol), , Paw

Vinywaji - Kaizer, @Klorokwin, @MTM, steeve Dii, queenkami, blacki woman, @Pj

Baunsa - Bigirita, Fang, Memo, MAMMAMIA

Usafiri - BAGAH, Judgement, BAGAH, Smiling Saint, Mphamvu,

Mapokezi - Kigarama, jmushi1, vivian, deejay nasmile, Pet cash, Amyner

Roulette sehemu nyingi zimepwaya.... narudi kujaziliza....lol
JF Raha sana.
Ni fahari kwangu! Asante sana Dada AshaDii kwa kunikabidhi (pamoja na
Bigirita, Fang, Memo) dhamana ya usalama wa waalikwa wote.
 
Upande wa vinywaji you do know your shem, haitwi Kaizer buree....lol (everything under control!)

Hapa Alter itabidi uniruhusu nitoke nikaandae kamati; Nina list kabisa ya hawa wakuwatatuta, acha hawa ambao tupo nao...

Chakula - Karen Happuch, First Lady, Michelle, Lizzy, Cantalisia, Mamndenyi, @Woman of Substance, Mwali

Mapambo - King'asti, sweet Lady, Husninyo, afrodenzi, Belinda Jacob, Zion Daughter, cheusie mangala

Music - Apollo, Batalanta, Smile, Husny, Nyani Ngabu, Preta

Ulinzi - @Uporoto, @Klorokwin, The Finest, RR (not you alter lol), , Paw

Vinywaji - Kaizer, @Klorokwin, @MTM, steeve Dii, queenkami, blacki woman, @Pj

Baunsa - Bigirita, Fang, Memo, MAMMAMIA

Usafiri - BAGAH, Judgement, BAGAH, Smiling Saint, Mphamvu,

Mapokezi - Kigarama, jmushi1, vivian, deejay nasmile, Pet cash, Amyner

Roulette sehemu nyingi zimepwaya.... narudi kujaziliza....lol

hiyo sehemu ulonipangia daah ingekua sio siku ya The boss ningegoma.
Hongera kwako the boss japo nimechelewa nadhan kila kitu ilikwenda sawa.
 
At last sherehe imeisha, I can kick my stilletos and I need someone to massage my feet (naomba PAW asijue hii plz).
Wifi AshaDii, bajeti ya mapambo najua alipewa ODM. Ila sasa simuoni, nisaidie tafadhali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom