::Memo for The Boss::

::Memo for The Boss::

hapa ndo penyewe.

Ila mtoto sijui anaruka majoka?au anacheza funky?

Haendi na beat kabisa, andaeni ambulensi nikikanyagwa.

Haya Kongosho jiachie!Sitoweza kuliacha rumba, bila moyo kunituma, moyo wangu wanituma vyema, niwe mwanachama wa daima!
EMBE DODO - YouTube
Mombasa siendi tenaa, kuna dogodogo nyingii!ha haa!
 
Mie nataka kitumbua cha kumimina.
Hata keki nala.

Tatizo ana nyumba ndogo kama elfu moja hivi, ananichanganya sana.
Mhn!Kweli huyu mtu ni "The Boss" haswa!Lazima atakuwa anakula raha hiv sasa na vimwana walioko kwenye parte.

Ngoja asikie unacho "cha kumimina" lol!
 
The Bossss..........
Happy Birthday meeen.....!!
Nimekuandalia Ubuyu wa Rangi meeeen....
Au unapendelea maziwa ya Mgando nimwombe Kongosho akuletee?
 
hapa ndo penyewe.

Ila mtoto sijui anaruka majoka?au anacheza funky?

Haendi na beat kabisa, andaeni ambulensi nikikanyagwa.
Hahahaaaaa mtoto mwenyewe bongeee lol
Akikunyaga lazma ambulensi ihusike faster...
 
Happy day The Boss!
I pray that; since now your Born Again (mara ya ishirini na ngapi vile?), utaziacha njia zote za kwenda kwenye zile nyumba ndogo na kubaki kwenye njia ya nyumba kubwa tu!

Niliikosa party, lkn nimekuandalia supu ya dagaa wabichi, spesho kwa kushusha mning'ining'io!

Happy Birthday Mkulu!
 
303325.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom