Mmmmmhhh... Kei tena?kei ipi mkuu?
kei ipi mkuu?
Hahahahahaaaa Kipipi sitaki uchokozi.....Naona tangu umpate Amy siku hizi ni full mashauzi!!
haya bana........ila kila mtu yupo kwa nafasi yake.
kei ipi mkuu?
Mmmmmhhh... Kei tena?
Anamaanisha Keki!
Mbona mie huniombei? Nani sasa atakuwa anamwanika?
thanks Shantel...a lotHappy Bday The Boss
Heri ya sikukuu ya kuzaliwa, Mwenyezi Mungu akupe miaka mingi zaidi.
Yummy thanks
The BOSS..happy birthdat bro...u r an inspiration for me in JF..keep the good work up.
Mungu akubariki uwe na wana idadi ya umri wangu,
akubariki uwe mzee mpaka bei ya mishumaa yako izidi bei ya kei,
akubariki mpaka u-vibrate...!
RR mie napenda kamati ya vinywaji nijifungie store .....
Lakini kwa sababu ni The Boss nikimaliza kugawa msosi nitakuwa namfuta kijasho kwa pembeni..
Sending birthday blessings
Filled with love and peace and joy
Wishing sweetest things happen
Right before your eyes !
![]()
![]()
Thanks a lot Mentor..
thanks..
The Bossss..........
Happy Birthday meeen.....!!
Nimekuandalia Ubuyu wa Rangi meeeen....
Au unapendelea maziwa ya Mgando nimwombe Kongosho akuletee?
huyu mtoto badala ya kulala yuko huku, duh!