Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,665
Wapi? Au sikuelewi....So what. . . ,Kumbe unajua inachotaka haya changia sasa Cindy la bellè ana indoor concert moja kawapigia vibopa umeiona??!!
Drum set ya hilo onesho umeiona
Wapi? Au sikuelewi....So what. . . ,Kumbe unajua inachotaka haya changia sasa Cindy la bellè ana indoor concert moja kawapigia vibopa umeiona??!!
Drum set ya hilo onesho umeiona
We unaona Fally na Ferré nani yuko zaid. . . . .
mbona limekua bonge siku hizi
Thread haisemi hivyo!
Wapi? Au sikuelewi....
Ha aha aaaa sukari ya warembo. . . . .Ana balaa sana. Hawa jamaa bhana mi nashindwa kiwaweka kwenye mzani nikapata jibu. . . . .Felle hatariiiiiiiii anaimba ucpime tafuta remix ya vitaimana kaimba na Shekito Bilaa then sikia wimbo wa Kilometer aaaaah mchizi yupo juuuuu sema Fally ana nyota ya chips mayai anapendwa na wanawake na miuno anakata kama feni mbovu ndo madada hoiiiii
Ferre gola aka shetani kamfunika mbali sana Fally... ila wote wakasome kwa Blaq masai Werrason...
Ferre gola aka shetani kamfunika mbali sana Fally... ila wote wakasome kwa Blaq masai Werrason...
Nyumbaniiii!!
Felle hatariiiiiiiii anaimba ucpime tafuta remix ya vitaimana kaimba na Shekito Bilaa then sikia wimbo wa Kilometer aaaaah mchizi yupo juuuuu sema Fally ana nyota ya chips mayai anapendwa na wanawake na miuno anakata kama feni mbovu ndo madada hoiiiii
Werra. . . mzuri ila anafunikwa sana na waimbaji wake, kucheza bado sana pia. . . . huyu anapotea kabisa kwa Jean Bedel Mpiana. . . . . .huyu kama kumlinganisha akae na kina Wazekwa ndio generation yao moja
Kaka umeshamsikiliza JB Mpiana vizuri, hiyo ni habari nyingine, Werrason wala hasogeiHawa jamaa si walikuwaga na bifu, kipind kile cha WENGE BCBG....Werra namkubali kuliko Mpiana
....Kitoko makasi pamoja mkuu KIN usipime iko powa sana !!!
![]()
Wenyewe wansema, Mwasi Kitoko= Msichana mrembo
Haha mkuu,.mpiana anasauti hatar sana ila hana swagaaaa