Member wa Bolingo, unamjua huyu?

Member wa Bolingo, unamjua huyu?

wadau naomba yeyote alie na albam ya koffi ya mwaka 1994 ndani yake kulikuwa na wimbo wa (MAGIE) naomba nishushieni nyimbo zilizo enda sanjari na wimbo ule tafadhali wadau.
 
Kuna nyimbo anapatia lakini zingine anapiga makelele tu.
 
Werra. . . mzuri ila anafunikwa sana na waimbaji wake, kucheza bado sana pia. . . . huyu anapotea kabisa kwa Jean Bedel Mpiana. . . . . .huyu kama kumlinganisha akae na kina Wazekwa ndio generation yao moja

....Mkuu salute kumbe na wewe upo Nyumbani !!!!
 
.....Papaa Cheri Binadam Shitunka Mpiana hii ni Mashine kubwa ya Muziki !!!!

Blaq masai......

Leeleeee,leleee,...... jamaaa kwanza Congo wanampend kinomaaa..

Jb anasaut ya kuimba zile sehemu laini cz sauti yake ni ya kuchombeza hatari sana. Ila Werrason anaswaga sana n kucheza yuko poa kulinganish n JB
 
Kuna clip moja hiv kuna demu aliitwa na Ferrre atakata kiuno nomaa

.....Dadadeki huu mtambo na uzimikia sana shoo yake pale zenith kidogo ni feri kozi ya GIS!!!

2457052627_small_3.jpg

CC marengo90
 
Blaq masai......

Leeleeee,leleee,...... jamaaa kwanza Congo wanampend kinomaaa..

Jb anasaut ya kuimba zile sehemu laini cz sauti yake ni ya kuchombeza hatari sana. Ila Werrason anaswaga sana n kucheza yuko poa kulinganish n JB

....Kweli Mkuu wela kwa Sebene ni noma .....unakumbuka hiii....ezako yaa ezako yaa heliii helikopta ezaa ezakoyaa
 
Hakunaga kama werrason.
Zaidi ya album 5 zimemfunika J. Mpiana!
Ndie mtu pekee anaemnyima usingizi mopao.
Kwa analinganisha werra na jb mimi nadhani haujui mziki wa kongo.
Operation dragon(kibuisa mpimpa).
Entervison rapid.
Luloke,
Sorola bye, koffi ayina,
Tecno malewa, tecno malewa suit.
Satelite.

Kwa upande wa jb ukiondoa titanic hakuna iliyoshika soko.
(Pia bifu lake na pedejee la kinshasa limemtoa barabarani).
 
...wee Japaneez (mpiga soro) utakuwa Werasonike vita ya JB na Wera ni kubwa kushinda ya Mopao
 
.....Dadadeki huu mtambo na uzimikia sana shoo yake pale zenith kidogo ni feri kozi ya GIS!!!

2457052627_small_3.jpg

CC marengo90

Mkuuu hapi ni kati ya Zenith wafaransa wanapenda hizi mambo, huw ticket zinakuw soldout sana..

Check werrason na qins wake
 
Attachments

  • 1426336687719.jpg
    1426336687719.jpg
    104.9 KB · Views: 168
Cindy konkou. Sauti tamu kwenye wimbo Skol, Abracadabra( spelling) et al!
 
Kwani kuwa na bifu ndio kulingana muziki?
Mopao na F. Wazekwa wanabifu kwani waalingana viwango?
Werra ni nooooma!
Kuthibitisha hilo ktk hizo album 6 za werra hebu weka album ya mpiana hata iliyosogea hapo.
 
wadau naomba yeyote alie na albam ya koffi ya mwaka 1994 ndani yake kulikuwa na wimbo wa (MAGIE) naomba nishushieni nyimbo zilizo enda sanjari na wimbo ule tafadhali wadau.

Mkuuu zama Youtube zipo
 
.....Dadadeki huu mtambo na uzimikia sana shoo yake pale zenith kidogo ni feri kozi ya GIS!!!

2457052627_small_3.jpg

CC marengo90

Huyo anaitwa Bibicia Mfengwi, hapo tayari ameshakuwa na manyama uzembe na professional dancer wa kujitegemea, ndani ya Zenith ya Papa Mopao, Papa Fololo, Papa na Didistone, Mourhino Ebola Virus, Rwambow du Zaire, Antoine Christophe Agbepa Mumba Koffi Olomide.Sasa ungemuona wakati bado kigoli kwa Le Roi De la Forret, Le Phenomena, Papa na Excausee, Noel Ngiama Makanda Igweeeee! we wacha tu.
 
Back
Top Bottom