::Memo for The Boss::

::Memo for The Boss::

Shem RR toka nifike mahala hapa... sijawahi ona umewahi mnuso, Ole wako uje uchelewe wangu...lol

Dear shem @AshaDii , a big disrepect to think of me that way!
siwezi kukosa chochote cha shem wewe....

 
usiwe kama wale mume anarudi yeye
kakaa kibarazani na shosti
jamaa anaingia ndani na mamifuko yake kutoka sokoni
mama hana muda
utasikia mama anaita wewe sikitu (mjakazi)
mpikie baba ugali.

baba anafanya kweli na sikitu humo ndani mama
anazidi kutoa umbeya kibarazani tu.

Mie nafua, kupika, kuogesha, kusinga, kupokea koti, kuamkia, na YOTE.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom