::Memo for The Boss::

Hii safi sana dada Asha mbele ya kuuza sura kwa wageni ninakubali kwa mikono na miguu yote

Perfectoooo! Mtu kuipenda kazi yake ndio hasa hufanikisha shughuli...lol. Pesa ya voucher utapewa ili uwapigie wajumbe wenzio.
 
Perfectoooo! Mtu kuipenda kazi yake ndio hasa hufanikisha shughuli...lol. Pesa ya voucher utapewa ili uwapigie wajumbe wenzio.

sasa ASHADII hawa Kongosho na Michelle
watanilaumu wakikuta High table 'imejaa na wako replaced for today'?
time inaenda wao bado wanajipamba tu..
 
sasa ASHADII hawa Kongosho na Michelle
watanilaumu wakikuta High table 'imejaa na wako replaced for today'?
time inaenda wao bado wanajipamba tu..

The Boss has to be sorrounded by beauty bana! Kwa sasa you will have to make a pic... na mimi naunga mkonoa hoja, Wakija then mengine yatafuata... watakuja badili maeneo yao...
 
The Boss has to be sorrounded by beauty bana! Kwa sasa you will have to make a pic... na mimi naunga mkonoa hoja, Wakija then mengine yatafuata... watakuja badili maeneo yao...

ngoja tuwape muda kidogo...lol
huku JS ajiandae...where is AMYNER?
 
Upande wa vinywaji you do know your shem, haitwi Kaizer buree....lol (everything under control!)

Hapa Alter itabidi uniruhusu nitoke nikaandae kamati; Nina list kabisa ya hawa wakuwatatuta, acha hawa ambao tupo nao...

Chakula - Karen Happuch, First Lady, Michelle, Lizzy, Cantalisia, Mamndenyi, WoS, Mwali

Mapambo - King'asti, Sweet Lady, Husny, Afro D, Belinda Jacob, Zion D, Cheusie mangala

Music - Apollo, Batalanta, Smile, Husny, Nyani Ngabu, Preta

Ulinzi - Uporoto, Klorokwin, The Finest, RR (not you alter lol), , Paw

Vinywaji - Kaizer, ODM, Klorokwin, MTM, Steve Dii, Queenkami, Blacki woman, Pj

Baunsa - Bigirita, Fang, Memo, Ndetichia, Mammamia

Usafiri - Bagah, Judgement, Bagah, Smiling saint, Mphamvu,

Mapokezi - Kigarama, Jmushi, Amyner, Vivian, Deejey nasmile, Pet cash,

Roulette sehemu nyingi zimepwaya.... narudi kujaziliza....lol
Anti mi sijaridhika na kazi ulinipangia.
Ningependa niwe great table with Kongosho :disapointed:
 
Anti mi sijaridhika na kazi ulinipangia.
Ningependa niwe great table with Kongosho :disapointed:

Ndio nimekufundisha hivo? No salamu kwa shangazi na zaidi No
salamu wala well wishes kwa Boss? Umeanza kuleta jeuri Mwali... why?

Hizo ni nafasi za kukaa wakubwa wee mtoto....lol
 
Ndio nimekufundisha hivo? No salamu kwa shangazi na zaidi No
salamu wala well wishes kwa Boss? Umeanza kuleta jeuri Mwali... why?

Hizo ni nafasi za kukaa wakubwa wee mtoto....lol
I am sorry Anty. Shkamoo...:disapointed:
Nataka kukaa karibu na Kongosho sababu anakuja na mgeni
Please nikubalie halafu nimpe The Boss whishes zake...
 
Back
Top Bottom