::Memo for The Boss::

::Memo for The Boss::

Nilichoelewa hapo ni hiyo Happy Birthday........................Wakati mwingine andika KISWAHILI bana...................LOL
Happy Birthday THE BOSS......................

Kumbe tuko wengi maana mimi hata hiyo uliyoelewa mie sijaelewa chochote
 
RR mie napenda kamati ya vinywaji nijifungie store .....
Lakini kwa sababu ni The Boss nikimaliza kugawa msosi nitakuwa namfuta kijasho kwa pembeni..
Kama hivo kaa angalau na Bwan'chuchu, typu VIP bar anaandaa cocktails za uhakika. Hapo pa kumfuta jasho I'm not sure it'ssuck a good idea, Kongsho is possessive today. lol

Ndo maana nimechelewa kwenye hii party, kumbe kuna kubaguana!
Karibu Kipipi. Uliona alter alivo pana kazi? una la kuongeza? I think ungechukua nafasi ya coordinator kwa muda. Alter bado yuko salon. Make sure Invisible anamruhusu Fang kushiriki katika maandalizi.
 
RR tafsiri tafadhali yaani sijaelewa kabisa ulichozungumza japokuwa
naona thread imekuwa ya kiswahili lakini bado sielewi chochote
hebu angalau hata kasummary basi kidogo
Dah! DA, mbona message iko wazi kabisa? Naamini umeelewa bwana: leo ni siku ya kuzaliwa ya The Boss, na tumeamua kuifanya iwe sikukuu ya kipekee sababu yeye ndie Boss wetu.

Why a party? Because when it is The Boss' Birthday we all go an extra mile to do the job.

Happy birthday Mr. Boss
 
Dah! DA, mbona message iko wazi kabisa? Naamini umeelewa bwana: leo ni siku ya kuzaliwa ya The Boss, na tumeamua kuifanya iwe sikukuu ya kipekee sababu yeye ndie Boss wetu.

Duh!! Haya asante kwa summary maana ni utata mtupu nilikuwa naona stars tu. Barikiwa
 
Nakutizama kwa macho matatu, afu mbona umekuja na kimini sana wewe.
Kazi yako itakuwa jikoni tu, usije huku ukumbini.
Amini usiamini lile koti bado ninalo na EMT sijamuona. Nipe number yake basi, si unajua PM zangu kwake zina bounce? Au nimsubiri tu hapa hapa sasa?
 
Last edited by a moderator:
Nakutizama kwa macho matatu, afu mbona umekuja na kimini sana wewe.
Kazi yako itakuwa jikoni tu, usije huku ukumbini.
Wewe uko nyumba kubwa una wasiwasi gani,utadhani unaiba mboga ya shughuli!
mie nyumba ndogo na rules zote anazijua za nyumba ndogo source:ile famous thread yake
Tulia Kongosho,mwenye kisu kikali ndie atakae kula nyama
 
happy birthday the boss...uishi miaka mingi hadi uanikwe nje na wajukuu zako.....
Mbona mie huniombei? Nani sasa atakuwa anamwanika?

Muulize AdhaDii ufanye kazi gani.

Amini usiamini lile koti bado ninalo na jamaa sijamuona. Nipe number yake basi, si unajua PM zangu kwake zina bounce? Au nimsubiri tu hapa hapa sasa?

Nilisahau kukuambia, alipigiwa simu ofisini, kulikuwa na dharura
Atakuja baadae.
 
Nyumba ndogo aloitaja ni Michelle tu
Naye leo kabanwa na mumewe.

Wewe uko nyumba kubwa una wasiwasi gani,utadhani unaiba mboga ya shughuli!
mie nyumba ndogo na rules zote anazijua za nyumba ndogo source:ile famous thread yake
Tulia Kongosho,mwenye kisu kikali ndie atakae kula nyama
 
The BOSS..happy birthdat bro...u r an inspiration for me in JF..keep the good work up.
Mungu akubariki uwe na wana idadi ya umri wangu,
akubariki uwe mzee mpaka bei ya mishumaa yako izidi bei ya kei,
akubariki mpaka u-vibrate...!
 
kei ipi mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom